Marie-Josee Ifoku: Mama wa watoto nane anaegombea urais DRC

Bi Ifoku, mwenye miaka 53 si mgeni katika siasa za Congo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Picha: The Game alivyo amua kumsaidia Mama mwenye watoto nane

Rapper The Game hivi karibuni kupitia kampeni yake ya “Yo Mama, My Mama”, anaendelea kutoa misaada tofauti kwa jamii iliyomzunguka rapper huyu kutoka Compton, California alitumia dola $1,000 kununua vyakula vya familia ya mama mwenye watoto nane.

the-game

Mama huyu ambaye anaitwa Yvette Hicks ana watoto nane na ameachana na mume wake, hivi karibuni mtoto wake wa kike Eunice alirekodi video na kuiweka katika mtandao huku akitoa sababu za kwanini mama yake ana haki ya kupata msaada huo na ndipo The...

 

2 years ago

Michuzi

MAMA JANETH MAGUFULI ATOA VYAKULA KWA VITUO NANE VYA KULELEA WATOTO YATIMA

 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkabidhi Hajat Mwanaisha Magambo mkuu wa kituo cha New Life Orphanage cha Boko Dawasco kwa niaba ya viongozi wa  vituo nane vya kulelea yatima na watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu waliopewa vyakula kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani pamoja na sikukuu ya Eid el Fitr na Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli  Ikulu  jijini Dar es salaam leo Juni 20, 2017. 

Vituo vilivyopkea vyakula hivyo ni pamoja na New Life kilichopo Boko Dawasco chanye watoto 121,...

 

3 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA MAONYESHO YA NANE NANE, MJINI LINDI

Mwenyekiti wa WAMA, Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mama Salma Kikwete akiwa katika moja ya Banda la Mifugo, wakati alipotembelea baadhi ya maeneo katika maonyesho ya Kilimo ya nane nane yanayofanyika mkoani Lindi kitaifa.Mwenyekiti wa WAMA, Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mama Salma Kikwete akiangalia bustani ya mbogamboga katika maonyesho ya Kilimo ya nane nane yanayofanyika mkoani Lindi kitaifa.Mwenyekiti wa WAMA, Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mama Salma Kikwete akisaini...

 

3 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu awasili Mkoani Lindi, kufunga maonyesho ya Nane nane kesho

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania SAMIA SULUHU HASSAN amewasili mjini LINDI mchana huu akitokea mkoa wa Dar es Salaam kwa njia ya barabara ambapo hapo kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha   Sikukuu ya Wakulima Nanenane kitaifa kwenye viwanja wa NGONGO katika Manispaa ya LINDI.

Makamu wa Rais SAMIA SULUHU HASSAN anatarajiwa kufunga maonyesho hayo ya Nane nane hapo kesho kwa  niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dakta JOHN POMBE MAGUFULI.

Alipowasili...

 

5 years ago

Michuzi

Wazazi Shule ya Sekondari St. Anne Marie waomba watoto wao waruhiswe kufanya mtihani wa Mock kidato cha Sita

Kiongozi wa wazazi na walezi wa wanafunzi wa kidato cha sita waliosimamishwa masomo katika shule ya St. Anne Marie Adel Alex (katikati) akielezea kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya mgogoro huo unaoendelea, kushoto ni Patricia Richard ambaye ni mlezi na kulia ni Dunstan Masingisa ambaye ni mzazi. Baadhi ya wanafunzi wa kidato cha sita waliosimamishwa masomo katika shule ya St. Anne Marie kufuatia vurugu zilizosababishwa na mwanafunzi mwenzao kupigwa shoka na mlinzi wa...

 

2 years ago

RFI

Wagombea nane waidhinishwa kuwania urais nchini Kenya

Tume ya Uchaguzi nchini Kenya, imeidhinisha majina ya wagombea wanane kuwania urais mwezi Agosti mwaka huu, wakati wa Uchaguzi Mkuu utakapofanyika.

 

4 years ago

Vijimambo

WAGOMBEA NANE WAIDHINISHWA NA TUME YA UCHAGUZI KUGOMBEA NAFASI YA URAIS NCHINI.

Vyama vilivyoshindwa kukidhi vigezo ni CCK, TADEA, DP na AFP amabyo imeingia mitini ambapo akizungumza na waandishi wa habari nje ya ofisi za tume baada ya tume kuwatangazia kushindwa kukidhi vigezo mwenyekiti wa CCK Bw Costantine Akitanda amesema.Wagombea urais waliowahi mapema asubuhi ni Mh Edward Lowassa Chadema na Dk Jonh Magufuli wa CCM ambapo kwa nyakati tofauti waliowasili ofisi hizo za tume wakiwa na wapambe wao wachache na mara baada ya kuidhinishwa na mwenyekiti wa tume ya taifa ya...

 

2 years ago

CCM Blog

MAMA JANETH MAGUFULI NA MAMA SHEIN WATEMBELEA VITUO VYA WATOTO YATIMA NA WAZEE ZANZIBAR

 Mama Janeth Magufuli na Mama Mwanamwema Shein wakiwa na baadhi ya watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha yatima cha Mazizini Unguja ambako wake hao wa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar walitembelea ambapo Mama Magufuli alitoa msaada wa vyakula mbali mbali na mafuta ya kupikia na sukari. Mama Janeth Magufuli akiwa ameongozana na Mama Mwanamwema Shein katika kituo cha yatima cha SOS eneo la Mombasa mjini Unguja ambako wake hao wa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

2 years ago

Michuzi

MAMA JANETH MAGUFULI NA MAMA SHEIN WATEMBELEA VITUO VYA WATOTO YATIMA NA WAZEE ZANZIBAR LEO

 Mama Janeth Magufuli na Mama Mwanamwema Shein wakiwa na baadhi ya watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha yatima cha Mazizini Unguja ambako wake hao wa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar walitembelea ambapo Mama Magufuli alitoa msaada wa vyakula mbali mbali na mafuta ya kupikia na sukari leo Oktoba 13, 2017. Mama Janeth Magufuli akiwa ameongozana na Mama Mwanamwema Shein katika kituo cha yatima cha SOS eneo la Mombasa mjini Unguja ambako wake hao wa Marais wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani