MAREKANI, CHINA ZAENDELEA KUKOMOANA


Marekani inatafakari kuongeza ushuru kwa bidhaa zaidi za China zitakazoingia nchini humo zenye thamani ya dola bilioni 300 zikiwemo za kompyuta hatua inayoongeza zaidi mzozo wa kibiashara unaotikisa masoko ya fedha na kuchochea hofu kuhusu ukuaji wa uchumi wa dunia.
Taarifa hii inafuatia tangazo la China hapo jana la kuongezeko ushuru kwa asilimia 25 katika bidhaa zinazoagizwa kutoka Marekani zenye thamani ya dola bilioni 60. 
Mwakilishi wa biashara wa Marekani ametangaza kwamba orodha hiyo...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

BBCSwahili

Shughuli za uokoaji zaendelea China

Wafanyakazi wa vikosi vya uokoaji wanaendelea na kazi ya kuwatafuta watu waliozama katika meli moja nchini humo.

 

3 years ago

Channelten

Jitihada za Uokozi zaendelea nchini China.

 

china-landslide

Jitihada za uwokozi zinaendelea kuwatafuta wafanyakazi wa ujenzi 34 waliofukiwa na kifusi baada ya kutokea maporomoko ya ardhi katika eneo lenye majengo ya mradi wa umeme wa maji kufuatia siku kadhaa za mvua kali kusini mwa China.

Kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo wafanyakazi wengine saba waliokolewa wakiwa hai katika mawe na matope ya ujazo wa mita 100,000 baada ya kufunika jengo la ofisi pamoja na makaazi ya wafanyakazi katika eneo la milimani la kata ya Taining katika jimbo...

 

2 years ago

Channelten

Tufani Harvey nchini Marekani, Shughuli za uokoaji zaendelea Jimboni Texas

40254695_303

Maafisa wa uokozi wanajaribu kuwaokoa watu kutoka manyumbani mwao na kwenye magari katika jimbo la Texas nchini Marekani baada ya kimbunga kilichopewa jina Harvey kuikumba miji kadhaa ya jimbo hilo kuanzia Ijumaa na kusababisha mafuriko makubwa.

Maafisa hao wa uokozi wamewaokoa zaidi ya watu 1,000 katika eneo la Houston huku kimbunga hicho kikubwa zaidi kukumba Texas kwa kipindi cha miaka hamsini iliyopita kikizidi kusababisha maafa.

Takriban watu wawili wameuawa na idadi ya walioathirika...

 

4 years ago

GPL

MAPENZI NI KWA AFYA, KUSTAREHESHANA AU KUKOMOANA?

Niwiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii ambayo ni namba moja kwa kuandika makala nzuri za kimapenzi. Naamini umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida.
Mpenzi msomaji wangu, wiki hii nitazungumzia suala la kufanya mapenzi ambalo hakika linachukua nafasi kubwa kwenye maisha yetu ya kila siku. Hakuna anayeweza kusema hili halimhusu, achilia mbali wagonjwa, watoto na wale wasiokuwa na...

 

12 months ago

BBCSwahili

Mgogoro wa visiwa vya China Kusini: China yasema matamshi ya Marekani ni ya 'kijinga'

Beijing inasema kuwa ina haki ya kupeleka majeshi na silaha 'katika himaya yake' baada ya Marekani kuishutumu kwa kuwatishia majirani zake.

 

2 weeks ago

VOASwahili

Marekani na China wanakutana kujadili ushuru wa bidhaa za China

Matamshi ya Trump kwenye Twitter kuhusu kuweka ushuru mpya kwa China yalipelekea masoko ya Asia na Marekani kuwa na wakati mgumu Jumatatu na iliongeza khofu juu ya idadi ya mashauriano ya biashara kati ya nchi hizo mbili

 

3 years ago

BBCSwahili

Marekani kukabiliana na China

Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa Marekani John Kerry, amesema Marekani inawazia kuanzisha ulinzi mkubwa wa angani kulinda maeneo ya bahari ya kusini mwa China.

 

5 years ago

BBCSwahili

Je Marekani inahofia China Afrika?

Rais Barack Obama wa Marekani, wiki hii anatarajiwa kukutana na viongozi wa nchi zipatazo 50 za Afrika, mjini Washngton.

 

2 years ago

VOASwahili

China yarejesha 'Drone' ya Marekani

Kitendo hicho kiliamsha hisia mpya kwa Washington na kati ya marafiki zake kuhusu China kuweka majeshi yake katika South China Sea.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani