MARTIN KADINDA NA MARAFIKI WA WEMA WASHINDA MAHAKAMANI HUKU AKISEMA YEYE SIO MENEJA WAKE MSANII HUYO KWA SASA

 Aliyekuwa meneja wa wema Martin Kadinda akiwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam  pamoja na wanasheria
Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii
Mbunifu wa mitindo maarufiu nchini, Martin Kadinda amesema kuwa yeye sio meneja wa msanii Wema Sepetu kwa sasa bali amefika mahakamani hapo kama rafiki wa karibu wa msanii huyo.Kadinda amesema hayo katika maongezi maalum na mwandishi huyu  juu ya uhusiano wake na Wema Sepetu kwa sasa hasa mara baada ya kuhusishwa na tuhuma za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

MARTIN KADINDA NA KUNDI LAKE WASHINDA MAHAKAMANI,AKANA YEYE SIO MENEJA WA WEMA KWA SASAA


Aliyekuwa meneja wa wema Martin Kadinda akiwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu pamoja na wanasheria


Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii

Mwanamitindo maarufiu nchini, Martin Kadinda amesema kuwa yeye sio meneja wa Wema Sepetu kwa sasa, bali amefika mahakamani hapo kama rafiki wa karibu wa msanii huyo.

Kadinda amesema hayo katika maongezi maalum na mwandishi wa globu ya jamii juu ya uhusiano wake na Wema Sepetu kwa sasa. hasa mara baada ya kuhusishwa na tuhuma za matumizi na uuzwaji wa...

 

5 years ago

Bongo Movies

Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.

Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao

NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...

 

2 years ago

Bongo Movies

Mimi Sio Meneja wa Wema Sepetu – Martin Kadinda

Aliyekuwa meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amefunguka na kuzungumzia mahusiano yake na malkia huyo wa filamu baada ya wawili hao kutokuwa karibu zaidi kama zamani.

Wema Sepetu na meneja wake, Martin Kadinda

Wema Sepetu na Martin Kadinda

Mbunifu huyo wa mavazi ameiambia Bongo5 kuwa kwa sasa yeye na Wema Sepetu ni kama kaka na dada na sio meneja wake tena.

“Mimi kum-meneji Wema nimemaliza kama miaka miwili iliyopita, mkataba uliishia hapo, lakini tukasimama kama mtu na kaka yake,” alisema Martin. “Kwa hiyo umeneja ule wa ukaka na...

 

2 years ago

Bongo5

Mimi sio meneja wa Wema Sepetu toka 2014 – Martin Kadinda

Aliyekuwa meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amefunguka na kuzungumzia mahusiano yake na malkia huyo wa filamu baada ya wawili hao kutokuwa karibu zaidi kama zamani.
wema-sepetu-na-martin-kadinda
Wema Sepetu na Martin Kadinda

Mbunifu huyo wa mavazi ameiambia Bongo5 kuwa kwa sasa yeye na Wema Sepetu ni kama kaka na dada na sio meneja wake tena.

“Mimi kum-meneji Wema nimemaliza kama miaka miwili iliyopita, mkataba uliishia hapo, lakini tukasimama kama mtu na kaka yake,” alisema Martin. “Kwa hiyo umeneja ule wa ukaka na...

 

4 years ago

Vijimambo

Wema Sepetu Hajampeleka Diamond Mahakamani Kwa Deni La Milion 10 Martin Kadinda Afunguka


Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amekanusha taarifa zilizoandikwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari nchini likiwemo gazeti la Mtanzania kuwa amempeleka Diamond polisi kwa kile kinachosemwa ni kumtapeli shilingi milioni 10.Martin ameiambia Bongo5 kuwa Wema na Diamond hawadaiani chochote na kwamba habari hizo ni za uongo.
“Unajua tatizo ni kwamba hatujajua source ni nani,” amesema Martin. “Kwa sababu taarifa ikishaingia kwenye social network everybody posts, kwahiyo sisi tunamtafuta nani...

 

4 years ago

Bongo Movies

Picha:Safisha Macho na Hizi za Bethidei Pati ya Meneja wa Wema, Martin Kadinda Hapo Jana

Siku ya jana ilifanyika bonge la sherehe ndani ya MOG bar &restaurants zamani nyumbani lounge, ilikuwa ni meneja wa staa Wema Sepetu, Martin  Kadinda alikuwa akisherekea siku yake ya kuzaliwa, Mastaa na watu wake  wakaribu walikuwepo ndani ya nyumba.

Jionee baadhi ya picha za tukio zima hapo juu.

 

5 years ago

Vijimambo

Martin Kadinda Hivi Kweli Meneja Ndo Anatakiwa Awe Hivi Kwa Mteja Wake? Jisomee Alichoandika

Katika pitapita zangu instagram nikakutana na post aliyoiweka Martin Kadinda kuhusu mteja wake mpya Elizabeth michael aka Lulu.Nilishangazwa sababu maneno haya hayakutakiwa kuwekwa na manager wake,labda kama ana mmanage kwenye biashara ya Ngono..Picha hiyohapo niliyo screenshoot.

 

2 years ago

Bongo Movies

Martin Kadinda Atoa Siri ya Wema

Mbunifu maarufu wa mavazi bongo ambaye pia ni mtu wa karibu wa Wema Sepetu, Martin Kadinda, ametoa siri kwa wasiomjua mlimbwende huyo maarufu kama Tanzania Sweetheart ni mkorofi kuliko anavyoaminika.

Wema Sepetu na Martin Kadinda

Kadinda ametoa siri hiyo ambayo wengi walikuwa hawajui kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, na kusema kwamba Wema Sepetu yuko tofauti na watu wengi wanavyoamini kuwa yupo, lakini pia udhaifu wake mkubwa ni kumuamini kila mtu bila kuchukua muda kumjua...

 

2 years ago

Bongo Movies

Wema Anaangushwa na Marafiki Zake – Kadinda

Mbunifu wa mavazi kutoka Bongo, Martini Kadinda amesema hawezi kumchagulia Wema Sepetu marafiki wa kuwa nao karibu na hawezi kujiingiza kwa lolote katika ugomvi wao.

Wema Sepetu na Martin Kadinda

Wema Sepetu na Martin Kadinda

Akipiga story ndani ya eNewz, Kadinda amesema ugomvi ambao unatokana na marafiki zake Wema unamshusha Wema kwa kuwa Wema ni mtu maarufu na ana jina kubwa hivyo alichokifanya ni kumzuia Wema kuweka ugomvi wake katika mitandao ya kijamii.

Pia Martin ameendelea kuwasihi mashabiki zake kuendelea...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani