MAREFARII WA MCHEZO WA MASUMBWI KUTOKA TPBC WAKUTANA NA MWAKYEMBE

Marefarii na majaji wa mchezo wa masumbwi nchini wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrisson Mwakyembe wakati wa kumpongeza bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe mwishoni mwa wiki.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

CHAMA CHA NGUMI ZA KULIPWA TPBC CHATOA MAFUNZO KWA MAREFARII

Mkufuzi wa mafunzo ya waamuzi wa mchezo wa masumbwi Ally Bakari 'Champion' kushoto akiwaelekeza baadhi ya marefarii waliojitokeza katika mafunzo hayo yaliyo andaliwa na chama cha ngumi za kulipwa TPBC yaliyoanza Ilala CCM Dar es salaam juzi na kumalizika jumamosi  hii Mkufuzi wa mafunzo ya waamuzi wa mchezo wa masumbwi Ally Bakari 'Champion' kulia akisisitiza jambo kwa wakati wa mafunzo hayo uku marefarii waliojitokeza wakimsikiliza kwa makini kutoka kushoto ni Kondo Nassoro, Sako Mtlya na...

 

1 year ago

Michuzi

TPBC yawataka wadau wa mchezo wa ngumi kufuata sheria na taratibu.


Na Daudi Manongi,MAELEZO

KAMISHENI ya mchezo wa ngumi za kulipwa Tanzania (TPBC) imevitaka vikundi na asasi zinazojishughulisha na usimamizi na utaribu wa mchezo wa ngumi za kulipwa nchini kuacha mara moja kwani ni kinyume na sheria,kanuni na taratibu za mchezo huo.

Hayo yamesemwa leo na Rais wa Kamisheni ya ngumi za kulipwa Tanzania (TPBC) Bw.Chaurembo Palasa wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam.

“Kumekuwa na vyama, asasi na vikundi ambavyo...

 

10 months ago

Dewji Blog

TPBC yatangaza kumfungia Francis Cheka kushiriki mchezo wa ngumi kwa miaka miwili

Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBC) imemfungia Bondia Francis Cheka kushiriki katika mchezo wa ngumi kwa kipindi cha miaka miwili na kulipa faini ya shilingi laki tano kwa kitendo cha kukacha pambano baina yake na Bondia Abdallah Pazi (Dulla Mbabe).

Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam, Katibu Msaidizi wa TPBC, Chatta Michael alisema kamisheni hiyo ilitoa kibali cha pambano kati ya Cheka na Abdallah Pazi lakini bondia huyo hakufika katika pambano hilo huku akiwa...

 

2 years ago

Michuzi

Refarii wa mchezo wa masumbwi nchini Ally Bakari Champion afunga ndoa

Refarii wa mchezo wa masumbwi nchini Ally Bakari Champion  akiwa na mke wake Aisha Chilumba  baada ya kuowa hivi karibuni maeneo ya Vingunguti Dar es salaam
Ally Bakari Champion akiozeshwa
Refarii wa mchezo wa masumbwi nchni kushoto akiwa na mke wake Aisha Chilumba  baada ya kuowa hivi karibuni maeneo ya Vingunguti Dar es salaam

 

2 years ago

StarTV

Wladmir Klitschko, Tyson Fury ulingoni Jumamosi hii kwa mchezo wa masumbwi

 

  Mabondia wa uzito wa juu duniani Wldmir Klitschko wa Ukraine na Tyson Fury wa England jumamosi hii kupanda ulingoni huko Dusseldorf nchini Ujerumani huku pambano hilo la raundi 12  likisubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki.

Klitschko  amabaye amkuwa bingwa wa dubnia wa uzani huo tangu 2006 akiwa amepigana mara 27  na kushinda mara 23 atakuwa akitetea  taji lake la WBA, IBF na WBO dhidi ya Fury anayetamba kumtandika bondia huyo wa Ukraine.

Hali ilikuwa uya utulivu wakati mabondia hao...

 

4 years ago

Michuzi

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini, Rajabu Mhamila 'Super D' aipiga jeki Uhuru Gym

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini, Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwa na baadhi ya mabondia wanaofanya mazoezi katika GYM ya Uhuru uwanja wa Basket, Kariakoo kutoka kushoto ni Atanasi kibwe,Omari Bai, Raymond Mbwago ,Mussa Sindano Vifaa na kocha wa GYM hiyo Mohamed Chipota  Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini, Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akikabidhi vifaa vya mchezo wa masumbwi Gloves pamoja na DVD za mafunzo ya mchezo kwa Kocha wa GYM ya Uhuru uwanja wa...

 

4 years ago

Michuzi

UONGOZI WA CHAMA CHA MCHEZO WA BASEBALL WAKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR LEO

Katibu Mkuu Chama cha Baseball Tanzania (TABSA) Alpherio Nchimbi (kushoto) akitoa maelezo kwa waandishi wa habari juu ya mashindano ya Kitaifa ya mchezo wa baseball yanayotarajiwa kufanyika hivi karibuni katika shule ya Sekondari ya Azania iliyopo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Chama cha Marafiki wa mchezo wa Baseball Africa (AFAB) Shinya Tomonari na Kutoka kulia ni Afisa Michezo Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Richard Mganga. Mwenyekiti wa Chama cha Marafiki wa...

 

2 months ago

Michuzi

Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Wadau wa Soka Nchini Kujadili Namna ya Kuendeleza Mchezo Huo Hapa Nchini.


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akizungumza na baadhi ya Wadau wa mpira wa miguu kuhusu namna bora ya kukuza na kendeleza mchezo huo leo jijini Dar es salaam.
Baadhi ya Viongozi Wastaafu wa mpira wa miguu nchini wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) wakati wa majadiliano ya namna bora ya kukuza na kendeleza mchezo huo leo jijini Dar es salaam. Wa kwanza kulia ni Rais wa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani