Mashabiki wavamia nyumba ya mchezaji Zambia

POLISI nchini Zambia wamewakamata mashabiki watano kwa madai ya kuvamia nyumba ya mwanasoka wa timu ya taifa ya kandanda, Alex N’gonga. Mashabiki hao walishikwa na hasira kuwa Ng’onga alikosa nafasi wazi za kufunga wakati wa mechi muhimu ya kufuzu kwa kombe la dunia ambapo Nigeria iliishinda Zambia bao 1-0 Mashabiki walitoa hasira zao kwa kuvamia ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

BBCSwahili

Nyumba ya mchezaji aliyeshindwa kufunga mabao yavamiwa na mashabiki Zambia

Mashabiki hao walishikwa na hasira kuwa Ng'onga. alikosa nafasi wazi za kufunga wakati wa mechi muhimu ya kufuzu kwa kombe la dunia

 

2 years ago

BBCSwahili

Mashabiki wa West Ham wavamia Man United

Mechi kati ya West Ham na Manchester United ilicheleweshwa kwa zaidi ya dakika 45 baada ya mashabiki wa West Ham kuishambulia basi la timu ya Man United kwa mawe na chupa

 

4 years ago

BBCSwahili

Wezi wavamia nyumba ya Di Maria

Kiungo wa kati wa Manchester United Angel Di Maria ndio mwathiriwa wa hivi karibuni wa wizi wa kutumia mabavu.

 

2 years ago

Bongo5

Polisi wavamia nyumba ya Faiza Ally

Leo polisi wamevamia kwenye nyumba ya msanii wa filamu bongo, Faiza Ally kwa kufanya uchunguzi kutokana na taarifa walizozipata kuwa msanii huyo ni muuzaji wa madawa ya kulevya.

Meek-Mill-Debuts-Two-New-Songs-on-Hip-Hop-Chart-FDRMX

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Faiza aliandika:

Leo tarehe 3/June/2016 Kwa Kweli ni siku ambayo sitakuja kuisahau kwenye maisha yangu-wamekuja maaskari saba kwangu wakiwa na silaha!!! Eti wamepata taarifa eti mimi nabeba madawa ya kulevya kweli? MANGE kila siku anawataja wahusika lkn sijui Kama wanafatiliwa leo...

 

4 years ago

Michuzi

WAFUGAJI WAVAMIA ENEO LA MWEKEZAJI ,WACHOMA NYUMBA ,MAGARI


Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Siha ,Rashid Kitambulilo akimuongoza mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama wakati akitembelea eneo la mwekezaji la Tanganyika Film and Safari ambako wafugaji jamii ya Masai wanadaiwa kufanya uharibifu mkubwa.

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama pamoja na kamati ya ulinzi na usalama wakitizama uharibifu  uliofanywa na wafugaji jamii ya Masai.Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akitizama moja ya gari lililochomwa moto na watu wanaodaiwa...

 

4 years ago

Michuzi

Mashabiki wa mpira wanaoiunga mkono Palestina wavamia wachezaji wa Maccabi Haifa ya Israel uwanjani

 MECHI kati ya timu Israeli ya Maccabi dhidi ya Lille ya Ufaransa iliahirishwa baada ya waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina kuvamiwa uwanja.Waandamanaji hao walioripotiwa kuwa na asili ya Uturuki waliingia katika uwanja wa Austrian ambapo mchezo ulikuwa unaendelea na kuwavamia wachezaji wa Maccabi na kuzua vurugu.Mmoja wa wachezaji alionekana akizozana na shabiki kabla ya kuanza kurushiana makonde mazito. Hata hivyo wachezaji wa Maccabi walifanikiwa kutoka uwanjani bila kujeruhiwa. Tukio...

 

2 years ago

Dewji Blog

Wapiganaji wa Al Shabab wavamia nyumba ya kulala wageni na kuua watu 12

Watu 12 wanaripotiwa kupoteza maisha wakiwa katika nyumba ya kulala wageni (Bishaaro Hotel lodge) katika mji wa Mandera, Kenya baada ya wapiganaji wa kikundi cha Al Shabab kuvamia katika nyumba hiyo na kufanya shambulizi usiku wa kuamkia leo.

Kamanda wa Polisi wa Mandera Mashariki, Ezekiel Singoe amethibitisha kutokea kwa vifo hivyo na kuwa watu 10 kati ya waliouliwa ni wanafunzi ambao walikuwa wamefanya vizuri katika masomo yao ya sekondari na walikuwa katika mji huo kwa ajili ya...

 

3 years ago

Vijimambo

WATU WASIOJULIKANA WAVAMIA NA KUBOMOA NYUMBA YA MGOMBEA UBUNGE CUF MTWARA.

Kundi la watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wamevamia na kuibomoa nyumba ya mgombea ubunge wa chama cha wananchi CUF jimbo jipya la nanyamba wilaya ya mtwara vijijini, twahiri saidi baada ya kushindwa kurudisha fomu ya ubunge na kutokomea kusiko julikana huku simu zake za mkononi zikiwa hazipatikani.


Wakizungumza kwa masikitiko baadhi ya viongozi wa chama hicho na wanachi wa jimbo la Nanyamba wamesema mazingira aliyotoweka mgombea huyo  yanaonyesha wazi  kuna mchezo mchafu umefanywa ili...

 

2 years ago

Bongo5

Majambazi wavamia nyumba ya Q Chief, waiba vitu vya zaidi ya milioni 2

Q Chief amethibitisha nyumba yake kuvamiwa na majambazi na wamefanikiwa kuiba baadhi ya vitu vilivyomo ndani ikiwemo laptop iliyokuwa na baadhi ya colabo zake.

Q Chief

Akiongea na Clouds FM, muimbaji huyo amedai kuwa thamani ya vitu vyake vilivyoibiwa ni kama milioni mbili au tatu.

“Watumishi wa shetani wameamua kufanya kitu cha kihistoria, siku zote wanarukaruka mmoja wawili tunapigiza nao kelele wanaondoka lakini this time wamekuja watu kama sita, saba au nane. Wamekuja na mapanga, wamekuja na...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani