Marekani yawaondoa wafanyikazi wake kutoka Iraq huku wasiwasi kati yake na Iran ukiongezeka

Hatua hiyo inajiri baada ya jeshi kuonya kuhusu tishio kutoka kwa vikosi vinavyoungwa mkono na Iran katika eneo hilo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 week ago

BBCSwahili

Marekani yatuma mfumo wa kukinga makombora na meli ya kijeshi mashariki ya kati huku wasiwasi kati yake na Iran ukiendelea

Idara ya ulinzi nchini Marekani inasema kuwa inapeleka zana za kijeshi ili kuwalinda maafisa na mali yake kutokana na vitisho vya Iran

 

(Yesterday)

BBCSwahili

Rais wa Marekani asema vita dhidi ya Iran itakuwa mwisho wake huku wasiwasi kati ya mataifa hayo ukiendelea

Rais huyo wa Marekani ametoa onyo huku wasiwasi kati ya Washington na Tehran ukiendelea

 

(Yesterday)

Zanzibar 24

Wasiwasi watanda kati ya Marekani na Iran Donald Trump asema ” Tukipigana na Iran itakuwa mwisho wa taifa hilo”

Rais wa Marekani Donald Trump ameionya Iran kwamba itaharibiwa iwapo vita vitazuka katika ya mataifa hayo mawili. ”Iwapo Iran inataka kupigana , huo nduo utakuwa mwisho rasmi wa taifa hilo” , alisema katika jumbe wa Twitter siku ya Jumapili. ”Musijaribu kuitisha Marekani tena”. Ujumbe huo wa Twitter wa bwana Trump unaadhimisha kubadilika kwa msimamo baada ya jaribio la hivi karibuni la la kuficha uwezekano wa vita kati ya mataifa hayo mawili.

Kwa mujibu wa BBC. Siku chache zilizopita ,...

 

4 years ago

BBCSwahili

Marekani yawaondoa wanajeshi wake Yemen

Wizara ya mashauri ya kigeni Marekani imethibitisha kuwa wanajeshi wote wa Marekani waliokuwa wamebaki nchini Yemen wamondolewa

 

1 year ago

RFI

Marekani yaelezea wasiwasi wake kuhusu Kenya

Siku tatu baada ya kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga kujiapisha mwenyewe, Marekani imeleelezea wasiwasi wake mkubwa kutokana na mgogoro wa kisiasa unaoendelea nchini Kenya.

 

3 years ago

BBCSwahili

Marekani kuwatafuta raia wake Iraq

Mamlaka nchini Marekani zimesema zinajaribu kuwatafuta raia wa Marekani waliopotea mjini Baghdad

 

4 years ago

BBCSwahili

Hisia kutoka Marekani na Iran

Baada kutangazwa muafaka baina ya Iran na mataifa 6 yenye nguvu zaidi duniani Rais Obama na Rouhani wametoa hisia zao

 

3 weeks ago

Malunde

IMF: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vinavuruga ukuaji wa uchumi katika eneo la Mashariki ya Kati

Shirika la Fedha Duniani (IMF) limesema leo kwamba vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran, kuongezeka kwa machafuko katika Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini na tatizo la bei ya mafuta vinadhoofisha ukuaji wa kiuchumi katika kanda hiyo. 
Mkurugenzi wa IMF wa Idara ya Mashariki ya Kati na ya Asia ya Kati, Jihad Azour, amesema hali hiyo pia inachochea ukosefu wa ajira katika kanda hiyo. 
"Kasi ya polepole ya ukuaji wa uchumi inazua kutengenezwa ajira zinazohitajika ambazo zitawawezesha kupunguza...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani