Masikini! Auawa kwa wizi wa nyanya

Musoma. Watu wawili, wakazi wa Wilaya ya Musoma Vijijini na Tarime mkoani Mara, wameuawa kwa tuhuma za wizi na ujambazi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mtanzania

Auawa kwa tabia za ubakaji, wizi

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro, Ulrich Matei.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro, Ulrich Matei.

Na Ramadhan Libenanga, Morogoro

MKAZI wa Kijiji cha Ulaya, wilayani Kilosa mkoani hapa, Siawana Rashid ameuwawa na wananchi kwa madai ya tabia za ubakaji, wizi na kupiga watu.

Tukio hilo limetokea Septemba 9, mwaka huu katika  Kijiji cha Nyali Kanisani, ambako marehemu alifanya tukio la wizi alikamatwa na kupigwa hadi kupoteza maisha na wakazi wa maeneo hayo.

Diwani wa Kata ya Ulaya, Matokeo Erasto, alisema kwa miaka mingi marehemu amekuwa...

 

2 years ago

Malunde

AUAWA KISHA KUBURUZWA KWENYE PIKIPIKI KWA WIZI WA PIKIPIKIKIJANA anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 25 hadi 30 ameuawa kwa kupigwa na wananchi, kisha kufungwa kamba miguuni na kuburuzwa kwenye pikipiki baada ya kutuhumiwa kuiba pikipiki.
Tukio hilo ni la Machi 6 saa 8 mchana katika Mtaa wa Kimondorosi, Kata ya Olasiti jijini Arusha na watu watano wanashikiliwa na Polisi kwa kuhusika na mauaji ya mtuhumiwa huyo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo, alisema maelezo ya dereva wa bodaboda, mkazi wa Olasiti, Mtaa wa Kanisani aliyekuwa...

 

11 months ago

Malunde

UMESIKIA HABARI YA TENGA LA NYANYA KUNG'ANG'ANIA KWENYE KICHWA CHA MWIZI WA NYANYA HUKO MBEYA??? SOMA HAPA

Uvumi kuhusu mwanamke mwizi wa nyanya kushindwa kutua tenga umesababisha polisi kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi mjini Mbalizi mkoani Mbeya.

Hali ya taharuki imewakumba wananchi wa mji mdogo wa Mbalizi leo Jumatano baada ya mtu au watu wasiojulikana kuvumishwa kuwa mwanamke huyo baada ya kushindwa kutua tenga alikimbilia kituo cha Polisi Mbalizi kuomba msaada.

Uvumi huo ulieleza kuwa, mwanamke huyo aliimba nyanya sokoni Mbalizi.
Katika tukio hilo Polisi walilazimika kutumia mabomu...

 

1 year ago

MillardAyo

“Unaweza kuzaliwa Masikini lakini kufa Masikini ni kujitakia” – Mavunde

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na Walemavu Anthony Mavunde ametoa wito kwa vijana wa kitanzania kuwa wabunifu bila kujali ni wakati gani na changamoto zipi wanazipitia na wasikubali kukatishwa tamaa ili kujiwekea mikakati ya kufikia malengo yao. Akizungumza na Vijana wa Chuo cha DIT Mwanza amesema kuwa zipo juhudi […]

The post “Unaweza kuzaliwa Masikini lakini kufa Masikini ni kujitakia” – Mavunde appeared first on millardayo.com.

 

4 years ago

Tanzania Daima

Historia ya nyanya isiyofahamika kwa wengi

KAMA ilivyo hulka ya binadamu wengi, si rahisi kukubali jambo au kitu kipya hata kama jambo hilo litakuwa na manufaa kwake na kwa jamii iliyomzunguka. Karne nyingi zilizopita, mmea usiopendeza wa...

 

2 years ago

BBCSwahili

Hari ya hatari Nigeria kwa sababu ya nyanya

Jimbo moja nchini Nigeria limetangaza hali ya hatari na kutuma wataalamu nchini Kenya kutokana na uhaba mkubwa wa nyanya.

 

4 years ago

KwanzaJamii

KIWANDA CHAHITAJI TANI 200 ZA NYANYA KWA SIKU

Soko la nyanya lisilo rasmi kando ya Mto Mlowa unaotenganisha vijiji vya Uhominyi na Iyayi katika Kata ya Image wilayani Kilolo. (PICHA NA DANIEL MBEGA) Na Daniel Mbega, Iringa KILIO cha wakulima wa nyanya mkoani Iringa cha ukosefu wa masoko ya zao hili sasa kinaonekana kupata ufumbuzi kufuatia ujenzi wa kiwanda cha kusindika bidhaa za mbogamboga kukaribia kukamilika, KwanzaJamii.com inaripoti kwa uhakika. Kiwanda hicho kipya ambacho kipo chini ya kampuni ya Darsh Industries Limited...

 

2 years ago

Channelten

Mkoa wa Dsm umebaini kaya masikini hewa 609 katika Mpango wa kunusuru kaya masikini -TASAF

screen-shot-2016-09-15-at-4-26-58-pm

Mkoa wa Dsm umebaini kaya masikini hewa 609 katika Mpango wa kunusuru kaya masikini -TASAF ambapo baadhi ya watumishi kwa kushirikiana na watendaji katika vijiji au mitaa wamekuwa wakifanya Udanganyifu ili kujipatia fedha kwa Udanganyifu kupitia kaya masikini.

Akizungumza na waandishi wa habari Katibu Tawala Mkoa wa DSM Teresia Mbando amesema baada ya kubaini Udanganyifu huo tayari kaya hizo hewa zimeondolewa katika mpango wa malipo huku taratibu nyingine za kidhamu zikifuata kwa watumishi...

 

1 year ago

BBCSwahili

Kwa Picha: Nyanya wa miaka 85 aliyetimiza ndoto ya kuwa msanii

Miaka kadha iliyopita, Inderjit Kaur alisema alikuwa ndoto ya kuwa mcheza filamu, na sasa ndoto hiyo yake imetimia.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani