Masha ajivua uanachama Chadema

Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha ametangaza kujivua Uanachama wa CHADEMA kwa madai kuwa viongozi wa chama hicho hawana nia ya dhati ya kuunda serikali na kushika dola.

 

The post Masha ajivua uanachama Chadema appeared first on Zanzibar24.

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Mbunge ajivua uanachama Chadema

Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi ametangaza kujivua uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

 

2 years ago

Mwananchi

Aliyekuwa mwenyekiti Chadema Mwanza ajivua uanachama

Aliyekuwa Mweyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Mwanza, Adrian Tizeba ametangaza kujivua uanchama na kuachana na siasa.

 

12 months ago

Michuzi

DIWANI WA CHADEMA AJIVUA UANACHAMA NA KUJIUNGA CCM MKOANI RUVUMA

Kushoto ni Diwani wa kata ya Shule ya Tanga iliyopo Songea mjini mkoani Ruvuma kupitia tiketi ya Chama Cha Demoklasia na Maendeleo ( CHADEMA )Mussa Ndomba aliyejivua uaanachama na kujiunga Chama tawala cha mapinduzi (CCM)  akimkabidhi kadi mwenyekiti wa CCM mkoa wa RUVUMA Mh. ODDO MWISHO. kwa undani zaidi wa habari hii bonyeza play hapo chini .

 

2 years ago

GPL

MWAPACHU AJIVUA UANACHAMA CCM

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Juma Mwapachu leo ametangaza rasmi kujivua uanachama ndani ya CCM bila kusema anaelekea chama gani huku akidai kuwa, CCM imepoteza dira.

 

11 months ago

MillardAyo

Kitu Afande Sele kaongea toka ajivua uanachama ACT-Wazalendo….

dsc_0304

Ni msanii mkongwe Afande Sele kutoka Tanzania alitangaza kujivua  uanachama wa ACT Wazalendo.Kilichomfanya Afande Sele a-trend kwenye mitandao ya kijamii Dec 15 2016 ni baada ya kuchukua maamuzi hayo ya kujiondoa ndani ya chama hicho cha ACT- Wazalendo. Baada ya hapo wengi wametoa maoni yao kwenye mitandao ya kijamii kuhusu maamuzi ya Afande Sele na usidhani […]

The post Kitu Afande Sele kaongea toka ajivua uanachama ACT-Wazalendo…. appeared first on millardayo.com.

 

3 weeks ago

CHADEMA Blog

Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ajivua Ubunge; ajitoa CCM na kuomba kujiunga CHADEMA

NIMEAMUA kujiuzulu NAFASI yangu ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM, pamoja na nafasi zote za Uongozi ndani ya Chama kuanzia leo, Oktoba 30, 2017. HALIKADHALIKA, asubuhi ya leo nimemwandikia Spika wa Bunge, Mh. Job Ndugai, Mb., barua ya kujiuzulu nafasi yangu ya UBUNGE wa Jimbo la Singida Kaskazini kupitia tiketi ya CCM, nafasi ambayo nimeitumikia kwa vipindi vinne

 

2 years ago

Daily News

Masha, Siyoi Sumari join Chadema


Masha, Siyoi Sumari join Chadema
Daily News
FORMER Home Affairs Minister, Mr Lawrence Masha and Mr Siyoi Sumari CCM parliamentary seat contender for Arumeru–East who was defeated in the primaries who is son-in-law to presidential candidate (UKAWA), Mr Edward Lowassa, both officially ...

 

1 week ago

Malunde

Breaking News: LAWRENCE MASHA AJIONDOA CHADEMA

ALIYEKUWA mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Lawrence Masha, leo amejiondoa katika chama hicho na amesema atatafakari mustakabali wa kujiunga na chama cha siasa kingine. Pia amempongeza Rais John Magufuli kwa kutekeleza mambo ambayo waliyokuwa wanayapigia kelele wapinzani ambayo viongozi waliopita hawakuyatekeleza.

 

8 months ago

Zanzibar 24

Chadema yawasimamisha Masha na Wenje Bunge la Afrika Mashariki

Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA imewateuwa Ezekia Dibogo Wenje na Lawrence Kego Masha kuwa wagombea Ubunge Uchaguzi wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA).

Masha ni waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Wenje alikuwa Mbunge wa Jimbo la Ilemela. Bunge la EALA  litakuwa na wabunge tisa kutoka Tanzania, ambapo CCM itakuwa na wabunge 6 na vyama vya upinzani wabunge 3.

The post Chadema yawasimamisha Masha na Wenje Bunge la Afrika Mashariki appeared first on...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani