Mashabiki wavuruga mechi kati ya Senegal na Ivory Coast

Mechi ya kirafiki kati ya Ivory Coast na Senegal ilisimamishwa wakati mashabiki waliingia uwanjani mjini Paris.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Vurugu za mashabiki za vuruga mechi kati ya Senegal na Ivory Coast

Mchezo wa kirafiki kati ya Ivory Coast na Senegal ilisimamishwa wakati mashabiki waliingia uwanjani mjini Paris.

Timu hizo kutoka Afrika zilikuwa sare ya bao moja dakika ya 88, wakati mashabiki wachache waliingia uwanjani huku mmoja akionekana akimrukia mchezaji wa Senegal Lamine Gassama.

Wachezaji walitoka kutoka uwanajania na refa Tony Chapron akaamua kusimamisha mechi hiyo.

Mshambuliaji wa Liverpool Sadio Mane alikuwa ameipa Senegal bao la kwanza mnamo kipindi cha pili, lakini Bi Gohi...

 

4 years ago

Mwananchi

AFCON: Nooij asema Ubingwa kwa Ivory Coast, Senegal

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa Tanzania ‘Taifa Stars’, Mart Nooij amezitaja Senegal na Ivory Coast kuwa ni timu zenye nafasi kubwa ya kutwaa taji la Mataifa Afrika (Afcon), zilizoanza kutimua vumbi juzi, Equatorial Guinea

 

2 years ago

BBC

Senegal v Ivory Coast: Lamine Gassama tackled in Paris friendly pitch invasion

A pitch invasion sees Senegal's Lamine Gassama tackled by a fan as their friendly with Ivory Coast in Paris is abandoned.

 

4 years ago

BBCSwahili

Ebola:Ivory Coast kususia mechi

Ivory Coast huenda ikasusia mechi ya kufuzu kwa AFCON 2015 dhidi ya Sierra Leone ikihofia Ebola.

 

4 years ago

Vijimambo

KOTO TOURE ATUNDIKA DARUGA MECHI ZA IVORY COAST

Mchezaji Koto Toure anayekipiga Uingereza na timu ya Liverpool ambaye siku ya Jumapili aliisaidia timu yake ya Taifa kuchukua ubingwa wa Afrika Cup of Nation baada ya kuifungia timu hiyo moja ya mkwaju wa penati baada ya timu hiyo ya Ivory Coast na Ghana kutoka suluhu ndani ya dakika 120 na baadae kupigiana penati 11 katika mechi ya fainali. Koto Toure ametangaza rasmi mechi hiyo ndio ilikua ya mwisho kuchezea Ivory Coast na sasa anapisha wachezaji vijana kuendelea kuchukua nafasi yake na...

 

1 year ago

BBCSwahili

Fifa yaamrisha mechi kati ya Afrika Kusini na Senegal kuchezwa tena

Mechi ya kufuzu kombe la dunia kati ya Afrika Kusini na Senegal itarudiwa tena baada ya refa aliyesimamiwa mechi hiyo kupigwa marufuku na Fifa

 

4 years ago

GPL

TASWIRA ZA VURUGU ZA MASHABIKI WAKATI WA MECHI YA NUSU FAINALI AFCON KATI YA GHANA NA EQUATORIAL GUINEA

Helkopta ya polisi ikijaribu kutuliza ghasia wakati wa mechi kati ya Ghana na wenyeji Equatorial Guinea jana. Wachezaji wa Ghana wakitolewa uwanjani chini ya ulinzi mkali baada ya vurugu kutokea.…

 

2 years ago

BBCSwahili

Nyuki wavuruga mechi ya Kriketi Afrika Kusini

Nyuki walioingia uwanjani walilazimu mechi ya kimataifa ya kriketi kati ya Africa Kusini na Sri Lanka kusitishwa.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani