Matokeo EPL: Mabingwa Leicester, Man City na Arsenal wako vizuri

Manchester City chini ya Pep Guardiola imeendeleza wimbi la ushindi tena leo baada ya kuwaburuza vibaya AFC Bournemouth kwa mabao 4-0.

Mabao ya Man City yalifungwa na Kevin de Bruyne dakika ya 15, Kelechi Iheanacho dakika ya 25, Raheem Sterling dakika ya 48 na Ilkay Guendogan dakika ya 26.

Mshambuliaji wa mpya wa Man City Nolito alitolewa nje kwa kadi nyekundi dakika ya 86 baada ya kufamfanyia vitendo visivyo vya kimichezo mchezji wa Bournemouth Adam Smith.

ARSENAL

Alexis Sanchez amefunga...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Channelten

#VIDEO Leicester City Mabingwa wapya EPL Sherehe, Tafrija zatawala Mji wa Leicester

leciester_cele-large_trans++qVzuuqpFlyLIwiB6NTmJwfSVWeZ_vEN7c6bHu2jJnT8

Hatimaye Klabu ya soka ya Leicester City yatwaa taji la ligi kuu England  na kuweka historia yenye mvuto.

Sare ya magoli 2-2 katika mchezo wa jana baina ya Chelsea na Tottenham ndiyo yaliyoamua ubingwa uende Leicester kwa kuwa pointi 77 ambazo haziwezi kufikiwa na timu nyingine yoyote.

Ushindi huo uliibua shangwe miongoni mwa mashabiki wa timu hiyo waliamua kutazama mechi ya Chelsea kwa mafungu,

33C0756600000578-3569871-image-a-79_1462225848598

Furaha zaidi ilikuwa kwa wachezaji wa Leicester City ambao nao walikusanyika na kutazama mechi...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Matokeo EPL: Chelsea mdebwedo mbele ya Arsenal, Guardiola azidi kuing’arisha Man City

ARSENAL 3-0 CHELSEA

57

Alexis Sanchez alihitimisha ushindi wa washika bunduki wa London baada ya kufunga goli la tatu wakati wenyeji Aresnal wakiwa dimbani Emirates walipoifumua Chelsea 3-0. mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na Theo Walcott na Mesut Ozil.

LIVERPOOL 5-1 HULL CITY

58

Adam Lallana akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la kwanza dakika ya 17 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Hull City Uwanja wa Anfield kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana. Mabao mengine ya Liverpool...

 

3 years ago

BBCSwahili

Leicester City mabingwa wapya EPL

Klabu ya soka ya Leicester City wameshinda taji la ligi kuu England katika historia inayovutia kwenye ligi hiyo.

 

3 years ago

Bongo5

Leicester City mabingwa wapya EPL

Klabu ya soka ya Leicester City wametwaa taji la ligi kuu England katika historia inayovutia kwenye ligi hiyo. Sare ya 2-2 waliyoipata Tottenham dhidi ya Chelsea siku ya jumatatu usiku ilisababisha mafanikio hayo makubwa kutokea kwa upande wa Claudio Ranieri.

article-3569871-33C0F89C00000578-912_964x339

Leicester walianza kampeni zao za ubingwa huku wakipewa nafasi moja tu kati ya 5000 kushinda taji la ligi na pia wakitoka katika janga la kutaka;kushuka daraja.

33C090B100000578-3569871-image-m-42_1462227265535

33BFB24000000578-3569871-image-a-33_1462215809214

Wachezaji wa Leicester City kwa pamoja walikusanyika katika nyumba ya...

 

3 years ago

MillardAyo

Mambo 10 muhimu ya kufahamu kuhusu Mabingwa wapya wa EPL Leicester City

LEICESTER-CITY-CHAMPIONS-PREMIER-LEAGUE-2015-2016

Usiku wa Mei 2 2016 ndio ulikuwa usiku wa kihistoria kwa klabu ya Leicester City toka ianzishwe miaka 132 iliyopita, huenda unafahamu kama Leicester  wametwaa Ubingwa lakini hujui kama Ubingwa huo ndio Ubingwa wao wa kwanza katika historia ya klabu hiyo. Mtu wangu wa nguvu naomba nikuletee mambo 10. 1- Kabla ya kutwaa Ubingwa msimu Leicester City […]

The post Mambo 10 muhimu ya kufahamu kuhusu Mabingwa wapya wa EPL Leicester City appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya mechi za Leicester vs Man United, Man City vs Swansea na msimamo wa EPL ulivyo

Baada ya Jumamosi ya February 4 2017 kuchezwa baadhi ya michezo ya Ligi Kuu England msimu wa 2016/2017, Jumapili ya February 5 ilichezwa michezo miwili ya Ligi Kuu England, Leicester City walicheza dhidi ya Man United na Man City dhidi ya Swansea City. Michezo hiyo ilimalizika kwa Man United kupata ushindi wa goli 3-0 dhidi […]

The post VIDEO: Magoli ya mechi za Leicester vs Man United, Man City vs Swansea na msimamo wa EPL ulivyo appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Matokeo ya EPL August 13 na magoli aliyofungwa bingwa mtetezi Leicester City

4404

August 13 2016 Ligi Kuu England msimu wa 2016/2017 ilianza rasmi kwa michezo saba kupigwa katika viwanja tofauti tofauti nchini England, kwa upande wa Ligi Kuu England msimu huu unatabiriwa kuwa ni msimu wa ushindani zaidi kuliko misimu kadhaa iliyopita kutokana na kuwasili kwa makocha wenye mvuto kwa mashabiki. Miongoni mwa michezo iliyochezwa leo ni […]

The post VIDEO: Matokeo ya EPL August 13 na magoli aliyofungwa bingwa mtetezi Leicester City appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Leicester City wameidhibiti Man City ndani ya dimba la King Power, haya ndio matokeo (+Pichaz)

Ligi Kuu soka Uingereza imeendelea tena usiku wa December 29 kwa mchezo mmoja kupigwa katika dimba la King Power, mchezo wa December 29 ulikuwa unazihusisha klabu za Leicester City dhidi ya klabu ya Manchester City. Uzuri wa mchezo huu ni kuwa vilabu vyote viwili vipo katika mbio za kuwania Ubingwa wa Ligi Kuu kutokana na […]

The post Leicester City wameidhibiti Man City ndani ya dimba la King Power, haya ndio matokeo (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani