MAYANGA AITA 23 TAIFA STARS KUWAKABILI ALGERIA NA DR CONGO

Kikosi cha wachezaji 23 wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kitakachocheza michezo miwili ya kirafiki kwenye tarehe za kalenda ya FIFA dhidi ya Algeria na DR Congo kimetajwa leo Alhamis Machi 8, 2018.

Kikosi hicho kitaingia kambini Machi 18, 2018 kwenye hotel ya SeaScape na kuondoka Machi 19, 2018 kuelekea Algeria kwa mchezo utakaochezwa Machi 22, 2018 kitarudi Tanzania Machi 24, 2018 kujiandaa na mchezo wa pili utakaochezwa Uwanja wa Taifa Machi 27, 2018 na DR Congo.
Kikosi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Mayanga aita 24, Stars safari ya 2019, Cameroon

Dar es Salaam.  Kocha wa timu ya Taifa Stars, Salum Mayanga ameita kikosi cha wachezaji 24 kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya Afcon 2019.

 

3 years ago

Vijimambo

MKWASA AITA 28 STARS KUIVAA ALGERIA

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Charles Boniface Mkwasa jana ametangaza kikosi cha wachezaji 28 watakoingia kambini Jumapili jioni kujiandaa na mchezo dhidi ya Algeria Novemba 14 jijini Dar es salaam, na marudiano kufanyika Novemba 17 nchini Algeria.Akiongea na waandishi wa habari katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam, Mkwasa amesema kikosi chake hicho kitaweka kambi nchini Omani kwa takribani siku 10 kujiandaa na...

 

3 years ago

Michuzi

MKWASA AITA 26 TAIFA STARS

Kocha Mkwasa (kushoto) na msaidizi wake Hemed Morocco wakiongea na waandishi wa habari.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - RELEASE NO. 104
TAREHE 24 JUNI 2015
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine leo amemtambuisha kocha mpya wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Charles Boniface Mkwasa mbele ya waandishi wa habari.

Akiongea na waandishi wa habari, Mwesigwa amewaomba wadau wa mpira wa miguu nchini kuwapa sapoti makocha hao wazawa wanaoanza kazi...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mayanga ataja kikosi cha Taifa Stars

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars,Salum Mayanga ametangaza majina ya wachezaji 24 ambao wanaunda kikosi cha timu ya Taifa kwa ajili ya kujiandaa na fainali za Afrika za mwaka 2019.

Katika kikosi hicho Mayanga amemjumuisha kwa mara ya kwanza mlinda mlango wa timu ya Yanga Beno Kakolanya huku akimuacha kipa Deaogratius Munishi ‘Dida’.

Kikosi hicho kinajumuisha wachezaji wafuatao.

MAKIPA
1.Aishi Manula
2.Beno Kakolanya
3.Said Mohamed

WAZUIAJI
1.Shomar Kapombe
2.Hassani...

 

3 years ago

Vijimambo

KOCHA MKWASA AITA 26 TIMU YA TAIFA STARS

Kocha Mkwasa (kushoto) na msaidizi wake Hemed Morocco wakiongea na waandishi wa habari.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - RELEASE NO. 104
TAREHE 24 JUNI 2015
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine leo amemtambuisha kocha mpya wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Charles Boniface Mkwasa mbele ya waandishi wa habari.

Akiongea na waandishi wa habari, Mwesigwa amewaomba wadau wa mpira wa miguu nchini kuwapa sapoti makocha hao wazawa wanaoanza kazi...

 

2 years ago

Michuzi

TAIFA STARS SASA YAJIANDAA NA COSAFA, MAYANGA KUFANYA MABADILIKONa Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

Timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti, itaingia kambini tena Juni 14, mwaka huu kujiandaa na michuano inayoratibiwa na Baraza la Soka la Kusini mwa Afrika (COSAFA).
Michuano hiyo inatarajiwa kuanza Juni 25, mwaka huu ambako Taifa Stars itakwenda Misri, Juni 20, mwaka huu.
Kocha wa Taifa Stars, Salum Mayanga amepanga kufanya mabadiliko madogo ya kikosi cha Taifa Stars kitakaochokwenda kushiriki michuano hiyo.
Kocha...

 

1 year ago

Michuzi

KOCHA MAYANGA ATAJA TAIFA STARS MPYA KUIVAA BOTSWANA

Kocha Mkuu wa timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Salum Shabani Mayanga ametangaza kikosi kipya kitakachocheza na Botswana katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa chini ya utaratibu wa kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA).
Wiki ya FIFA kwa mechi za kimataifa inatarajiwa kuanza Jumatatu Agosti 28 hadi Septemba 2, mwaka huu ambako Tanzania imekubaliana kucheza Botswana kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam Jumamosi ya Septemba 2, 2017.Katika kikosi...

 

3 years ago

Michuzi

TAIFA STARS WATUA NAIROBI KUWAKABILI HARAMBEESTARS

Kikosi cha wachezaji na viongozi 24 wa timu ya taifa, Taifa Stars, kimewasili jijini Nairobi leo Ijumaa asubuhi kwa ajili ya mechi ya kirafiki na timu ya taifa ya Kenya, Harambe Stars, itakayochezwa Jumapili, Mei 29 kwenye uwanja wa Safaricom Kasarani.Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. John Haule, amewatembelea wachezaji hao na viongozi wao kwenye hoteli ya Nairobi Safari Club walikofikia na kuwatakia matayarisho mema na ushindi watakapocheza na Harambee. Aliwahakikishia kuwa hali ya...

 

1 year ago

Channelten

Mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki, Kocha Mayanga aita wachezaji 21

salum-mayanga-tanzania-vs-malawi_1oq82xz2tei371asihpp4afy2p

Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Salum Mayanga amewarejesha baadhi ya nyota wake kikosini akiwepo mshambuliaji, Elias Maguri kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa mapema mwezi ujao.

Baada ya kucheza nyumbani mfululizo mechi za kirafiki za kimataifa, Taifa Stars sasa itatoka mwezi ujao kwenda Benin kucheza na wenyeji Novemba 11, mwaka huu.
Na Mayanga ameita kikosi cha wachezaji 24 ambacho kitaingia kambini Novemba 5 mjini Dar es Salaam kabla ya kusafiri Novemba 9...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani