MAWAIDHA YA BABA CHRISTIAN LIKOKO MAZIKONI KIJIJINI MBOGA MKOA WA PWANI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SIKILIZA MAWAIDHA YA BABA PAROKO CHRISTIAN LIKOKO MAZIKONI KIJIJINI MBOGA, CHALINZE, MKOA WA PWANI

BABA PAROKO CHRISTIAN LIKOKO AKITOA MAWAIDHA WAKATI WA MAZISHI YA MWALIMU FELIX SHAABAN HONERO KATIKA KIJIJI CHA MBOGA, CHALINZE, MKOA WA PWANI JANUARI 30, 2014

 

1 year ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI ATOA MSAADA KWA MSIKITI WA NOOR KIJIJINI MKANGE, MIONO, WILAYA YA CHALINZE MKOA WA PWANI LEO

Msaidizi wa Rais Kanali Msafiri Mkeremy akimkabidhi Imamu wa Msikiti wa Noor kijijini Mkange, Miono, Wilaya ya Chalinze mkoa wa Pwani Sheikh Khamis Nassor wakati alipowasilisha msaada wa zulia la kuswalia msikitini hapo akiwa kaongozana na Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Bw. Jaffary Haniu (nyuma ya Imamu) leo Novemba 17, 2017.KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULUTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIWaumini wa dini ya Kiislam wa Msikiti wa Noor uliopo katika Kijiji cha Mkange, Miono,  Wilaya...

 

3 years ago

Michuzi

MAGUFULI AMALIZA KAMPENI ZAKE MKOA WA LINDI,AANZA MKOA WA PWANI KWA KISHINDO

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mkuranga jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni.Dkt Magufuli amemaliza kampeni zake mkoa wa Lindi na baade ameendelea na kampeni zake ndani ya mkoa wa Pwani,ambapo anatarajia kujinadi maeneo mbalimbali ya mkoa Pwani katika kuwaomba ridhaa ya kuwaongoza wananchi katika awamu ya tano,katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyia Oktoba 25 mwaka huu.Mgombea Urais wa...

 

5 years ago

Michuzi

Mh. Chiza akagua bustani ya mboga mboga katika banda la Magereza,Sabasaba

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Eng. Christopher Chiza akiangalia kilimo cha mazao yenye thamani kubwa, mboga aina ya bilinganya alipotembelea shamba la mfano katika Banda la Jeshi la Magereza katika Viwanja vya maonyesho ya Kimataifa ya Biashara, Kilwa Road, Jijini Dar es Salaam, Juzi, kulia kwake ni Afisa Mwandamizi wa Jeshi hilo Bwana Uswege Mwakahesya (Picha kwa Hisania ya WKCU).

 

5 years ago

Michuzi

Wakulima Mbeya Waneemeka na Elimu ya uzalishaji wa Mboga Mboga kutoka TAHA

Mh. Dr. Christine Ishengoma Mkuu wa Mkoa wa Iringa akipokea taarifa kuhusu mfumo wa taarifa za masoko kutoka TAHA unavyofanya kazi zake kutoka kwa Cyrila Antony Afisa wa MasokoMkuu wa mkoa wa Iringa  Mh. Dr. Christine Ishengoma akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa kilimo wa TAHA Bw Ringo kuhusu uzalishaji wa zao la nyanya Elimu ikiendelea kutolewa.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

2 years ago

Bongo5

Barakah The Prince aingia kwenye kilimo cha mboga mboga

Muimbaji wa muziki Barakah The Prince amedai kwa sasa ameamua kuingia kwenye biashara ya kilimo ili kuwa na kipato nje ya muziki.

Akiongea katika cha kipindi cha Twenzetu cha Times Fm, Barakah amedai nje ya muziki ameamua kijikita kwenye kilimo cha mboga mboga.

“Nina shamba Morogoro na Tarime,Tarime nimelima Matikiti maji na Morogoro nimelima Vitunguu ,Kabichi na Mboga Mboga , bado sijaanza kuvuna ni shanba ambalo nimelikodisha kama miezi miwili hadi sasa ,Masanja ndio alinishawishi kuingia...

 

5 years ago

GPL

WAKULIMA MBEYA WANEEMEKA NA ELIMU YA UZALISHAJI WA MBOGA MBOGA KUTOKA TAHA‏

Mh. Dr. Christine Ishengoma Mkuu wa Mkoa wa Iringa akipokea taa rifa kuhusu mfumo wa taarifa za masoko kutoka TAHA…

 

2 years ago

Channelten

Wadudu mtu waharifu wa mboga mboga, Halmashauri ya Geita yaanza kufanya uchunguzi

DUDU MTU

HALMASHAURI ya mji wa Geita imeanza uchunguzi kubaini iwapo wadudu maarufu kwa jina la (mdudu mtu) walioibuka kwenye mboga mboga na matunda wilayani Geita wanamadhara yanayoweza kusababisha vifo kwa binadamu huku ikiwashauri wananchi kuzingatia maandalizi mazuri ya mboga kabla ya kuzitumia.

Ofisa Kilimo na Mifugo wa Halmashauri ya mji wa Geita John Mayunga amesema utafti wa kubaini kama Wadudu hao wana madhara kwa binadamu unafanyika huku akidai wadudu hao ni mzunguko wa ukuaji wa Mdudu...

 

2 years ago

Michuzi

DC- TABORA AONGOZA ZOEZI LA KUWAONDOA WAKULIMA WA MBOGA MBOGA WAVAMIZI WA BWAWA LA IGOMBE.

Na Tiganya Vincent-RS-Tabora
Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Tabora imeendesha oporesheni ya kung’oa mazao mbalimbali ya bustani yaliyokuwa yamepandwa na wavamizi katika maeneo ya vyanzo vya maji na kando kando ya Bwawa la Igome na hivyo kusababisha uzalishaji wa maji kupungua.
Kamati hiyo iliyoongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mwalimu Queen Mlozi iliendesha zoezi hilo jana mjini hapa baada ya kugunduliwa kuwepo kundi kubwa la watu wanaondeshea...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani