Matokeo ya michezo ya kimataifa ya kirafiki

Michezo ya kimataifa ya kirafiki imechezwa usiku wa kuamkia leo katika viwanja tofuti Uholanzi wameibuka na ushindi wa bao 1 -0 dhidi ya Scotland, mshambuliaji Memphis Depay akifunga goli hilo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Matokeo ya michezo kimataifa ya kirafiki

Timu za taifa za mataifa tofauti zilishuka viwanjani usiku huu katika kucheza michezo ya kirafiki ya kimataifa.

 

2 years ago

Bongo5

Matokeo ya mechi za kirafiki za kimataifa

article-3514548-32A7BB6600000578-687_964x390

Jana March 29 palikuwa na Mechi za kirafiki za kimataifa zilizochezwa timu ya taifa ya Ureno wamefanikiwa kupata ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Ubelgiji.

32A67EDC00000578-0-image-a-21_1459282512603

Huku England imeonja joto ya jiwe kwa kuchapwa na Uholanzi magoli 2-1, Ufaransa imetakata dhidi ya Urusi kwa ushindi wa magoli 4-2, Scotland imeifunga Denmrk 1-0.

article-3514548-32A7BB6600000578-687_964x390

Estonia imepigwa na Serbia kwa kufungwa bao 1-0, Georgia imetoka sare na Kazakhstan ya bao 1-1, Macedonia imekubali kichapo kutoka kwa Bulgaria ca bao 1-0.

32A6313B00000578-3514494-image-a-21_1459280960993

Greece imefungwa na...

 

2 years ago

BBCSwahili

Matokeo ya michezo ya kirafiki

Miamba wa soka wa Afrika Nigeria na Senegal wakicheza mchezo wao wa kirafiki nchini England walikwenda Sare ya kufungana 1-1.

 

2 years ago

BBCSwahili

Matokeo ya michezo ya kimataifa

Baadhi ya timu za taifa za mchezo wa soka zimecheza michezo ya kirafiki ya kimataifa usiku wa kuamkia leo.

 

3 years ago

BBCSwahili

Matokeo ya mechi za kirafiki

Usiku wa kuamkia leo kumechezwa michezo ya kirafiki ya kimataifa ikiwa ni michezo ya kujiandaa na michuano ya kombe la ulaya.

 

4 years ago

BBCSwahili

Mechi za kimataifa za kirafiki zarindima

Michuano ya kirafiki ya kimataifa imeendelea kupigwa katika viwanja mbalimbali duniani.

 

11 months ago

Channelten

Mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki, Kocha Mayanga aita wachezaji 21

salum-mayanga-tanzania-vs-malawi_1oq82xz2tei371asihpp4afy2p

Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Salum Mayanga amewarejesha baadhi ya nyota wake kikosini akiwepo mshambuliaji, Elias Maguri kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa mapema mwezi ujao.

Baada ya kucheza nyumbani mfululizo mechi za kirafiki za kimataifa, Taifa Stars sasa itatoka mwezi ujao kwenda Benin kucheza na wenyeji Novemba 11, mwaka huu.
Na Mayanga ameita kikosi cha wachezaji 24 ambacho kitaingia kambini Novemba 5 mjini Dar es Salaam kabla ya kusafiri Novemba 9...

 

2 years ago

Michuzi

REAL MADRID,BAYERN MUNICH NA LIVERPOOL ZACHEZEA VICHAPO KATIKA MICHUANO YA KIMATAIFA YA KIRAFIKI

Michuano ya kimataifa ya kirafiki (ICC) inaendelea katika nchi za China, Marekani na Australia, na alfajiri ya leo ilipigwa michezo mitatu iliyofanyika nchini Marekani.
Katika mchezo wa kwanza uliofanyika katika dimba la Sports Moles, Columbus kikosi cha Paris St-Germain chini ya kocha mpya Unai Emery kilitoa kipigo cha mbwa mwizi kwa vijana wa Real Madrid chini ya kocha Zinedine Zidane cha mabao 3-1.
PSG waliandika bao la kwanza dakika ya kwanza ya mchezo lililofungwa na Ikone baada ya...

 

3 years ago

Dewji Blog

Matokeo michezo ya Jumamosi Novemba 21 na ratiba ya michezo ya leo Jumapili!

WW

Wachezaji wa Liver Pool wakishangilia baada ya ushindi wao wa mchezo wa jana waliochinda bao 4-1, dhidi ya Manchester City.

WINGEREZA – PRIMEAR LEAGUE

Watford 1 – 2 Manchester United

Chelsea 1 – 0 Norwich City

Everton 4 – 0 Aston Villa

Southampton 0 – 1 Stoke City

West Bromwich Albion 2 – 1 Arsenal

Newcastle 0 – 3 Leicester City

Swansea 2 – 2 Afc Bournemouth

Manchester City 1 – 4 Liverpool

HISPANIA – LIGA BBVA

Real Sociedad 2 – 0 Sevilla

Real Madrid 0 – 4 Barcelona

Espanyol 2 – 0...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani