Mashambulizi ya Marekani yawaua al-Shabab 6 Somalia

Oparesheni hiyo ilifanyika kusini mwa Somalia karibu umbali wa kilomita 260 kusini mwa mji mkuu Mogadishu

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

VOASwahili

Marekani yashambulia Al-Shabab Somalia

Marekani imefanya mashambulizi mawili ya anga kusini mwa Somalia mapema wiki hii ambayo yaliwaua wanamgambo wanne wa Al shababu  kundi lenye ushirikiano na Al-Qaida. Komandi ya Marekani barani Afrika imesema mashambulizi ya Jumatatu yalikuwa ni kujibu shambulizi lililofanywa na kundi kubwa la wapiganaji wa Al-Shabab waliokuwa na silaha katika operesheni ya pamoja ya kupambana na ugaidi baina ya Marekani na Somalia. Jeshi la Marekani limewahi kutumia ndege zisizo na rubani kulenga...

 

2 years ago

BBCSwahili

Marekani ilishirikiana na Somalia kushambulia al-shabab

Vikosi vya Marekani vilishirikiana na wanajeshi wa Somalia katika uvamizi wa kambi moja ya wapiganaji wa Islamic State

 

2 years ago

BBCSwahili

Ndege za Marekani zaua al shabab Somalia

Ndege za kivita za Marekani zisizokuwa na rubani zimewaua karibu wanamgambo 12 wa kundi la al-Shabab Kusini mwa Somalia

 

1 year ago

BBCSwahili

Mwanajeshi wa Marekani auawa na al-Shabab Somalia

Mwanajeshi wa Marekania ameuawa wakati wa operesheni ya kukabiliana na wanamgambo wa al-Shabab, jeshi la Marekani limesema.

 

10 months ago

BBCSwahili

Somalia yaomba Marekani kuisaidia kuwazuia al-shabab kuchimba madini ya Uranium

Kwenye barua waziri wa mashauri ya nchi za kigeni Yusuf Garaad, alisema kuwa wanamgambo hao wameteka eneo lenye madini ya uranium na wamekuwa wakichimba madini hayo.

 

3 years ago

BBCSwahili

Mashambulizi ya angani yawaua 60 Allepo

Wanaharakati wanasema kuwa zaidi ya watu 60 wameuawa na jeshi la Syria katika mashambulizi ya angani katika mkoa wa kaskazini wa Aleppo .

 

4 years ago

BBCSwahili

Mashambulizi mapya yawaua wapalestina 17

Maafisa wa Palestina wanasema kuwa takriban watu 17 waliuawa baada ya mashambulizi mapya ya Israel huko Gaza.

 

2 years ago

BBCSwahili

Al Shabab yawaua 24 wakitizama Man U-Arsenal

Watu 24 wameuawa mjini Baidoa Somalia wakitizama mechi baina ya Manchester United na Arsenal baada ya shambulizi lililotekelezwa na Al Shabab.

 

2 years ago

Global Publishers

Al Shabab Yawaua 24 wakitizama ya Man U na Arsenal

Alshabaab (2)

Jengo lilioshambuliwa.

WATU 24 wameuawa na wengine kujeruhiwa kwenye mgahawa mmoja mjini Baidoa, Kusini mwa Somalia wakati wakitazama mechi ya soka baina ya Manchester United na Arsenal baada ya shambulizi lililotekelezwa na Al-Shabab jana jioni.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa milipuko miwili mikubwa ilitokea, katika mgahawa huo uliokuwa umejaa mashabiki wa mechi kati ya Manchester United na Arsenal.

Miongoni mwa wale waliouawa ni pamoja na afisa wa serikali ya jiji hilo.

Mji wa Baidoa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani