MATOKEO YA UTAFITI WA WATU WENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI KWA MWAKA 2014 KUTUMIKA KUFANYA MABORESHO YA SERA ZA KUKUZA UCHUMI NA KUPUNGUZA UMASIKINI.


Kaimu Meneja wa Idara ya Takwimu za Ajira na Bei wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bi. Ruth Minja akitoa ufafanuzi kwa wahariri wa vyombo vya Habari kuhusu matokeo ya Utafiti wa Watu wenye uwezo wa kufanya Kazi leo jijini Dar es salaam. Matokeo hayo yataiwezesha Serikali kuangalia upya tija ya utendaji kazi katika shughuli zinazofanywa na makundi mbalimbali ili kubaini mchango wake katika kukuza Pato la Taifa.
Kaimu Meneja wa Idara ya Takwimu za Ajira na Bei wa Ofisi wa Ofisi ya Taifa ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Dewji Blog

NBS: Takwimu za 2014 za uwezo wa watu kufanya kazi kutumika kufanya maboresho ya kukuza uchumi na kupunguza umasikini

Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema kuwa takwimu za matokeo ya utafiti wa Watu Wenye Uwezo wa Kufanya Kazi wa Mwaka 2014 zitatumika kufanya maboresho ya Mipango na Sera mbalimbali za kukuza ajira na kupunguza umasikini  nchini.

Matokeo ya utafiti huo yameonesha kuwa asilimia 70.9 ya muda wa watu wenye umri wa miaka 15 au zaidi kwa siku hutumika kwenye shughuli zisizo za uzalishaji ikilinganishwa na asilimia 18.5 inayotumika kwenye shughuli za kiuchumi. 

Akizungumza na wahariri wa vyombo...

 

5 years ago

Michuzi

HAFLA YA KUFUNGA MAFUNZO YA WADADISI NA WAHARIRI WA MADODOSO YA UTAFITI WA WATU WENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI WA MWAKA 2014

 Baadhi ya Wadadisi na Wahariri wa Madodoso ya Utafiti wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi wa mwaka 2014 , katika ngazi ya Kanda ya Pwani na Kusini yenye Mikoa ya Mtwara , Lindi, Dar es Salaam , Pwani na Morogoro ambao walishiriki mafunzo ya wiki  tatu, mjini hapa , wakimsikiliza mgeni rasmi ( hayupo pichani) wakati wa kufunga mafunzo hayo  Baadhi ya Wadadisi na Wahariri wa Madodoso ya Utafiti wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi wa mwaka 2014 , katika ngazi ya Kanda ya Pwani na Kusini...

 

5 years ago

Michuzi

KAMISHNA WA SENSA ATOA SOMO KWA WADADISI NA WAHARIRI WA MADODOSO YA UTAFITI WA WATU WENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI 2014 KUZINGATIA MAADILI NA WELEDI

Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi Bi. Hajjat Amina Mrisho Said akizungumza na Wadadisi na Wahariri wa madodoso ya Utafiti wa watu wenye Uwezo wa Kufanya Kazi kutoka mikoa ya Dar es salaam, Pwani, Morogoro, Lindi na Mtwara walio katika mafunzo ya siku 16 leo mjini Morogoro. Kulia Bw. Mhidini Mtindo, Mtakwimu Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu. Wadadisi na Wahariri wa madodoso ya watu wenye uwezo wa kufanya Kazi kutoka mikoa ya Dar es salaam, Pwani, Morogoro, Lindi na Mtwara wakiwa kwenye...

 

3 years ago

Michuzi

WAZIRI MHAGAMA AZINDUA UTAFITI WA WATU WENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI, JIJINI DAR LEO

Na Al-Hassan Michuzi,Globu ya Jamii.

Serikali imezindua utafiti wa Ripoti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu, (NBS) ya Watu wenye uwezo wa kufanya kazi leo jijini Dar Es Salaam ,katika uzinduzi huo imeelezwa kuwa utafiti huo utasaidia kufuatilia na kutathmini katika kufanya mipango ya maendeleo.

Akizungumza katika Uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti wa Watu wenye Uwezo wa Kufanya Kazi uliofanywa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera na Uratibu wa Bunge,Kazi,...

 

5 years ago

Habarileo

Sensa ya watu wenye uwezo wa kufanya kazi yaja

WANANCHi wa Mkoa wa Kusini Pemba wametakiwa kujitokeza kwa wingi kushiriki katika sensa ya kujua idadi ya watu wenye uwezo wa kufanya kazi nchini.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani