Marekani Haifikiri Ahadi Yake ya Kupunguza Uzalishaji Hewa Chafu

thumb

Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani, John Kerry amewaeleza wajumbe wanaoshiriki mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi unaofanyika mjini Marrakech, Morocco kuwa hafikirii ahadi ya serikali ya nchi hiyo ya kupunguza uzalishaji wa hewa chafu inaweza ikabadilika.

Kauli ya waziri huyo wa mambo ya nje wa Marekani inaonyesha kujibu kauli iliyotolewa na Rais Mteule wa Marekani Donald Trump aliyesema suala la ongezeko la joto duniani ni kama mzaha na hakubaliani nalo na kutishia kuiondoa...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

BBCSwahili

Marekani na China kupunguza hewa chafu

Marekani na China zimeweka wazi nia yao ya kupunguza kiasi cha hewa chafu inayozalishwa na nchi hizo

 

3 years ago

BBCSwahili

Australia kupunguza hewa chafu

Waziri mkuu wa Australia, Tony Abbott, amesema kuwa nchi yake itapunguza hewa chafu inayotoa angani kwa asilimia 26 ya kiwango inachotoa mwaka huu ifikapo mwaka 2030.

 

2 years ago

Mtanzania

Watumishi hewa wamezaa ahadi hewa?

Tanzania's President elect Magufuli addresses members of the ruling CCM at the party's sub-head office on Lumumba road in Dar es Salaam

MIONGONI  mwa mambo ambayo mzazi au mlezi anaweza kufanya kosa ni pale ambapo atashindwa  kutimiza ahadi kwa  mtoto endapo alimwambia kuwa akifanya jambo fulani mfano kufaulu mtihani  atampatia zawadi.

Hakika mtoto huyo pamoja na kuwa hana uwezo wa kumwadhibu mzazi au mlezi kwa kitendo cha kutotimiziwa,  lakini ni wazi atanung’unika  huku akipoteza imani kwa yule aliyemuahidi.

Ni dhahiri watumishi wa Serikali ni kama watoto wadogo kwa Serikali wanayoitumikia. Watumishi hawa kufananishwa na...

 

2 years ago

Bongo5

Mwandishi Soyinka atimiza ahadi yake ya kuhama Marekani kabla hata ya kuapishwa kwa Donald Trump

Mwandishi maarufu duniani mwenye asili ya nchini Nigeria anayeishi Marekani, Wole Soyinka ametiza ahadi yake ya kuiharibu kadi yake inayompa nafasi ya kuishi nchini humo (Green Card) kabla hata Donald Trump hajaapishwa kwa mujibu wa shirika la habari la AFP.
_92792353_bd877e2a-18d0-4695-b7cb-73022a55412d

Mwezi uliopita mshindi huyo wa tuzo la fasihi alisema kuwa angeirarua green card, ambayo humpa mtu kibali cha kuishi nchini Marekanai ikiwa Dionald Trump angechaguliwa kuwa rais wa Marekani.

Aliliambia shirika la AFP mjini Johannesburg...

 

5 years ago

BBCSwahili

Hewa chafu inaua mamilioni duniani

Watu milioni saba walifariki mwaka 2012 kutokana na hewa chafu, kwa mujibu wa shirika la afya duniani

 

3 years ago

BBCSwahili

Hewa chafu husababisha vifo milioni 5.5 duniani

Utafiti mpya umeonyesha kuwa watu milioni tano unusu kote duniani wanakufa kila mwaka kutokana kuchafuka kwa mazingira.

 

2 years ago

BBCSwahili

Mchezaji aadhibiwa kwa kutoa hewa chafu

Refa mmoja raia wa Sweden, alimpa kwa mpigo kadi mbili za njano mwanasoka Adam Lindin Ljung-kvist, akiwa uwanjani, kwa kosa la kutoa hewa mbaya.

 

2 years ago

BBCSwahili

Unawezaje kumaliza tatizo la hewa chafu unakoishi?

Shirika la Afya Duniani linakadiria kwamba watu 9 kati ya watu 10 hupumua hewa chafu duniani.

 

1 year ago

Michuzi

SERIKALI YA MAREKANI YAREJEA UPYA AHADI YAKE YA KUFANYA KAZI NA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA (JWTZ) KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA VVU/UKIMWI

Serikali ya Marekani kupitia Taasisi ya kijeshi ya Walter Reed (WRAIR) imesaini upya makubaliano ya ushirikiano na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) siku ya Jumanne, Agosti 29, 2017 katika sherehe ya kusaini tamko la pamoja la ushirikiano katika jitihada za kupambana na VVU/UKIMWI. WRAIR ni kitengo cha kikosi cha jeshi la Marekani kinachojihusisha na tafiti za kitabibu na kimefanya kazi moja kwa moja na JWTZ tangu mwaka 2004 kutekeleza programu za VVU/UKIMWI Tanzania.
Utiaji saini huo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani