Maria Sarungi Tsehai, mkereketwa wa mabadiliko Tanzania

WIKI iliyopita nilianza kuwaangalia Watanzania wenye ushawishi mkubwa katika mitandao ya kijamii na kama mnakumbuka nilianza na Evarist Chahali anayeishi nchini Uingereza.

Wiki hii naendelea na utaratibu huo. Miongoni mwa watu hao, wako ambao wengi wetu tutakuwa tunawafahamu kutokana na umaarufu wao miongoni mwa jamii yetu, lakini wapo ambao tunaweza kuwa hatuwafahamu.

Maria Sarungi Tsehai ni maarufu sana miongoni mwa watumiaji wa mtandao wa Twitter. Yeye ni mtaalamu wa masuala ya...

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Tanzania Daima

MARIA SARUNGI TSEHAI: Muungano wa pamoja utaleta elimu bora

MFUMO wa elimu wa Tanzania, unamtarajia mtoto akimaliza darasa la pili awe ana uelewa mkubwa wa kujua kusoma na kuandika. Makala haya yanamuangazia, Mwanadada Maria Sarungi Tsehai, ambaye ni Mkurugenzi...

 

4 years ago

Vijimambo

5 years ago

Mwananchi

Maria Sarungi: Sikutarajia kuzomewa bungeni

Maria Sarungi ni mwanaharakati na mmoja wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye amejizolea umaarufu katika kipindi kifupi kutokana na msimamo wake wa kutetea haki za raia.

 

4 years ago

Mwananchi

MARIA SARUNGI : Kinara wa mitandao ya kijamii anayesimama kwenye ukweli

Licha ya kuwa Watanzania wengi wameifahamu mitandao ya kijamii miaka michache iliyopita wapo ambao wamekuwa mstari wa mbele kuisukuma na kuifanya kuwa sehemu ya maisha ya watu wengi.

 

4 years ago

Vijimambo

"KATIKA SIASA HAKUNA MALAIKA WALA SHETANI"-Maria Sarungi

Tanzania tunaweza kujenga jamii ya kidemokrasia na itajengwa na SISI wananchi na si wanasiasa. Kwa sababu wanasiasa wako bize kutwaa madaraka – mwanasiasa yoyote yule – tusidanganyike! Hivyo basi sisi wananchi tukiwa kama wanachama wa vyama, kama wapiga kura, tuhakikishe tunakuwa mashabiki wa demokrasia na uwazi kwanza na si mashabiki wa vyama na wanasiasa.

Hivi karibuni kumekuwa na matukio mbalimbali kwa upande wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA kinachonisukuma kusema kuwa tunachoona...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mkereketwa apigwa risasi na kuuawa Libya

Wakili mashuhuri mkereketwa wa haki za kibinadamu nchini Libya ameuliwa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana mjini Benghazi.

 

3 years ago

Raia Mwema

Zitto Kabwe: Mwanasiasa mashuhuri, msomi na mkereketwa wa maendeleo

Jina la Zitto Zuberi Kabwe sio geni miongoni mwa watanzania waishio ndani na nje ya miaka ya taifa hili la Afrika Mashariki. Ni Kiongozi Mkuu wa chama cha upinzani cha ACT Wazalendo na mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwakilisha jimbo la Kigoma Mjini.

Ni miongoni mwa Watanzania wachache wenye wafuasi wengi sana katika mtandao wa kijamii wa Twitter na amekuwa akitumia sana mitandao ya kijamii katika kuelezea hisia zake kuhusiana na mambo mbalimbali ambayo yanalihusu...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani