Mayanga ataja kikosi cha Taifa Stars

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars,Salum Mayanga ametangaza majina ya wachezaji 24 ambao wanaunda kikosi cha timu ya Taifa kwa ajili ya kujiandaa na fainali za Afrika za mwaka 2019.

Katika kikosi hicho Mayanga amemjumuisha kwa mara ya kwanza mlinda mlango wa timu ya Yanga Beno Kakolanya huku akimuacha kipa Deaogratius Munishi ‘Dida’.

Kikosi hicho kinajumuisha wachezaji wafuatao.

MAKIPA
1.Aishi Manula
2.Beno Kakolanya
3.Said Mohamed

WAZUIAJI
1.Shomar Kapombe
2.Hassani Ramadhani Kessy
3.Mwinyi Haji
4.Mohamed Hussein
5.Salim Abdalah
6.Agrey Moris
7.Abdi Banda
8.Erasto Nyoni

VIUNGO
1.Himid Mao
2.Jonas Mkude
3.Salum Abubakar
4.Said Ndemla
5.Mzamiru Yassin
6.Simon Msuva
7.Farid Musa
8.Shiza Kichuya
9.Thomas Ulimwengu

WASHAMBULIAJI
1.Mbwana Samata
2.Mbaraka Yusuph
3.Ibrahim Hajibu
4.Abdulrahiman Mussa

The post Mayanga ataja kikosi cha Taifa Stars appeared first on Zanzibar24.

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

8 months ago

Michuzi

KOCHA MAYANGA ATAJA TAIFA STARS MPYA KUIVAA BOTSWANA

Kocha Mkuu wa timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Salum Shabani Mayanga ametangaza kikosi kipya kitakachocheza na Botswana katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa chini ya utaratibu wa kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA).
Wiki ya FIFA kwa mechi za kimataifa inatarajiwa kuanza Jumatatu Agosti 28 hadi Septemba 2, mwaka huu ambako Tanzania imekubaliana kucheza Botswana kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam Jumamosi ya Septemba 2, 2017.Katika kikosi...

 

10 months ago

Michuzi

KOCHA MKUU WA STARS MAYANGA ATANGAZA KIKOSI CHA COSAFANa Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
Kocha Mkuu wa timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Salum Shabani Mayanga, leo Jumatano Juni 14, 2017 ametangaza majina ya wachezaji 22 watakaounda kikosi kinachokwenda kushindana kuwania Kombe la Castle Cosafa nchini Afrika Kusini.
Taifa Stars inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti, inatarajiwa kuanza kambi rasmi kesho Jumapili Juni 18, mwaka huu. Kambi hiyo itakuwa kwenye Hoteli ya Urban Rose, iliyoko Mtaa wa Jamhuri katikati ya jiji la Dar es Salaam.

 Afisa habari wa...

 

1 year ago

Habarileo

Mayanga ataja Stars mpya

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Salum Mayanga ametangaza kikosi cha wachezaji 26 kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya kufuzu michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (Chan) na lile la Afcon.

 

2 years ago

Dewji Blog

Kikosi cha Taifa Stars kitakachoshuka dimbani dhidi ya Harambee Stars leo

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajiwa kushuka dimbani jioni ya leo  kucheza mchezo wa kirafiki wakimataifa na timu ya Taifa Kenya (Harambee Stars)  Jijini Nairobi, Kenya. Awali vikosi vyote vilikuwa kwenye mazoezi yha kujiandaa na mchezo huo.

Vikosi vitakavyoshuka dimbani katika mchezo huo jioni ya leo ni kama ifuatavyo:

The post Kikosi cha Taifa Stars kitakachoshuka dimbani dhidi ya Harambee Stars leo appeared first on DEWJIBLOG.

 

3 years ago

BBCSwahili

Kikosi cha Taifa stars chatangazwa

Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Mart Nooij leo ametangaza kikosi cha wachezaji 28 .

 

2 years ago

Dewji Blog

Kocha Mwansasu ataja kikosi chake cha timu ya Taifa ya Tanzania Soka la Ufukweni, kipo hapa

Kocha  Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ya Soka la Ufukweni (Beach Soccer) Kocha  John Mwansasu leo hii Agosti 12.2016 ametangaza rasmi kikosi cha wachezaji 16 wa timu hiyo ambao wanatarajia kuingia kambi kujiandaa na michezo ya Kimataifa.

Kikosi hicho ni pamoja cha timu ya Taifa kinaundwa na wachezaji kutoka Zanzibar ni pamoja na Talib Ame, Ahmad Abdi, Mohd Makame, Ahmed Rajabu (Golikipa), Khamis Said na Yacob Mohamed.

Wachezaji wengine ambao wanatokea Tanzania Bara ni pamoja na  Ally...

 

2 years ago

Bongo5

Hiki ndo Kikosi cha Taifa Stars cha wachezaji 20 kitakacho kwenda Nigeria

Kocha Mkuu wa timu ya Mpira wa Miguu Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa, ametangaza wachezaji 20 watakaounda kikosi kitakachosafiri mwishoni mwa mwezi huu kwenda Nigeria kwa ajili ya mchezo wa mwisho wa kuwania kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2017) dhidi ya timu ya taifa ya nchi hiyo, Super Eagles.

Bocco

Licha ya mchezo huo wa Septemba 3, 2016 kuwa sehemu ya mchuano wa kuwania nafasi ya kucheza fainali hizo za AFCON 2017 huko Gabon, lakini utakuwa ni wa...

 

4 years ago

Mwananchi

Uteuzi wa kikosi cha Taifa Stars, TFF yapingwa

Uamuzi wa Shirikisho la Soka  Tanzania (TFF) kuteua timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars umepokewa kwa hisia tofauti na wadau mbalimbali wa soka nchini.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani