Matumizi ya fedha yabadilishwa kwenye mradi wa maji Bariadi Simiyu

water

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anton Mtaka ameagiza kubadilishwa matumizi ya shilingi milioni 912 za mradi wa maji katika wilaya ya Bariadi kutokana na kutoridhishwa na kiwango cha ujenzi wa mabwawa ya umwagiliaji ya Mwasubuya na Ikungulyambeshi.

 

Katika kikao cha wadau wa maji, Mtaka ameamuru fedha hizo zitumike katika matumizi mengine yenye tija kwa wananchi sharti la ofisi yake likiwa ni kuridhia kwa kushirikiana na halmashauri husika.

Wilaya ya Bariadi ina miradi mitatu ya umwagiliaji ambayo ni Mwasubuya, Ikungulyambeshi na Kasoli, ambayo inadaiwa kujengwa chini ya kiwango.

Mwisho

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 months ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI BARIADI MKOANI SIMIYU, AWEKA JIWE LA MSINGI HOSPITALI YA RUFAA YA SIMIYU PIA AFUNGUA BARABARA YA BARIADI-LAMADI (KM 71.8)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono wakati alipowasili Bariadi kwa ajili ya kuifungua rasmi barabara ya Bariadi-Lamadi yenye urefu wa kilometa 71.8. Wengine katika picha ni Mkuu wa mkoa wa Simiyu Antony Mtaka na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame MbarawaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono wakati alipowasili Bariadi kwa ajili ya kuifungua rasmi barabara ya Bariadi-Lamadi yenye urefu wa...

 

9 months ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI BARABARA YA BARIADI-LAMADI KM 71.8 BARIADI MKOANI SIMIYU


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 11 Januari, 2017 ameanza ziara ya siku mbili mkoani Simiyu kwa kuwataka wananchi wa mkoa huo na Tanzania kwa ujumla kuwapuuza  watu wanaoendesha siasa alizozitaja kupitwa na wakati kwa kutumia baadhi ya vyombo vya habari kutangaza kuwa Tanzania inakabiliwa na njaa badala ya kuwahamasisha wananchi kufanya kaziDakta Magufuli amesema hayo wakati akizungumza na wananchi katika uwanja wa Shule ya Msingi Somanda mara...

 

5 months ago

Channelten

DC bariadi akemea matumizi mabaya, Makusanyo ya fedha yaingizwe katika akaunti sahihi

wa

Mkuu wa Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, FESTO KISWAGA amewataka watendaji wa Halmashauri ya Bariadi Mjini na Vijijini kuhakikisha fedha zote za makusanyo ya ndani zinazokusanywa na kikosi kazi zinaingizwa kwenye akaunti sahihi kabla ya kufanyiwa matumizi ya aina yoyote ili kudhibiti matumizi yasiyorasmi na unadhirifu wa fedha za umma.

Mkuu huyo wa Wilaya alitoa agizo hilo katika kikao cha Baraza la madiwani kilichofanyika mjini Bariadi, ambapo amesema Serikali wilayani humo kupitia kamati...

 

2 years ago

Michuzi

WIZARA YA FEDHA YAWAPA SEMINA WAANDISHI WA HABARI JUU YA MRADI WA MABORESHO YA MATUMIZI YA FEDHA ZA UMMA

 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini na Msemaji wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma akifafanua jambo wakati wa warsha ya siku tano kuhusu mradi wa maboresho ya matumizi ya fedha za umma inayoendelea katika Hoteli Njuweni Kibaha. Bi.Ingiahedi alisema kuwa Serikali ya Tanzania ilianzisha mradi huo kwa madhumuni ya kuimarisha mifumo ya matumizi ya fedha katika ngazi zote.  Mradi huu umekuwa wa awamu 4 kutokana na mafanikio yanayojitokeza na changamoto.
Alisema kuwa Mpaka sasa mradi huo...

 

3 years ago

Tanzania Daima

Matumizi fedha za mradi yamfurahisha waziri

NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama amefurahishwa na matumizi mazuri ya fedha za mradi wa Sayansi, Teknolojia na Elimu ya Juu unaolenga kuboresha sayansi na teknojia...

 

2 years ago

Dewji Blog

Mradi wa Maboresho Matumizi ya Fedha za Umma Wafanikiwa

IMGS2861

Msemaji wa Wizara ya Fedha, Bi. Ingiahedi Mduma (wa kwanza kulia) akitoa ufafanuzi kwa wanahabari wanaoshiriki semina juu ya taarifa ya Mradi wa Maboresho ya Matumizi ya Fedha za Umma (PFMRP) mjini Kibaha. (Picha na Thehabari.com)

MRADI wa Maboresho ya Matumizi ya Fedha za Umma (PFMRP) umefanikiwa kuboresha nidhamu ya matumizi ya fedha za umma hasa katika eneo la ukaguzi wa fedha katika taasisi na idara mbalimbali za Serikali. Kauli hiyo imetolewa jana Mjini Kibaha na Msemaji wa Wizara ya...

 

1 year ago

Habarileo

CCM yahoji matumizi mabaya mradi wa maji

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Nzega mkoani Tabora, kimeelezea kusikitishwa na matumizi mabaya ya zaidi ya Sh milioni 500 katika mradi wa maji wa vijiji vya Ikindwa na Mahene unaodaiwa kujengwa chini ya kiwango huku wananchi wa eneo wakikabiliwa na uhaba mkubwa wa maji huku mradi huo ukiwa haujakamilika.

 

3 months ago

Michuzi

SIMIYU KUNUFAIKA NA MRADI MKUBWA WA MAJI KUTOKA ZIWA VICTORIA KWA UFADHILI WA MFUKO WA MABADILIKO YA TABIANCHI


Na Lulu Mussa, Dodoma.

Serikali ya Tanzania kupitia Mfuko wa Mabadiliko ya Tabianchi (Green Climate Fund) imepata fedha za kutekeleza mradi mkubwa wa maji kutoka Ziwa Victoria hadi Mkoa wa Simiyu ambapo fedha za Mradi huo zitapitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW).

Hayo yamesemwa leo na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin Kamuzora wakati wa kikao kazi kilichojumuisha wadau wanaohusika na utekelezaji wa Mradi wa maji wa Simiyu, mradi unaofadhiliwa na Mfuko wa mabadiliko ya...

 

8 months ago

Dewji Blog

DC Hapi aagiza fedha za mradi wa ujenzi wa soko lenye mgogoro zibadilishiwe matumizi

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi amemuagiza Mwakilishi wa Mchumi wa Manispaa ya Kinondoni, Febronia Luyageza kuiandikia barua Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) ya kuomba kibali cha kubadilisha matumizi ya fedha za mradi wa ujenzi wa soko la Mkunguni zaidi ya milioni 130 kutokana na soko hilo kuwa na mgogoro kwa muda mrefu kati ya Halmashauri, chama cha ushirika na baadhi ya wananchi wenye viwanja. Ili fedha hizo zitumike katika ujenzi wa soko la Maandazi ambalo halina...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani