MASHEHA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA WAPEWA TAARIFA YA UJENZI WA BARABARA

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Usafirishaji na Mawasiliano Mustafa Aboudjumbe kushoto akijibu maswala mbalimbali yalioulizwa katika Kikao Maalum cha kutoa taarifa kwa Masheha kuhusiana na Ujenzi wa Barabara inayoanzia Chuini,Mfenesini,Mahonda hadi Mkokotoni inayotarajiwa kuanza mwezi wa January hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.Sheha wa Shehia ya Matemwe Denge Khamis Silima akiuliza maswali katika Kikao Maalum cha kutoa taarifa kwa Masheha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

DK. SHEIN ATEMBELEA UJENZI WA BARABARA MATEMWE MKOA WA KASKAZINI UNGUJA LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi na Mmiliki wa Kampuni ya Pennyroyal Gibraltar Ltd Bw.Brian Thomson leo alipokuwa akiangalia ramani ya ujenzi wa Barabara za Kiashange -Kijini-Mbuyutende na Matemwe-Muyuni Mkoa wa Kaskazini Unguja inayojengwa na Kampuni hiyo ambayo inasimamia mradi wa (Amber Golf&Beach Resort).Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)...

 

10 months ago

Zanzibar 24

Sheha wa Kwamchina awapasomo Masheha mkoa wa mjini magharib Unguja

Kuelekea maadhimisho ya wiki ya Mazingira duniani, Sheha wa shehiya ya Kwamchina Bi. Zamzam Ali Rijali ameelezea sababu za kufanikiwa kuondoa takataka na kuiweka shehiya yake katika hali nzuri ya usafi.

Bi. Zamzam ametoa sababu hizo wakati akizungumza na Zanzibar24 huko Ofisini kwake Kwamchina wilaya ya Magharib B Unguja na kusema amefanikiwa kuiweka shehiya yake katika hali ya usafi baada ya kuandaa mikakati maalumu ya kuthibiti uchafu ikiwemo kuyafungia majaa ya kutupa taka maarufu la...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mkuu wa mkoa wa kaskazini pemba mefanya uteuzi wa masheha wapya

Mkuu wa mkoa wa kaskazini pemba Mhe Omar Khamis Othman amefanya uteuzi wa masheha wapya pamoja na kuongeza idadi ya shehia mpya katika mkoa huo .

Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari ni kwamba uteuzi huo umefanyika baada ya serikali yamkoa kupokea ushauri kutoka wilaya uliozingatia uwezo wa mtu kutendaji .

Aidha kwa mujibu wa sheria no 8 (1) cha sheria no 8 ya mwaka 2014 , ambayo imempa nguvu kisheria mkuu wa mkoa kufanya uteuzi wa masheha katika eneo lake .

Masheha wapya walioteuwaliwa...

 

2 years ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar Dkt. Shein ziarani Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji pia Kaimu Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe.Ali Abeid Karume wakati alipowasili katika ukaguzi wa maendeleo ya Kiwanda cha Sukari cha Mahonda na kupata maelezo mbali mbali kutoka kwa Wasimamizi wa Kiwanda hicho Kampuni ya ETG  alipofanya ziara katika Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja leo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...

 

2 years ago

Michuzi

Dkt. Shein atembelea Miradi ya Maendeleo katika Wilaya ya kaskazini ”A” Mkoa wa Kaskazini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kuzindua jengo la kituo cha Maafa cha KmKm Nungwi akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya maendeleo Wilaya ya Kaksazini ”A” Unguja leo,(kushoto) Waziri wan chi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheir,(kulia) Mkuu wa KMKM Komodoo Mussa Hassan Musa
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo...

 

2 years ago

Michuzi

Skuli ya Kijini na Mbuyu Tendee Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja,Wafaidika na Mradi wa Ujenzi wa Kijiji cha Utalii Cha PennyRoyal kwa Kutoa Elimu ya Afya na Mazingira

Maafisa Afya na Mazingira kutoka (SUZA) Nahya Khamis Nassor Mwanafunzi wa mwaka wa Tatu wa Chuo cha SUZA anayetowa mafunzo ya Afya na mazingira kwa Wanafunzi wa Skuli ya Kijini Matemwe akizungumza na waandishi wa habari kufanikiwa kwa zoezi hilo la kutowa elimu kwa wanafunzi wa Skuli hiyo jinsi ya kuhifadhi mazingira na afya yao. Mradi huo unaosimamiwa na Kampuni ya Ujenzi wa Kijiji cha Kitalii Matemwe Pennyroyal kwa kutowa elimu hiyo.Amesema umeleta mafanikio makubwa kwa watoto hao jinsi ya...

 

5 years ago

Michuzi

Mama Asha Suleimani Iddi katika Futari ya Jumuiya Madrasatul Hidayatul Islamia ya Kijiji cha kidoti Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja

Na Othman Khamis Ame, OMPRWakati kumi la mwanzo la Rehema na lile la pili la maghfira yaliyomo ndani ya mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan yakimalizika waumini wa Dini ya Kiislamu hivi sasa wanaendelea na ibada katika kukamilisha kumi la mwisho la mwezi huu mtukufu wa Ramadhani la kuachwa huru na moto. Ibada hii ya funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani inamuwajibikia kila muumini wa Dini hiyo aliyefikia balegh na akili timamu kuitekeleza ikiwa ni ya Nne kati ya tano ya nguzo za...

 

4 years ago

Michuzi

DK.SHEIN AFUTARISHA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa sita kulia) pamoja na Viongozi na wananchi wa wakiwa katika swala ya Magharibi iliyoswaliwa katikaviwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni jana jioni wakati wa futari iliyotayarishwa kwa Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein   (katikati) akiwana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika futari ya pamoja nao...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Shoti ya Umeme yakatisha uhai, Mkoa wa Kaskazini Unguja

Mama mmoja mwenye umri wa miaka 35 amefariki dunia papo hapo huku mtoto wake mwenye akinusurika baada ya mama yake kunasa na shoti ya umeme.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Unguja  Suleiman Hassan Suleiman amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na amesema kuwa Tukio hilo limetokea jana majira ya saa tisa na dakika arobaini jioni huko Bumbwini bondeni Wilaya ya kaskazini B.

Kaimu Kamanda amemtaja Marehemu kuwa ni Taifa Mohamed Ali mkazi wa Bumbwini bondeni Mkoa wa Kaskazini...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani