MAREKANI YAZIONYA NCHI ZA ULAYA KUHUSU MKAKATI WAO WA KUTOISHIRIKISHA MAREKANI KATIKA ULINZI

Moja ya hitilafu kuu baina ya Marekani na nchi za Ulaya wakati huu wa urais wa Donald Trump huko Marekani, ni misimamo ya kukinzana ya pande mbili kuhusu siasa na miundo ya ulinzi ya Ulaya na nafasi ya shirika la kijeshi la nchi za Magharibi, NATO.

Suala hilo limepelekea nchi za Ulaya kuangalia upya siasa zao za kiulinzi na kufikiria kuwa na ulinzi huru wa bara Ulaya usioihitajia Marekani. 
Hata hivyo serikali ya Trump haifurahishwi hata kidogo na jambo hilo. Kama kawaida yake, Trump anatumia...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

TTB YAANDAA MKAKATI MAALUMU KUKAMATA MASOKO YA ULAYA NA MAREKANI

Na Geofrey Tengeneza - Berlin
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imeingia mkataba na kampuni tatu za Ulaya na Marekani ili kutayarisha mikakati maalumu ya utangazaji utalii mahsusi katika nchi za Ujerumani, Uingereza na Marekani ikiwa ni utekelezaji wa mkakati wa kuhakikisha inajipenyeza zaidi kaika masoko ya makuu ya utalii yalioanishwa katika mkakati wa Utangazaji utalii wa kimataifa wa miaka mitano katika masoko mbalimbali ya utalii duniani.
Mkataba huo umesainiwa katika maonesho ya...

 

4 years ago

Michuzi

KAMISHNA WA FORODHA NA ULINZI WA MIPAKA WA MAREKANI ATEMBELEA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (kushoto), akizungumza na Kamishna wa Forodha na Ulinzi wa Mipaka toka Serikali ya Marekani Bw. R. Gil Kerlikowske alipomtembelea ofisini kwake kuzungumzia masuala ya ushirikiano wa shughuli za kiulinzi kati ya Serikali ya Tanzania na Marekani. Kulia ni Msaidizi wa Balozi wa Marekani hapa nchini Bi. Virginia Blaser. Kamishna wa Forodha na Ulinzi wa Mipaka toka Serikali ya Marekani Bw. R. Gil Kerlikowske (kulia), akifafanua...

 

3 years ago

Global Publishers

Nchi 12 Ulaya na Marekani Zalaani ZEC Kurudia Uchaguzi

1Mwenyekiti wa ZEC, Jecha Salum Jecha Mabalozi wa nchi zinazounda Umoja wa Ulaya (EU) wameeleza kusikitishwa na kitendo cha Tume ya Uchaguzi (ZEC) kutangaza tarehe ya marudui ya Uchaguzi wakati mazungumzo ya kutatua mgogoro yakiendelea na kumtaka Rais John Magufuli kutumia nafasi yake ya uongozi kutatua mtanziko wa kisiasa visiwani Zanzibar. Taarifa ya pamoja iliyotumwa kwa vyombo vya habari na mabalozi hao jana, pia inamtaka Rais Magufuli kuendeleza wito wake wa kuzitaka pande zote...

 

2 years ago

MillardAyo

Baada ya Marekani, hizi ni nchi nyingine za Ulaya Alikiba atafanya tour

alik

Mwaka 2017 staa wa BongoFlava Alikiba ameamua kuuanza kwa kufanya tour ya muziki kwenye mataifa mbalimbali duniani kama alivyotangaza kwenye ukurasa wake wa Instagram. Hapa nimekusogezea ratiba  ya tour akazofanya kwenye bara la Ulaya ambapo ataanza na Ufaransa, Germany, Belgium, Switzerland, Sweden na Amsterdam kuanzia June mpaka July 2017   Alikiba ataendelea kutupatia ratiba za tour hii […]

The post Baada ya Marekani, hizi ni nchi nyingine za Ulaya Alikiba atafanya tour appeared first on...

 

3 years ago

Bongo5

Website maarufu ya Marekani Buzzfeed yaitaja Tanzania nchi ya 8 katika nchi 20 zinazovutia duniani

enhanced-7309-1430834722-9

Website maarufu ya Marekani, Buzzfeed imeitaja Tanzania kuwa ni nchi ya nane katika orodha yake ya nchi 20 zinazovutia zaidi duniani.

enhanced-7309-1430834722-9

Afrika Kusini imekata nafasi ya kwanza kwenye orodha hiyo.

Kuhusu Tanzania website hiyo imeandika:

Land of the Serengeti, Lake Victoria, Lake Natron and Lake Manyara, the Ngorongoro Crater, Zanzibar, the Spice Islands, Dar Es Salaam and a million more, Tanzania is almost beyond belief.

Mount Kilimanjaro rises over 3 miles above the surrounding plains, making...

 

3 years ago

Michuzi

Maoni ya Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mark B. Childress Kuhusu maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Marekani

Wakati Marekani ikiadhimisha miaka 240 ya Uhuru wetu, ninakumbushwa kwamba nchi yetu, kama ilivyo kwa Tanzania, imedhamiria kuimarisha amani, utulivu, na ukuaji wa uchumi kwa raia wake wote. Tarehe 4 Julai, tunasherehekea Katiba yetu tunayoienzi, ambayo ni nyaraka inayotupa na kutuhakikishia haki binafsi kama vile uhuru wa kujieleza, uhuru wa kukusanyika na uhuru wa vyombo vya habari. Tuna fahari kwa demokrasia yetu ya uwakilishi ambayo kwa karne kadhaa imewezesha kuwekwa kwa mifumo ya...

 

2 years ago

Michuzi

Mayrose pamoja na Baadhi ya Watanzania Waishio Marekani Katika Kampeni ya Kuinua Maadili Kitaifa 2017, Maryland Marekani.

Mtaalam wa Maendeleo ya Watu Mayrose Kavura Majinge akieleza umuhimu wa Kanuni ya Dhahabu "The Golden Rule" Katika kuondoa Ufisadi na maovu mbalimbali katika jamii yetu. Fuatilia Habari kamili: maadilikitaifa.blogspot.comProfesa Nicholls Boas wa Chuo Kikuu Maryland Marekani akiwa miongoni mwa wadau Watanzania waishio Marekani akifurahia jambo wakati wa Siku Maalum ya Kuwezesha Kampeni ya Kuinua Maadili Kitaifa iliyofanyika Katika ukumbi wa Quality One Care, Maryland Marekani.Baadhi ...

 

2 years ago

Channelten

Jopo la majaji wa Marekani lapinga tena zuio la rais wa Marekani dhidi ya baadhi ya watu kuingia Marekani

54

Jopo la majaji wa Marekani lapinga tena zuio la rais wa Marekani dhidi ya baadhi ya watu kuingia Marekani

Jopo la majaji watatu wa mahakama kuu ya Marekani limetoa uamuzi wa kuzia tena amri ya Rais wa Marekani, inayozuia watu kutoka nchi sita kuingia Marekani kwa muda wa siku 90, na kuahirisha kupokea wakimbizi wote.

Rais Trump alitangaza marufuku ya kwanza Januari 27, na kutangaza marufuku ya pili March 15, marufuku zote mbili zilizuiwa na majaji wa mahakama kuu ya Marekani. Marufuku ya...

 

4 years ago

Michuzi

UDSM KUIWAKILISHA NCHI KATIKA MASHINDANO YA KIMATAIFA YA UENDESHAJI KESI BANDIA(MOOT COURT)WASHINGTON,MAREKANI

 Msajili wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCHPR)Dk Eno Robert akizungumza kabla ya kutangaza matokeo ya mashindano ya uendeshaji wa Mahakama kwa wanafunzi wa Vyuo(Moot Court)yaliyofanyika katika Mahakama hiyo jijini Arusha. Wanafunzi wa Sheria katika Chuo Kikuu cha Dar es Saalam(Udsm)kutoka kushoto,Emmanuel Bakilana,Jacob Muheesi,Alicia Atukunda na Adela Msofe wakiwa hawaamini ushindi wao dhidi ya Chuo Kikuu cha Saint Augustine(Saut)Mwanza.Wanafunzi wa Chuo cha Udsm wakipongezana...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani