MAWAZIRI WAWILI MATATANI...WAMKWAZA RAIS MAGUFULI

Waziri wa Kilimo, Dk Charles Tizeba na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina pamoja na Makatibu wao wameshindwa kuhudhuria mkutano wa 11 wa baraza la taifa la Biashara uliofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam na kuendeshwa na Rais Dkt Magufuli.

Katika mkutano huo Rais Magufuli aliwahitaji mawaziri hao ili waweze kutoa ufafanuzi kuhusu masuala ambayo yameibuliwa na wafanyabiashara, lakini mawaziri hao pamoja na Makatibu wao hawakufika licha ya kuwa walialikwa na kupaswa kuwepo kwenye mkutano...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Ippmedia

Rais Magufuli aapisha mawaziri wawili Ikulu Dar es Salaam.

Rais John Pombe Magufuli leo amemuapisha Waziri wa mambo ya ndani Mwigulu Nchemba na Waziri wa kilimo,mifugo na uvuvi Charles Tizeba Ikulu jijini Dar es Salaam.

Day n Time: Jumatano Saa 2:00 UsikuStation: ITV

 

2 years ago

Bongo5

Rais Magufuli awabana mawaziri wawili, ataka faida ya DART

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, amewabana mawaziri na wasimamizi wa DART akitaka wamuambie wametengeneza fedha kiasi gani huku akisema siku ya jana baada ya hotuba yake mawaziri hao wampe ripoti.

Rais Magufuli ameyasema hayo Jumatano hii wakati akizindua magari yaendayo kwa haraka(mwendokasi )eneo la Gerezani, Kariakoo.

Akizungumzia taarifa zilizotolewa na Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI, George Simbachawene,...

 

2 years ago

Dewji Blog

Rais Magufuli awaapisha Mawaziri wawili, wapo mabalozi sita

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 24 Machi, 2017 amewaapisha Mawaziri wawili, Katibu Mkuu Ikulu, Mabalozi wanne na Kamishna wa Tume ya Mahakama, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Walioapishwa ni Mhe. Dkt. Harrison George Mwakyembe aliyeapishwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Prof. Palamagamba Aidan John Mwaluko Kabudi aliyeapishwa kuwa Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria, na Bw. Alphayo Kidata aliyeapishwa kuwa Katibu Mkuu –...

 

1 year ago

Malunde

RAIS MAGUFULI ATOA SIKU TANO KWA MAWAZIRI WAWILI


Rais John Magufuli amemuapisha Doto Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini na kuiagiza wizara hiyo kwa kushirikiana na Wizara ya Katiba na Sheria kuhakikisha kanuni za sheria mpya ya madini namba 7 ya mwaka 2017 inasainiwa ifikapo Ijumaa, Januari 12, 2018.
Rais Magufuli ametoa agizo hilo muda mfupi baada ya Biteko kuapishwa leo Jumatatu Ikulu jijini Dar es Salaam na ameelezea kutoridhishwa kwake na namna viongozi na watendaji wa Wizara ya Madini wanavyotekeleza majukumu yao polepole na bila...

 

2 years ago

Channelten

Rais Magufuli amewaapisha mawaziri wawili kufuatia mabadiliko madogo aliyofanya

o2

Rais JOHN MAGUFULI,amewaapisha mawaziri wawili kufuatia mabadiliko madogo aliyofanya katika baraza lake la mawaziri,na kuwatolea wito wa kuwatumikia wananchi kwa weledi na kujiamini ili kuendeleza nchi.

Mawaziri walioapishwa ni Dk HARISSON MWAKYEMBE kuwa waziri wa habari, Utamaduni sanaa na michezo na Profesa PALAMAGAMBA KABUDI, kuwa waziri wa Katiba na Sheria.

Wengine waliopishwa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam ni mabalozi watatu watakaowakilisha Tanzania nje ya...

 

3 years ago

Raia Mwema

Magufuli awatisha na mawaziri wawili

RAIS Dk.

Mwandishi Wetu

 

3 years ago

Raia Mwema

Magufuli awatisha mawaziri wawili

RAIS Dk.

Mwandishi Wetu

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU MAWAZIRI ALIOWATEUA

 Waziri wa Madini Angellah Jasmine Kairuki akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Daniel Shonza akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi. Jumla ya Mawaziri nane na Manaibu 16...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani