Masha, Siyoi Sumari join Chadema


Masha, Siyoi Sumari join Chadema
Daily News
FORMER Home Affairs Minister, Mr Lawrence Masha and Mr Siyoi Sumari CCM parliamentary seat contender for Arumeru–East who was defeated in the primaries who is son-in-law to presidential candidate (UKAWA), Mr Edward Lowassa, both officially ...

Daily News

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Masha ajivua uanachama Chadema

Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha ametangaza kujivua Uanachama wa CHADEMA kwa madai kuwa viongozi wa chama hicho hawana nia ya dhati ya kuunda serikali na kushika dola.

 

The post Masha ajivua uanachama Chadema appeared first on Zanzibar24.

 

1 year ago

Malunde

Breaking News: LAWRENCE MASHA AJIONDOA CHADEMA

ALIYEKUWA mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Lawrence Masha, leo amejiondoa katika chama hicho na amesema atatafakari mustakabali wa kujiunga na chama cha siasa kingine. Pia amempongeza Rais John Magufuli kwa kutekeleza mambo ambayo waliyokuwa wanayapigia kelele wapinzani ambayo viongozi waliopita hawakuyatekeleza.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Chadema yawasimamisha Masha na Wenje Bunge la Afrika Mashariki

Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA imewateuwa Ezekia Dibogo Wenje na Lawrence Kego Masha kuwa wagombea Ubunge Uchaguzi wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA).

Masha ni waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Wenje alikuwa Mbunge wa Jimbo la Ilemela. Bunge la EALA  litakuwa na wabunge tisa kutoka Tanzania, ambapo CCM itakuwa na wabunge 6 na vyama vya upinzani wabunge 3.

The post Chadema yawasimamisha Masha na Wenje Bunge la Afrika Mashariki appeared first on...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Viongozi wa CHADEMA wamjibu Lawrence Masha kwa kujiuzulu

Baadhi ya wabunge na viongozi wa CHADEMA wametoa maoni yao Kwenye kurasa zao mbali mbali za mitandao ya kijamii baada ya mwanachama wao Lawrence Masha kujivua uanachama akisema CHADEMA haina malengo ya kushika dola, kama vyama vyengine.

 Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema, ameandika ujumbe akisema safari ya kupigania usawa na haki ni safari ndefu, kwa yeye mwanaume kushindwa kuhimili safari hiyo ni aibu kwani kuna wananwake ambao bado wanaendelea kuhimili ugumu wa safari.

“Lawrence...

 

4 years ago

Vijimambo

MH.LAWRENCE MASHA NA VIONGOZI WENGINE WA CCM WAAHAMIA CHADEMA LEO

Kwa taarifa zilizotufikia leo kutoka Mkoani Arusha zinasema kuwa aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya ndani Mh.Lawrence Masha kakihama Chama cha Mapinduzi na kujiunga na CHADEMA leo.Pia Wanachama wa (CCM) na viongozi ambao ni Daniel Porokwa aliyekuwa katibu wa CCM mkoani Manyara, Robinson aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Arusha, aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa Arusha, Goodluck Sipira aliyekuwa katibu wa CCM mkoani  Arusha huyu anatokea Longido, Wazee wa kimila wa kimasai  pamoja na Wazee wa...

 

1 year ago

Malunde

WABUNGE WA CHADEMA WAJIBU TUHUMA ZA LAWRENCE MASHA KURUDI CCM

Baadhi ya wabunge na viongozi wa CHADEMA wametoa maoni yao baada ya mwanachama wao Lawrence Masha kujivua uanachama na kujibu tuhuma alizozitoa zikiwa kama sababu za kujivua kwake.

Kwenye kurasa zao mbali mbali za mitandao ya kijamii Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema, ameandika ujumbe akisema safari ya kupigania usawa na haki ni safari ndefu, kwa yeye mwanaume kushindwa kuhimili safari hiyo ni aibu kwani kuna wanawake ambao bado wanaendelea kuhimili ugumu wa safari.

“Lawrence Masha ,...

 

1 year ago

Malunde

MBOWE : MASHA HAKUWA NA MSAADA WOWOTE CHADEMA,ULISHAWAHI KUMSIKIA AMEFANYA CHOCHOTE?

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe amesema kuwa aliyekuwa mwanachama wao, Lawrence Masha hakuwa na msaada wowote ndani ya chama hicho.

Amesema kuwa kuondoka kwa Masha katika Chama hicho hakijatikisika chochote bali kinazidi kuimarika na kupokea wanachama wengi wapya, hivyo kuondoka kwa mtu asiyekuwa na msaada ndani ya chama hicho si tatizo.

“Alikuwa hatusaidii chochote ndani ya maji, kwani ulishawahi kumsikia amefanya chochote akiwa chadema? acha amfuate...

 

1 year ago

CHADEMA Blog

Mauaji na Utekaji Tanzania: CHADEMA walia na Serikali, Lema, Masha na Kigaira walaumu IGP Sirro na Magufuli

John Mrema: Leo ni siku ya 29 tangu Lissu afanyiwe jaribio la kumuua, lakini mpaka sasa Polisi hawajaeleza Chochote wala hawajamshikilia Popote. Polisi walisema wameshikilia Nissan nane lakini wamiliki hawajulikani na Zilipo hapajulikani kwani hatujawahi kuziona. John Mrema: Viongozi wa CHADEMA wanazidi kufuatiliwa na wa tu wasiojulikana. Wabunge Bulaya, Nassari, Lema, Makamu Mwenyekiti wa

 

4 years ago

TheCitizen

3,000 CCM cadres join Chadema

The ruling CCM got a big blow at Naisinyai Ward in Simanjiro District, Manyara Region, late on Monday after 3,000 of its members defected to the main opposition Chadema at a campaign rally.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani