Matokeo ya ligi ya Europa (UEFA Europa League)

Uefa Europa League

Ligi ya vilabu barani Ulaya (Uefa Europa League) iliendelea hapo kwa michezo 24 iliyochezwa katika viwanja 12 tofauti. Yafuatayo ni matokeo ya michezo hiyo;

GROUP A;

Ajax 0 – 0 Fenerbahçe

Celtic 1 – 2 Molde

GROUP B;

FC Sion 1 – 1 Bordeaux

Rubin Kazan 0 – 1 Liverpool

GROUP C;

Borussia Dortmund 4 – 0 FK Qabala

FK Krasnodar 2 -1 PAOK Salonika

GROUP D;

Club Brugge 1 – 0 Legia Warsaw

Napoli 5 – 0 FC Midtjylland

GROUP E;

Dinamo Minsk 1 – 2 Villarreal

Viktoria Plzen 1 – 2 Rapid Vienna

GROUP F;

FC...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Matokeo ya Uefa Europa Ligi

article-3464606-31906B1500000578-229_964x386

Michuano ya UEFA Europa Ligi iliyo chezwa usiku wa February 25 kwa michezo mbali mbali

article-3464606-31906B1500000578-229_964x386
Baadhi ya matokeo ya mechi hizo Manchester United imepata ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya Midtjylland , Liverpool wakiwa nyumbani dhidi ya Fc Ausbarg imepata ushindi wa bao 1-0, Loco motiv Moscow na Fenerbahçe zimefungana bao 1-1.

318F16F100000578-0-image-a-35_1456428446280

318ED03800000578-0-image-a-41_1456424986121

Mechi nyingine Schalke 04 imechapwa na Shakt Donsk, Rapid Vienna imechapwa na Valencia bao 4-0, Lazio imeichapa Galatasaray bao 3-1, Tottenham imeshinda dhidi ya Fiorentina bao...

 

3 years ago

Bongo5

Matokea ya michuano ya UEFA Europa League

article-3335573-2ED8322A00000578-942_964x386

Usiku wa November 26 ilipigwa michezo ya mechi za michuano ya UEFA Europa League, Katika viwanja mbali mbali na haya ndo matokea ya mechi hizo. klabu ya Liverpool ambayo inashiriki michuano hiyo ilikuwa mwenyeji wa klabu ya Bordeaux katika dimba la Anfield.

Ajax

Ajax 2

Ajax 3

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

3 years ago

Global Publishers

Nusu Fainali ya Uefa Europa League

3330EE6C00000578-0-image-a-15_1460716219507

Droo ya Nusu Fainali ya Uefa Europa League imefanyika na tayari timu nne zilizoingia katika hatua hiyo zimepangwa jinsi zitakavyokutana.

Villarreal imepangwa kuanza mechi ya kwanza ya hatua hiyo kwa kuikaribisha Liverpool wakati ambapo Shakhtar Donetsk itacheza dhidi ya Sevilla.

Nusu fainali ya kwanza inatarajiwa kuchezwa Aprili 28 wakati ambapo mechi za marudio za hatua hiyo zitachezwa Mei 5, 2016.

Fainali ya michuano hiyo inatarajiwa kuchezwa Mei 18, 2016 kwenye Uwanja wa St. Jakob-Park...

 

3 years ago

Africanjam.Com

Manchester united vs liverpool live uefa europa league 3/17/16

Manchester united vs liverpool live uefa europa league 3/17/16

 

3 years ago

Africanjam.Com

UEFA EUROPA LEAGUE 2016 | QUARTER FINAL DRAW



Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into service. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening...

 

2 years ago

Dewji Blog

Samatta aibeba Tanzania katika UEFA Europa League

Mtanzania Mbwana Samatta ambaye anakipiga katika klabu ya Genk ya Ubelgiji amekuwa Mtanzania wa kwanza kupata nafasi ya kushiriki hatua ya robo fainali ya Ligi ya Vilabu barani Ulaya maarufu kama UEFA Europa League.

Nafasi hiyo ambayo Samatta ameipata imekuja baada ya timu yake kutoka sare ya goli 1-1 na Gent katika mchezo wa marudiano wa hatua ya mtoano ya Europa League na hivyo kuiwezesha Tanzania kuingia katika vitabu vya kumbukumbu vya ligi hiyo kwa kuwa na mwakilishi.

Mchezo wa awali...

 

3 years ago

MillardAyo

Yamenifikia majibu ya droo ya nusu fainali ya UEFA Europa League 2016

uefa-europa-league-trophy

Najua tayari umepata majibu ya droo ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, ila UEFA wametoa tena majibu ya droo ya UEFA Europa league iliyokuwa inahusisha timu za Liverpool, Villarreal, Sevilla na Shakhtar Donetsk. Majibu haya hapa baada ya UEFA kumaliza kuchezesha droo hiyo. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa […]

The post Yamenifikia majibu ya droo ya nusu fainali ya UEFA Europa League 2016 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

Dewji Blog

Genk ya Samatta yapangwa na Celta Vigo katika UEFA Europa League

Timu ambayo anayochezea Mtanzania Mbwana Ally Samatta imepangwa kupambana na timu ya Celta Vigo ya Hispania katika mchezo wa hatua ya robo fainali ya Kombe la Ligi ya Vilabu Ulaya.

Timu hizo zimepangwa kukutana baada ya Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) kufanya droo ya michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League) na Ligi ya Vilabu Ulaya (UEFA Europa League).

Ratiba kamaili hii hapa chini;

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani