Marashi ya Karafuu, je bado yapo Pemba?

Wakulima wa Karafuu Pemba wanasema wanaitaka Serikali yao kufanya juhudi kwa ajili ya kuendeleza zao ambalo wamekuwa wakizalisha kwa miaka mingi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

Tamasha la michezo na utamaduni la Pemba Weekend Bonanza kufanyika mwisho wa mwezi huu, ZURA yalipiga Tafu Bonanza naAZAM TV kurusha Mubashara kutoka Kisiwa cha Marashi ya Karafuu

Na Ali O. Ali Kampuni ya Rafiki Network itafanya Tamasha la Michezo na Utamaduni linalojulikana kama “ Pemba Weekend Bonanza” litakalofanyika kisiwani Pemba kuanzia tarehe 28 hadi 30 Julai mwaka 2017. Taarifa ya kampuni hiyo imesema kwamba tamasha hilo litajumuisha matukio mbali mbali kama vile mchezo wa ng’ombe, resi za baiskeli, mashindano ya kuogelea na resi za ngalawa,  na kwamba miongoni mwa matukio, imeelezwa kwamba mchezo wa ng’ombe ambao utafanyika siku ya Ijumaa tarehe 28 Julai,...

 

3 years ago

Mtanzania

Yanga yafuata marashi ya ushindi Pemba

YANGA MAZOEZININA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, jana walirejea Pemba kuweka kambi ya muda mfupi kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao dhidi ya Azam FC, baada ya kugundua siri ya ushindi visiwani humo.

Kwa mara ya pili mfululizo Yanga imekuwa ikiweka kambi yake Pemba na kufanikiwa kuwaliza mahasimu wao, Simba, mara ya kwanza ikiwa ni Septemba 26, mwaka jana waliposhinda mabao 2-0, kabla ya kutoa tena kipigo kama hicho Februari 20, mwaka huu.

Yanga, ambao ni...

 

3 years ago

Mwananchi

Shehena ya karafuu yakamatwa Pemba

Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo (KMKM), kimekamata shehena ya makonyo na karafuu kavu iliyodaiwa kusafirishwa kwenda nje ya nchi kwa njia ya magendo katika Bandari ya Milango Mikavu kisiwani hapa.

 

4 years ago

Michuzi

KARAFUU CHAFU YAKAMATWA PEMBA

Afisa mdhamini shirika la biashara la taifa Zanzibar ZSTC Pemba Abdalla Ali Ussi(kuli), akiwa na mkulima wa zao la karafuu Khatib Suleiman Amour, ambae anadaiwa kuchanganya karafuu na makonyo na kugundulika na watendaji wa ZSTC Finya wilaya ya Micheweni.MPIMAJI karafuu wa kituo cha mauzo ya zao hilo, Wete Pemba Kitwana Salim Kitwana, akipima karafuu hizo, kama alivyokutwa na mpiga picha wetu kituoni hapo.WANANCHI waliokodi shamba la mikarafuu la serikali eneo la Makuwe wilaya ya Micheweni...

 

5 years ago

Michuzi

WIZI WA KARAFUU MASHAMBANI PEMBA

Wakati msimu wa uchumaji karafuu ukiendelea nao wizi wa zao hilo mashambani umeshamiri, Mkulima wa zao hilo Kombo Khamis Othman wa kijiji cha Ranguni Wete Pemba akionyesha matawi yaliyokatwa na wezi katika shamba lake.

 

3 years ago

Zanzibar 24

Karafuu za Magendo zakamatwa Pemba

JUMLA ya vipolo 18 vyenye karafuu kavu na magunia matatu makonyo, yamekamatwa na askari wa operesheni ya kuzuia magendo, inayoendeshwa na vikosi vya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, zikiwa tayari kusafirishwa magendo wilaya ya Micheweni.

Akizungumza  kwa niaba ya mkuu wa operesheni hiyo Luteni Kanali Jabir Hamza, alisema karafuu hizo zimekamatwa Shehia ya Tondooni Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba wakati askari wakiwa katika doria za kawaida.

Luteni Jabir alieleza kuwa Septemba...

 

4 years ago

Mwananchi

Dk Shein: Karafuu itamaliza umasikini Pemba

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kama atachaguliwa kuwa rais atahakikisha anapambana na umasikini kwa kuboresha kilimo cha karafuu.

 

4 years ago

BBCSwahili

Wakulima wa karafuu,Pemba waomba msaada

Wakulima Pemba wanaitaka Serikali yao kufanya juhudi kwa ajili ya kuendeleza zao ambalo wamekuwa wakizalisha kwa miaka mingi.

 

4 years ago

BBCSwahili

Kilio cha wakulima wa Karafuu Pemba

Wakulima wa karafuu sasa wanasema wanahitaji serikali yao kuwasaidia zaidi ili kuweza kuendeleza kilimo cha zao hilo walilolima kwa miaka mingi.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani