Mapinduzi cup kutimu vumbi Januari 2.

Timu zitakazoshiriki Mashindano ya Mapinduzi Cup, ambayo yanatarajiwa kuanza Januari 2 visiwani Humo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

TAMASHA LA MAJIMAJI SEREBUKA KUTIMU VUMBI JULAI 22 HADI 30

Msimu wa tatu wa tamasha la MAJIMAJI SEREBUKA linaloandaliwa na taasisi isiyo ya kiserikali Songea Mississipi, linatarajia kuanza julai 22 mwaka huu,Huku mishezo mbalimbali itahusishwa ikiwemo riadha,ngoma za asili,maonyesho ya kiabiahara na mdahalo,na nini hasa lengo la tamasha hilo huyu hapa mwenyekiti wa tamasha DAMASI NDUMBARO anabainisha. HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE

 

3 years ago

Dewji Blog

Mapinduzi Cup: Simba yavuliwa ubingwa na Mtibwa, fainali Mtibwa vs URA, Januari 13

_MG_4183

Picha kwa hisani ya Zanzinews.com

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Nusu fainali ya Kombe ya Mapinduzi ilifanyika jana kwa michezo miwili kupingwa ambapo nusu fainali ya kwanza ilikuwa kati ya Simba na Mtibwa Sugar na nusu fainali ya pili ikawa kati ya Yanga na URA ya Uganda.

Mchezo wa nusu fainali ya kwanza ulimalizika kwa Mtibwa kuibuka na ushindi wa goli moja kwa bila, goli lililofungwa na kiungo wa timu hiyo, Ibrahim Rajab katika dakika ya 45 ya mchezo huo.

Baada ya kipigo hicho, rasmi Simba SC...

 

4 years ago

BBCSwahili

Kagame Cup kuendelea kutimua vumbi leo

Michuano ya kombe la Cecafa Kagame inaendelea kutimua vumbi nchini Tanzania

 

5 years ago

Tanzania Daima

Kigoda Cup kutimua vumbi Juni Mosi

TIMU 24 za soka na kumi za netiboli zinatarajiwa kutimua vumbi katika Uwanja wa Azimio wilayani Handeni, mkoani Tanga kuwania Kombe la Kigoda kuanzia Juni Mosi. Mashindano hayo yaliyoanzishwa na...

 

5 years ago

Michuzi

NSSF MEDIA CUP KUANZA KUTIMUA VUMBI MACHI 29

Meneja Kiongozi Idara ya Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume akizungumza wakati swa hafla ya kukabidhi vifaa kwa timu zinazoshiriki mashindano ya NSSF Media Cup yanayotarajiwa kuanza rasmi Machi 29.   Meneja Kiongozi Idara ya Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume akizungumza wakati swa hafla ya kukabidhi vifaa kwa timu zinazoshiriki mashindano ya NSSF Media Cup yanayotarajiwa...

 

10 months ago

Michuzi

MASHINDANO YA SIRRO CUP KUANZA KUTIMUA VUMBI KIBITI

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akimkabidhi mpira mmoja wa Viongozi wa timu zinazoshiriki mashindano ya Sirro Kibiti mwaka 2018 katika uwanja wa Samora Kibiti wakati wa uzinduzi wa michezo hiyo uliofanyika jana. Mashindano hayo yanashirikisha timu 16 kutoka Wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akisalimiana na wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Migomba kutoka Wilayani Rufiji wakati wa ufunguzi wa mashindano ya Sirro Kibiti...

 

3 years ago

GPL

AZAM SPORTS FEDERATION CUP KUTIMUA VUMBI WIKIENDI HII

Kutoka kushoto ni Ofisa Masoko na mauzo wa Azam Media Mgope Kiwanga, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam Media Rhys Torrington, Meneja Masoko wa TFF Peter Simon na Meneja Msaidizi wa Michezo wa Azam, Patrick Nyembera. Meneja Masoko wa TFF, Peter Simon akizungumza jambo kwenye mkutano huo.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani