MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI LEO JIJINI DODOMA

 Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi akisisitiza kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali inapotwaa maeneo ya wananchi kwa ajili ya matumizi ya Jeshi ikiwemo kuwalipa fidia wananchi hao, ameyasema hayo Bungeni Jijini Dodoma leo Mei 15, 2019. Waziri wa Nishati Dkt.  Medard Kalemani akieleza mikakati ya Serikali katika kuhakikisha kuwa wananchi wa mikoa mbalimbali ikiwemo Mtwara, Lindi na Dar es Salaam wanaunganishiwa huduma ya gesi majumbani ili kuchochea maendeleo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI JIJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kuteuliwa, Mama Salma Kikwete kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 4, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungungumza na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, ambaye pia ni Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni, 4, 2017.  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga kwenye viwanja...

 

1 year ago

Michuzi

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA LEO

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali Bungeni jijini Dodoma, Mei 10, 2018.  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Chemba, Juma Nkamia, Bungeni jijini Dodoma, Mei 10, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mtambile, Masoud Abdallah Salim,  Bungeni mjini Dodoma,  Mei 10, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana  na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, Bungeni mjini Dodoma, Mei 10, 2018. (Picha na Ofisi ya...

 

1 year ago

Michuzi

MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI JIJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akijibu miongozo  mbalimbali ya wabunge leo Bungeni Jijini Dodoma. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Mhandisi Isaac Kamwelwe wakati wa kikao cha ishirini na tisa cha mkutano wa 11 leo Jijini Dodoma. Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na watu wenye ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akiteta jambo na Mwanasheria...

 

3 years ago

CCM Blog

MATUKIO MBALIMBALI BUNGENI DODOMA LEO Naibu Waziri wa Tamisemi, Seleman Jaffo akijadiliana jambo na Mbunge wa Busokelo, Atupele Mwakibete kwenye viwanja vya Bunge, mjni Dodoma. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Waziri Mkuu akijibu maswali ya wabunge , bungeni mjini Dodoma
 wabunge wakijadiliana jambo bungeni


 Wageni wakifuatia mwenendo wa Bunge
 Mbunge wa Jimbo la Ilemela,Anjelina   akijibu swali
 Spika wa Bunge akitoa pole kwa familia za waumini waliouwa msikiti jijini Mwanza na watu wasiojulikana waliokuwa...

 

5 years ago

Dewji Blog

Matukio mbalimbali kutoka bungeni mjini Dodoma leo

PG4A2298

 

Mbunge wa Mwibara Kange Lugola  akiomba kura za kuwania nafasi ya Mjumbe  wa Tume ya Utumishi Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.

PG4A2310

Mbunge wa Mwibara akivua bango alilokuwaameva wakati akiomba kura kwa wabunge za kuwania kuteuliwa kuwa  Mjumbe wa Tume ya  Utumishi  Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Juni 11, 2014. Aliamriwa kuvua bango hilo na Spika wa Bunge Anne Makinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PG4A2314

 

PG4A2347

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mwanza...

 

3 years ago

Dewji Blog

Matukio mbalimbali kutoka Bungeni leo Juni 17 Mjini Dodoma

Matukio ya picha mbalimbali kutoka Bungeni Mjini Dodoma wakati wa kikao cha asubuhi cha Bunge hilo leo  Juni 17.2016 mjini Dodoma.

1.Mbunge wa Nchemba (CCM), Mhe. Juma Nkamia akifurahia jambo na Mbunge wa Kaliua (CUF), Mhe. Magnalena Sakaya wakati wakiingia katika viwanja vya Bunge leo mjini Dodoma  kuanza kipindi cha asubuhi cha Bunge hilo.

2.Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, Mhe. Mwigulu Nchemba akibadilishana mawazo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. George Masaju ndani ya ukumbi wa Bunge...

 

2 years ago

Michuzi

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mbunge wa Viti Maalum, Cecilia Pareso kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 17, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumz na Mbunge wa Kavuu, Dkt. Pudenciana Kikwembe kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 17, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Morogoro Kusini, Prosper Mbena kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 17, 2017. (Picha na Ofisi ya...

 

1 year ago

Michuzi

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA LEO

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, Bungeni mjini Dodoma Februari7, 2018. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge , Kazi, Vijana, Ajira na  Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiteta na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (katikati) na Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Stella Manyanya, Bungeni mjini Dodoma Februari 7, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mbunge wa Hanang, Dkt. Mary Nagu, bungeni...

 

2 years ago

Michuzi

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU KASIMU MAJALIWA BUNGENI DODOMA LEO

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa zamani, Lawrence Masha kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Mei 9, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Kiembesamaki, Ibrahim Raza kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Mei 9, 2017.  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Mei 9, 2017.  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge, Job Ndugai...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani