MATUKIO MBALIMBALI YA SPIKA WA BUNGE JIJINI DODOMA

Wageni Mbali mbali wakiwemo Manaibu Makatibu Wakuu, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Makamishna wa Bajeti na Sera wakisikiliza hotuba ambapo Wizara ya Fedha na Mipango ilikuwa ikiwasilisha Bajeti yake leo Bungeni Jijini Dodoma.Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mbunge wa Babati Vijijini, Mhe. Jitu Son (kulia) leo katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati)...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Dewji Blog

Matukio mbalimbali Waziri Mkuu Pinda kutoka Bunge mjini Dodoma linakoendelea Bunge Maalum la Katiba

PG4A9843

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Peter Serukamba  (kushoto) na Abdulkarim Shah kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A9873

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba, Abdulkarim Shah (kushoto) na Ayman Jafari kutoka kikundi cha Tulee Yatima Tanzania cha Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A9890

Wajumbe wa...

 

3 years ago

Michuzi

MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGE LEO MJINI DODOMA.

  Waziri Mkuu, Kassim Majalliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama Buneni mjini Dodoma Januari 27, 2016.  Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia)  akimwapisha Waziri wa Elimu , Sayansi, Tekinolojia na Mafunzo ya Ufundi Joyce  Ndarichako, bungeni mjini Dodoma Januari 27, 2016.  Waziri wa Habari,Utamaduni, Wasanii,na Michezo  Nape Nnauye akitoa  kauli Bungeni mjini Dodoma Januari 27, 2016.   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Maliasili na Utalii, ...

 

5 years ago

Michuzi

Matukio mbalimbali Bunge Maalum la Katiba Dodoma leo.


Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Jenista Mhagama (Kushoto) ambaye pia ni Naibu Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Bi. Christowaja Mtinda wakiwasili katika ukumbi wa bunge kwa ajili ya Semina ya uundwaji wa kanuni za kuongoza Bunge Maalum la Katiba leo Mjini Dodoma. Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akimwelekeza jambo Mtangazaji wa TBC ONE Bw. Shaaban Kissu wakati akiwasili katika katika...

 

11 months ago

Michuzi

MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI JIJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akijibu miongozo  mbalimbali ya wabunge leo Bungeni Jijini Dodoma. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Mhandisi Isaac Kamwelwe wakati wa kikao cha ishirini na tisa cha mkutano wa 11 leo Jijini Dodoma. Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na watu wenye ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akiteta jambo na Mwanasheria...

 

5 years ago

Dewji Blog

Matukio mbalimbali kutoka Bungeni mjini Dodoma linakoendelea Bunge la Bajeti

PG4A9866

Waziri wa Ujenzi, Mh. John Magufuli  akisoma bajeti ya Wizara  hiyo bungeni mjini Dodoma Mei 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A9913

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na wabunge kutoka bunge la Uganda , Ssentongo Theopista Nabulya (kushoto) na Dr. Chris Baryomunsi, ofisini kwake bungeni mjini Dodoma  Mei  21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A9928

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,  Uratibu  na Bunge, William Lukuvi akisalimiana na ujumbe wa wabunge kutoka  Bunge la...

 

1 year ago

Michuzi

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA LEO BUNGE MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Riziki Lulida kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma  Novemba 16, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na walimu na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Aldersgate ya mjini Babati ambao walitembelea Bunge Mjini Dodoma kwa lengo la kujifunza Novemba 16, 2017.  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na walimu  na  wananfunzi wa shule ya Sekondari ya...

 

2 years ago

Michuzi

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI JIJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kuteuliwa, Mama Salma Kikwete kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 4, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungungumza na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, ambaye pia ni Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni, 4, 2017.  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga kwenye viwanja...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani