Mashabiki 40,000 kuwaona Yanga, Mazembe uwanjani

Mashabiki 40,000 wakiwamo 500 wa TP Mazembe watashuhudia mchezo leo wa Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Yanga na TP Mazembe kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

YANGA WAPO KAMILI, MASHABIKI 40,000 KUWAONA.

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.KIKOSI cha Yanga kipo tayari kuwavaa TP Mazembe kesho katika mchezo wa pili wa kombe la Shirikisho Afrika ambapo unatarajiwa kupigwa katika dimba la uwanja wa Taifa huku wachezaji wote wakiwa katika hali nzuri kimchezo na kisaikolojia. Hayo yamesemwa leo katika mkutano na waandishi wa habari kuwa Wachezaji wapo tayari kwa ajili ua ushindi.
Mkuu wa Kitengo cha habari na Mawasiliano Jerry Muro amesema kuwa, kwa sasa kilichobakia ni kuweza kusubiri muda ufike na...

 

3 years ago

Bongo Movies

Picha:Mechi ya TP Mazembe na Yanga,Mashabiki Walivyofulika Uwanjani

Mechi ya kombe la Shirikisho kati ya timu za Yanga na TP Mazembe imekuwa ya aina yake na kuingia kwenye historia baada ya mashabiki kuingia uwanjani asubuhi na uwanja huo kujaa saa tano asubuhi na mageti kufunga, mechi hiyo itapigwa saa kumi jioni.

yanga566 yanga56 yanga678

 

3 years ago

Mwananchi

Mashabiki wa Mazembe watinga uwanjani

Saa 7: 41 mchana, mashabiki wa TP Mazembe kutoka Congo wanaingia uwanjani, wanakwenda moja kwa moja eneo lao maalumu walilotengewa huku wakishangilia kwa nguvu na kupewa sapoti na mashabiki wa Simba.

 

3 years ago

Mwananchi

Mazembe yawagonganisha mashabiki Yanga, Simba

Huku mashabiki wa Simba wakiisubiri TP Mazembe kupanga mikakati ya pamoja ya ushangiliaji dhidi ya Yanga wakati wa mechi ya Kombe la Shirikisho (CAF), Juni 28, watani zao wamedhamiria kutumia mbinu za ushangiliaji za Waarabu ili kuipa hamasa timu yao.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Maguli kaeleza soka la Oman, usitarajie kuwaona wanawake uwanjani

dsc_5653

Mshambuliaji wa Taifa Stars na Dhofar ya Oman Elias Maguli alipitia changamoto nyingi sana hapa karibu baada ya kuachwa na Simba dakika za mwisho kabla ya dirisha la usajili kufungwa, baadae akajiunga na Stand United ya Shinyanga na sasa yupo Oman, AyoTV imempata na na kaeleza soka la Oman. “Maisha ya soka Oman yapo vizuri tu […]

The post VIDEO: Maguli kaeleza soka la Oman, usitarajie kuwaona wanawake uwanjani appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Dewji Blog

Mashabiki wafurika kushuhudia mpambano la Yanga dhidi ya TP Mazembe Dar

Hadi sasa uwanja wa Taifa hali ni tete ikiwemo ya kiusalama na kiafaya baada ya  umati mkubwa wa watu kufurika katika viunga vya uwanja huo kwa lengo la kuingia licha ya maelfu ya mashabiki wa awali kuingia ndani ya uwanja huo.

Maashabiki hao  wamefurika kushuhudia mpambano wa kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Yanga ya Tanzania na Tp Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia  ya Congo ambapo hakua kiingilio.

pix 02Mashabiki wanavyoonekana waliofurika mapema leo kushuhudia mpambano wa kombe la...

 

3 years ago

Bongo5

Picha: Mashabiki wa Yanga wafika uwanjani alfajiri wakisubiri kuingia Uwanja wa Taifa

Klabu ya Yanga leo June 28 inaingia uwanjani katika mechi ya kombe la Shirikisho inawaalika klabu ya TP Mazembe kutoka DR Congo mchezo ambao utachezwa uwanja wa taifa jijini Dar es salaam.

Mechi hiyo ambayo haina kiingilio ni bure tu kuingia uwanjani leo asubuhi mashabiki wanaoaminika kuwa ni wa Young Africans tayari wamejitokeza kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam wakisubiri muda wa kufunguliwa milango.

Mashabiki hao wapo tangu alfajiri wakisubiri kupewa utaratibu wa kuingia...

 

3 years ago

Michuzi

SIMBA, YANGA ZATOSHANA NGUVU TAIFA LEO, MASHABIKI WANG'OA VITI UWANJANI

 HAKUNA mbabe, ule mtanange uliokuwa unasuburiwa kwa hamu kubwa uliohusisha mahasimu wawili Yanga na Simba umemalizika jioni ya leo kwa timu hizo kutoka sare ya 1-1.
Katika mchezo huo uliokuwa na presha kubwa kwa kila upande, Yanga walifanikiwa kupata goli dakika ya 26, baada ya Amisi Tambwe kumzidi mbinu beki Novat Lufungo wa Simba na kuandika goli la kuongoza huku nahodha Jonas Mkude akipewa kadi nyekundu baada ya kumpiga mwamuzi kwa kudai kuwa Tambwe aliushika mpira kwa mkono.
Mpira...

 

2 years ago

Malunde

YANGA YAPIGWA FAINI YA LAKI 5 MASHABIKI WAKE KURUSHA UWANJANI CHUPA ZINAZODAIWA KUWA NA MIKOJO

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara imeipiga faini ya sh. 500,000 (laki tano) mabingwa watetezi klabu ya Yanga baada ya kitendo cha mashabiki wake kurusha uwanjani chupa zinazosadikiwa kuwa na mikojo katika mchezo wao dhidi ya watani zao wa jadi Simba SC.
Kamati hiyo imeikuta klabu ya Yanga na hatia baada ya kupitia ripoti za michezo yote ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL).
Yanga SC inakabiliwa na adhabu hiyo kwa mujibu wa kanuni ya 42(1) kuhusu...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani