Mateso ya Yanga, Simba SC Ligi Kuu ndio uhai wa soka

KIVUMBI cha Ligi Kuu Tanzania Bara, kitaanza Septemba 20, kwa miamba 14 kuanza vita ya kuwania ubingwa wa ligi hiyo huku timu kongwe za Simba na Yanga zikiwa na kazi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

YANGA YAJICHIMBIA KILELENI MWA LIGI KUU YA VODACOM YA SOKA TANZANIA BARA

Kikosi cha Mtibwa Sugar.Kikosi cha Yanga. Benchi la ufundi la Mtibwa Sugar. Kipa wa Mtibwa Sugar, Said Mohamed akiwapanga wachezaji wake.Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo huo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

3 years ago

BBCSwahili

Simba na Yanga kukwaana ligi kuu

Nchini Tanzania Gumzo miongoni mwa wapenzi wa Soka ni kuhusiana na Mechi kubwa ya watani Yanga na Simba

 

3 years ago

Mtanzania

Yanga kuiwinda Simba Ligi Kuu

YangaSimbaNA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara timu ya Yanga, leo itakuwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuikaribisha timu ya Mtibwa Sugar.

Iwapo Yanga iliyo nafasi ya pili kwa kuwa na pointi 56 itaifunga Mtibwa katika mchezo huo, itakalia usukani wa ligi hiyo kwa kufikisha pointi 59 na hivyo kuishusha Simba inayoongoza ligi hiyo ikiwa na pointi 57.

Mechi ya mzunguko wa kwanza Mtibwa Sugar ilikubali kuwa mteja mbele ya Yanga kwa kufungwa mabao 2-0 katika...

 

3 years ago

Mwananchi

Simba, Yanga mtegoni Ligi Kuu

Ni Jumamosi yenye mitego kwa timu za Ligi Kuu zitakaposhuka viwanja vitano tofauti nchini ili kusaka pointi tatu muhimu.

 

3 years ago

MillardAyo

Ligi Kuu TZ imesimama, ila hii ndio burudani ya soka weekend hii mtu wangu, sio ya kukosa …

Mtu wangu wa nguvu mzunguuko wa kwanza wa Ligi Kuu soka Tanzania bara umemalizika, lakini haina maana kwamba weekend hii hakuna burudani ya soka, kuna michezo kadhaa ya Kombe la FA kwa Tanzania, Ligi Kuu Uingereza na Hispania. Hii ndio ratiba ya michezo yenyewe mtu wangu. Kesho Jumamosi ya January 23 michezo mitatu itachezwa, mjini […]

The post Ligi Kuu TZ imesimama, ila hii ndio burudani ya soka weekend hii mtu wangu, sio ya kukosa … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

Bongo5

Simba sasa wanaongoza Ligi Kuu soka Tanzania bara baada ya kuifunga Mbeya City

IMG_7070

Ligi Kuu soka Tanzania bara iliendelea siku ya jumapili 6/3/2016 kwa klabu ya Simba wakiwa uwanja wa Taifa Dar Es Salaam kuikaribisha Mbeya City katika mchezo wa mzunguuko wa pili wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara msimu wa 2015/2016.

IMG_7070
Ibrahim Ajib wa Simba (kushoto) akijiandaa kumtoka beki wa Mbeya City,

IMG_6986

Wekundu hao wa msimbazi walipa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wapinzani wao Mbeya City kwa mabao yaliyofungwa na Daniel Lyanga na Ibrahim Ajib. Simba wakiwa kileleni kwa alama 48 wakiwa...

 

4 years ago

Mwananchi

Makocha Ligi Kuu wazichambua Simba, Yanga

Makocha wa klabu mbalimbali za Ligi Kuu nchini wameichambua mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga kesho na kueleza kuwa Yanga ‘itabebwa’ na uzoefu huku Simba ikitakiwa kucheza kitimu zaidi ili ishinde mchezo huo.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani