MASENETA WA MAREKANI WAKUTANA NA RAIS MAGUFULI IKULU DAR ES SALAAM

Rais John Magufuli wa Tanzania, amefanya mazungumzo na ujumbe wa maseneta wa Baraza la Seneti la Marekani.

Taarifa ya Ikulu ya jana Jumatano imesema maseneta hao ni wajumbe wa kamati ya mazingira inayoshughulikia hifadhi ya taifa, wanyamapori na misitu ya Marekani.

Maseneta hao wamekuwepo nchini Tanzania kwa siku tatu lengo likiwa ni kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro.

Mazungumzo hayo pia yamehudhuriwa na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Dk Inmi Patterson.

Taarifa ya Ikulu...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MASENETA WA BARAZA LA MAREKANI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na  Seneta James Inhofe pamoja na Maseneta wa Baraza la Marekani  walipotembelea na kufanya mazungumzo  Ikulu jijini Dar es Salaam Oktoba 11, 2017.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Waziri wa Viwanda Biashara na uwekezaji Charles Mwijage, Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Hamiss Kigwangala, Naibu Waziri wa Mambo ya nje Suzane Kolimba pamoja  Maseneta wa Baraza...

 

2 years ago

Dewji Blog

Rais Dk.Magufuli,Thabo Mbeki wakutana Ikulu Dar, wateta juu ya Umoja wa Afrika

Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli leo  Novemba 14.2016 amekutana na Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, Mh. Thabo Mbeki na kuteta mambo mbalimbali juu ya Umoja wa Afrika (AU). Soma hapa taarifa zaidi ya Ikulu.

The post Rais Dk.Magufuli,Thabo Mbeki wakutana Ikulu Dar, wateta juu ya Umoja wa Afrika appeared first on DEWJIBLOG.

 

5 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MEYA WA MJI WA VALLEJO WA MAREKANI, IKULU DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Meya wa Mji wa Vallejo nchini Marekani Mstahiki Osby Davis alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi Februari 27, 2014. Meya Davis yuko nchini na ujumbe wa wafanyabiashara 15 kutoka Vallejo wakiwa katika ziara ya kutafuta fursa za uwekezaji na ushirikiano. Mji wa Vallejo ni mji dada na wa Bagamoyo katika mkoa wa Pwani. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi ya sanamu ndogo ya mji wa Vallejo toka kwa Meya wa Mji wa Vallejo nchini...

 

3 years ago

Michuzi

Rais Magufuli amkaribisha katika dhifa Rais wa Vietnam Ikulu Jijini Dar es Salaam.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi mbalimbali toka Tanzania na Vietnam kwenye halfa ya kumkaribisha Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti Mhe. Truong Tan Sang iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti Mhe. Truong Tan Sang akizungumza na viongozi mbalimbali toka Tanzania na Vietnam katika halfa ya kumkaribisha  iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Rais Dkt Magufuli akutana na Rais Lungu wa Zambia Ikulu leo Dar es salaam

 

lungu1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa Mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.PICHA NA IKULU

SERIKALI za Tanzania na Zambia zimeahidi  kuimarisha  utendaji kazi wa reli ya TAZARA  na mradi  wa bomba la mafuta la TAZAMA yanayoendeshwa kwa ushirikiano wa  baina ya nchi hizo.

Akizungumza  leo,  Ikulu Jijini Dar es Salaam, Rais wa Zambia Mheshimiwa Edgar Lungu  alisema kuwa Tanzania na Zambia...

 

10 months ago

Michuzi

Rais Magufuli akutana na Rais Shein na Balozi wa Japan Ikulu Jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Mhe. Masaharu Yoshida alipokutana na na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 22, 2017. PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein walipokutana na kufanya mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 22, 2017

 

1 year ago

CCM Blog

RAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA ALAKIWA NA RAIS DK. MAGUFULI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mgeni wake Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma wakati wa Nyimbo za Mataifa mawili (Tanzania & Afrika Kusini)  zikipigwa katika viwanja wa Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AMWANDALIA RAIS EDGAR LUNGU DHIFA YA KITAIFA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na  mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Lungu wakiwasili katika ukumbi wa Ikulu kwa dhifa ya kitaifa aliyomwandalia Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu. Meza kuu ikiwa imesimama kwa Wimbo wa Taifa Rais Dkt Magufuli akimsindikiza mgeni wake Rais Edgar Lungu wa Zambia kusalimiana na viongozi mbalimbali Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi. Kulia ni Naibu Spika Dkt...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani