Mayanga aita 24, Stars safari ya 2019, Cameroon

Dar es Salaam.  Kocha wa timu ya Taifa Stars, Salum Mayanga ameita kikosi cha wachezaji 24 kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya Afcon 2019.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

4 months ago

Mwananchi

Tumeshaona Gabon, safari ya Cameroon 2019 ipo?

Fainali za Mataifa ya Afrika kwa mwaka huu, Afcon 2017 zimemalizika jana usiku kwa Misri na Cameroon kuonyesha kazi na matokeo kama yalivyokuwa

 

5 months ago

Bongo5

Mayanga: Nitaipeleka ‘Stars’ AFCON, 2019

Baada ya Shirikisho la soka Tanzania TFF, kumtangaza kocha wa Mtibwa Sugar Salum Mayanga, kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kocha huyo amesema yupo tayari kwa kazi hiyo na kuwataka wadau mbalimbali wa mchezo huo kumpa sapoti ili kufanikisha adhamira yake ya kuifikisha mbali timu hiyo.

Mayanga ameongea na mtandao wa Goal amesema, ameupokea kwa mikono miwili uteuzi huo ingawa ni kazi ngumu na yenye kuhitaji ushirikiano wa watu wengi, lakini atajitahidi kuhakikisha...

 

3 years ago

BBCSwahili

Cameroon ni mwenyeji wa AFCON 2019

Shirikisho la soka la Afrika limetangaza kuwa Cameroon ndiyo itakayoandaa makala ya 2019 ya kuwania ubingwa wa Afrika.

 

2 years ago

Habarileo

Mkwassa aita 29 safari ya Uturuki

KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars Charles Mkwasa ameita kikosi cha wachezaji 29 kwa ajili ya kambi ya Uturuki huku wachezaji tisa wakitoka Azam.

 

2 months ago

Habarileo

Mayanga ataja Stars mpya

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Salum Mayanga ametangaza kikosi cha wachezaji 26 kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya kufuzu michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (Chan) na lile la Afcon.

 

1 week ago

Zanzibar 24

Mayanga ataja kikosi cha Taifa Stars

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars,Salum Mayanga ametangaza majina ya wachezaji 24 ambao wanaunda kikosi cha timu ya Taifa kwa ajili ya kujiandaa na fainali za Afrika za mwaka 2019.

Katika kikosi hicho Mayanga amemjumuisha kwa mara ya kwanza mlinda mlango wa timu ya Yanga Beno Kakolanya huku akimuacha kipa Deaogratius Munishi ‘Dida’.

Kikosi hicho kinajumuisha wachezaji wafuatao.

MAKIPA
1.Aishi Manula
2.Beno Kakolanya
3.Said Mohamed

WAZUIAJI
1.Shomar Kapombe
2.Hassani...

 

2 months ago

Mwanaspoti

Jicho la Mayanga limeweza kukusanya kundi zuri Stars

HII ndio moja kati ya faida ya kuwa na kocha anayewajua kiundani wanasoka wa nchi hii. Kocha ambaye amekuwa akikutana na mikikimikiki ya wachezaji kwenye Ligi Kuu Bara na hata kwenye michezo ya kawaida wanayoshiriki wachezaji wa Tanzania.

 

2 years ago

Michuzi

MKWASA AITA 26 TAIFA STARS

Kocha Mkwasa (kushoto) na msaidizi wake Hemed Morocco wakiongea na waandishi wa habari.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - RELEASE NO. 104
TAREHE 24 JUNI 2015
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine leo amemtambuisha kocha mpya wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Charles Boniface Mkwasa mbele ya waandishi wa habari.

Akiongea na waandishi wa habari, Mwesigwa amewaomba wadau wa mpira wa miguu nchini kuwapa sapoti makocha hao wazawa wanaoanza kazi...

 

3 years ago

Mwananchi

Nooij aita tisa Stars

>Baada ya kuishudia Taifa Stars ikicheza kiwango kibovu na kunyukwa 3-0 na Burundi Jumamosi kocha mpya wa Stars, Mart Nooij ameongeza wachezaji tisa katika kikosi hicho kinachojiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Malawi itakayochezwa Mei 4, kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani