Matola ajiuzulu ukocha Simba

Klabu ya Simba imethibitisha kuachana na kocha msaidizi wa timu hiyo, Seleman Matola na kueleza kumweka hadharani mrithi wake atakayesaidiana na kocha mkuu, Goran Kopunovic wakati wowote kuanzia sasa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Sunday Oliseh ajiuzulu ukocha wa timu ya taifa Nigeria

150715133842_sunday_oliseh_624x351_getty_nocredit

Kocha wa timu ya taifa ya Nigeria Sunday Oliseh amejiuzulu wadhfa wake baada ya kudumu kwa takriban miezi minane baada ya kupewa kazi hiyo.

150715133842_sunday_oliseh_624x351_getty_nocredit

Oliseh ambaye ni Nahodha wa zamani wa Super Eagles amelishtumu shirikisho la soka nchini Nigeria NFF kwa kushindwa kumlipa marupurupu yake.

Hakuna tamko lolote lililotolewa na shirikisho hilo ambalo viongozi wake wako mjini Zurich kwa uchaguzi wa rais wa FIFA.

Bwana Oliseh alitangaza kujiuzulu kwake katika mtandao wa Twitter

Jiunge na Bongo5.com...

 

3 years ago

Habarileo

Matola abwaga manyanga Simba

HALI si shwari ndani ya timu ya soka ya Simba, baada ya jana Kocha Msaidizi Suleiman Matola kujiuzulu wadhifa huo. Matola, kiungo mahiri na nahodha wa zamani wa Simba na timu ya taifa ya Tanzania `Taifa Stars’, alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa, amechukua uamuzi huo kutokana na kutokuwa na maelewano na Kocha Mkuu wake raia wa Uingereza, Dylan Kerr.

 

4 years ago

GPL

Mkenya atua Simba SC, Matola out

Kocha msaidizi wa Simba, Selemani Matola. Na Waandishi Wetu
UONGOZI wa Simba umelazimika kuachana na kocha msaidizi, Selemani Matola na tayari kuna taarifa kuwa nafasi yake itachukuliwa na Mkenya, Yusuf Chippo ambaye aliwahi kuifundisha Coastal Union ya Tanga. Simba imefikia hatua hiyo baada ya kujadili kwa kina barua aliyoiandika Matola kwa viongozi wake kutaka kupumzika ili kutatua matatizo ya kifamilia lakini pia akiomba au...

 

5 years ago

GPL

Matola, Pazi wachunguzwa Simba

Kocha mzawa wa kikosi cha Simba, Selemani Matola. Martha Mboma na Sweetbert Lukonge
MAKOCHA wazawa wa kikosi cha Simba, Selemani Matola na Idd Pazi, wanachunguzwa na uongozi wa klabu hiyo baada ya kudaiwa kuwa wanaihujumu ili ishindwe kufanya vizuri katika mechi zake za Ligi Kuu Bara. Makocha hao pia waliwahi kuitumikia Simba kama wachezaji miaka ya nyuma na sasa ni makocha wakisaidiana na Mzambia, Patrick Phiri kukinoa kikosi...

 

5 years ago

GPL

Matola Kocha Mkuu Simba

Na Mwandishi Wetu
SELEMANI Matola ataonja utamu wa kuwa Kocha Mkuu Simba kwa zaidi ya saa 96 baada mwenye nafasi hiyo kuridhia aitumikie. Kocha Mkuu, Zdravko Logarusic, amekubali Matola apewe nafasi hiyo kuanzia leo Jumatatu hadi Ijumaa asubuhi atakapowasili akitokea kwao Croatia.
Chanzo kimesema hali hiyo inatokana na Logarusic kuchelewa kurejea nchini. “Kweli kocha katuambia atachelewa na nafasi ya ukocha mkuu apewa Matola...

 

3 years ago

Habarileo

Matola aitabiria Simba ubingwa

KIUNGO wa zamani wa Simba Selemani Matola amesema timu hiyo imekamilika kila idara na ina nafasi kubwa ya kushinda taji la Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara msimu huu. Matola aliyetamba na Simba kuanzia mwanzoni mwa miaka 2000 hadi katikati, alisema pamoja na kubanwa na Yanga na Azam, lakini klabu hiyo ya zamani ina nafasi ya kushinda taji msimu huu.

 

3 years ago

Habarileo

Kerr adai Matola si pengo Simba

KOCHA wa timu ya soka ya Simba, Dylan Kerr amesema kuondoka kwa msaidizi wake, Selemani Matola hakujaacha pengo na kwamba ana uhakika ataendelea kuifundisha timu hiyo na kuipa mafanikio makubwa katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara.

 

3 years ago

Habarileo

Matola akubali yaishe kipigo Simba

KOCHA Msaidizi wa Simba, Suleiman Matola, amesema hawakutarajia kupoteza mchezo dhidi ya Prisons lakini wanajipanga kwa ajili ya michezo ijayo.

 

5 years ago

GPL

Matola akabidhiwa mikoba ya Loga Simba

Kuanzia Kushoto: Kocha Msaidizi Seleman Matola, Tambwe, Amri Kiemba, Joseph Owino, Jonas Mkude, Musoti. Mbele Kushoto: Singano, Awadhi, Haruna Chanongo, Ivo Mapunda, Rashid Baba Ubaya ,Haruna Shamte. Na Martha Mboma
KOCHA Msaidizi wa Simba, Selemani Matola, amepewa mikoba ya kukinoa kikosi cha timu hiyo mpaka kocha mkuu, Zdravko Logarusic, atakapowasili nchini kesho akitokea kwao, Croatia. Simba inatarajiwa kuanza mazoezi kwa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani