Mapinduzi Sudan : Waandamanaji wakaidi agizo la kutotoka nje baada ya jeshi kumpindua Bashir

Maelfu wakataa amri ya amri ya jeshi ya kutotoka nje kwa saa kadhaa baada ya kupinduliwa na kukamatwa kwa kiongozi wa muda mrefu Omar al-Bashir

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

BBCSwahili

Ukungu : agizo la kutotoka nje China

Uchina imesema tahadhari ya uchafuzi wa mazingira iliotolewa katika miji 23 jumapili, itaendelea kudumishwa kwa siku moja zaidi.

 

1 month ago

BBCSwahili

Mzozo Sudan: Waandamanaji wajitenga na jeshi Sudan

Waandamanaji wanasema hawatambui utawala wa baraza la kijeshi lililompindua Omar al-Bashir.

 

1 month ago

BBCSwahili

Omar al-Bashir: Mapinduzi ya kijeshi yamng'oa mtawala baada ya maandamano

Jeshi linasema kuwa limemkamata Omar Bashir , lakini waandamanaji wanapinga hatua hiyo.

 

2 weeks ago

VOASwahili

Jeshi, upinzani Sudan yaunda kamati kuchunguza mashambulizi dhidi ya waandamanaji

Kamati ya kijeshi inayosimamia serikali ya mpito nchini Sudan, imeunda kamati ya pamoja na muungano wa upinzani unaopigania uhuru na mabadiliko, kuchunguza mashambulizi yanayowalenga waandamanaji.

 

1 month ago

BBCSwahili

Omar al-Bashir awekwa jela baada ya kupinduliwa Sudan

Waandamanaji Sudan wanataka jeshi liachie hatamu za madaraka kwa uongozi wa kiraia.

 

3 years ago

Global Publishers

Bodaboda Wakaidi Agizo la RC Makonda

A C BLICHA ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuwataka waendesha bodaboda na abiria wake kutii sheria ya kuvaa kofia za pikipiki (helmet), kamera yetu imewanasa baadhi ya abiria na madereva wao wakionekana kukaidi agizo hilo.

Kamera yetu imenasa matukio hayo katika mitaa mbalimbali ya Posta jijini Dar miongoni mwa madereva bodaboda na abiria wao wakionekana bila kuvaa helmet jambo ambalo ni hatari kwa maisha yao.

 

3 years ago

Global Publishers

Wananchi Dar wakaidi agizo la Dart

1Daladala inayofanya shughuli zake katikati mwa Jiji la Dar ikionekana kupita katikati mwa barabara hizo.
2Bajaj ikikatiza kupita licha ya kuweka uzio wa kamba.
3Kibao kinachoonesha kuzuiliwa kupita kwa waendesha magari ya kawaida na bajaj eneo la Ubungo Stendi ya Mabasi.
4Mmoja wa wasimamizi wa Ujenzi wa Kampuni ya Strabag akiwaoneshea mkono kusimama  waendesha magari waliokuwa wakionekana kukaidi kutumia barabara hizo.
5Taswira ya barabara hizo.

    BAADHI ya  wananchi wa Jiji la Dar es Salaam,...

 

3 years ago

Channelten

Wafugaji Bariadi wakaidi Agizo la Serikali la kuondoka mita 500 kutoka TANAPA

 

wafugaji

jamii ya wafugaji wanaopakana na hifadhi ya taifa ya serengenti na pori la akiba la maswa wametakiwa kupanga matumizi bora ya ardhi kwaajili ya makazi,kilimo na mifugo ili kuepuka mkono wa sheria wa kukamatwa kwa kuingiza mifugo katika maeneo ya uhifadhi ambayo yako kisheria ,hivyo wanapaswa kuacha kukaidi agizo la serikali..

kufuatia malalamiko ya muda mrefu ,mkuu wa wilaya ya bariadi ponsiano nyami aliyeambatana na kamati ya ulinzi na usalama na mhifadhi mkuu wa hifadhi ya taifa ya...

 

4 years ago

BBCSwahili

Amri ya kutotoka nje yaondolewa Baghdad

Raia kwenye mji mkuu wa Iraq Baghdad wamesherehekea kuondolewa kwa amri ya kutotembea ya miaka 12 mjini humo.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani