Matokeo ya ligi kuu Uingereza EPL

ligi kuu ya soka nchini Uingereza iliendelea usiku wa kuamkia leo kwa viwanja vitatu kuwaka moto

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Dewji Blog

Matokeo ya michezo Ligi Kuu ya Uingereza EPL (Video)

Ligi Kuu ya Uingereza jana usiku iliendelea kwa michezo mitano.

Chelsea iliwafata Norwich katika uwanja wa Carrow Road na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli mbili kwa moja, magoli ya Chelsea yalifungwa na Robert Kenedy katika dakika ya kwanza ya mchezo huo na goli la pili likifungwa na Diego Costa dakika ya 45.

Goli la Norwich lilifungwa na Nathan Redmond dakika ya 68 na hadi mwamuzi Lee Mason anamaliza mchezo huo Chelsea ilikuwa mbele kwa goli mbili kwa moja.

Mchezo mwingine ni vinara...

 

3 years ago

Dewji Blog

Matokeo ya michezo ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) na ratiba ya leo ipo hapa

Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) iliendelea hapo jana kwa michezo sita ambapo Leicester City iliendelea kukwea kileleni baada ya kuibuka na ushindi wa goli moja kwa bila dhidi ya Norwich City.

Goli pekee la Leicester City lilifungwa na Leonardo Ulloa katika dakika ya 88 na hivyo kuiwezesha Leicester City kufikisha alama 56 ikiwa mbele kwa alama tano kwa timu inayoshika nafasi ya pili, Tottenham Hotspur.

Mchezo mwingine ulikuwa ni Chelsea iliyowafata Southampton na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa...

 

2 years ago

Channelten

Ligi kuu Uingereza EPL: Chelsea yajiimarisha kileleni mwa ligi, Manchester United yachupa nafasi ya tano.

1

Timu ya Chelsea imeitwanga Bournemouth 3-1 na kurudisha pengo la pointi 7. Bao za Chelsea zilifungwa na Adam Smith aliyejifunga mwenyewe, Eden Hazard na Marcos Alonso. Michezo mingine ilikuwa kati ya Tottenham iliichapa Watford 4-0 na kujisogeza katika nafasi ya pili ya ligi hiyo. Nao Liverpool wakicheza ugenini wameichapa Stroke City 2-1. Huko Etihad, Man City wameweka hai mbio zao baada ya kuitwanga Hull City 3-1. Mechi za jana Manchester United wameicharaza Sunderland bao 3-0 na kukalia...

 

4 years ago

Africanjam.Com

RATIBA KAMILI YA LIGI KUU YA UINGEREZA "EPL" 2015/16

Msimu mpya wa ligi kuu ya Uingereza 2015-2016 maaufu kama EPL unatarajia kuanza kutimua vumbi mwezi Agosti 8 mwaka huu kwa vilabu vyote 20 ambavyo vinashiriki ligi hiyo kukipiga kwenye siku ya kwanza ya ufunguzi wa ligi hiyo ambapo klabu ya Chelsea waliibuka mabingwa wa msimu uliopita wa 2014-2015.
Ratiba ya msimu mzima wa EPL 2015-2016 
August 8Bournemouth v Aston VillaArsenal v West Ham UnitedChelsea v Swansea CityEverton v WatfordLeicester City v SunderlandManchester United v Tottenham...

 

3 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL), leo Jumamosi

Ligi Kuu ya Uingereza maarufu kama EPL inataraji kuendelea leo kwa michezo nane.

Mchezo unaotazamiwa kusubiliwa kwa hamu na mashabiki wengi wa soka ni mchezo wa mahasimu wa jiji la London, Tottenham Hotspur itakayokuwa mwenyeji wa Arsenal katika uwanja wa White Hart Line, mchezo utakaoanza majira ya 15:45 kwa saa za Afrika Mashariki.

Michezo mingine ni;

Chelsea – Stoke City                      18:00 EAT

Everton – West Ham United          18:00 EAT

Manchester City – Bournemouth  18:00...

 

3 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya Ligi Kuu ya Uingereza EPL, kesho Jumamosi

Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kesho inataraji kuendelea kwa michezo sita katika viwanja mbalimbali nchini humo.

Michezo ya kesho ni;

Everton – Arsenal                            15:45 EAT

Chelsea – West Ham United         18:00 EAT

Crystal Palace – Leicester City      18:00 EAT

Watford – Stoke City                      18:00 EAT

West Bromwich – Norwich City     18:00 EAT

Swansea City – Aston Villa           20:30 EAT

The post Ratiba ya Ligi Kuu ya Uingereza EPL, kesho Jumamosi appeared first...

 

3 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya Ligi Kuu ya Uingereza EPL leo Jumamosi, Machi 12

Ligi Kuu ya Uingereza inataraji kuendelea leo kwa michezo mitatu.

Mchezo wa kwanza Manchester City itakuwa ugenini kuwafata Norwich City katika uwanja wa Carrow Road, mchezo unaotarajiwa kuchezwa majira ya saa 15:45 kwa masaa ya Afrika Mashariki.

Michezo mingine ni;

Bournemouth – Swansea City      18:00 EAT

Stoke City – Southampton 18:00 EAT

The post Ratiba ya Ligi Kuu ya Uingereza EPL leo Jumamosi, Machi 12 appeared first on DEWJIBLOG.

 

5 years ago

Jamtz.Com

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani