Mazishi ya Bradley Lowery: Maelfu wafika kumuaga shabiki aliyegusa nyoyo za wengi

Mchezaji Jermain Defoe, ambaye aliunda urafiki wa karibu sana na Bradley, aliungana na familia ya mvulana huyo kumuaga kwa mara ya mwisho.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

Bradley Lowery: Shabiki Mtoto wa Sunderland afariki Dunia

Baada ya kuugua kwa muda mrefu, Bradley Lowery (6) amefariki dunia leo. Lowery anatambulika kwa kuwa mshabiki mkubwa wa Sunderland ya nchini Uingereza na alipata umaarufu mkubwa Duniani baada ya kugundulika na maradhi ya neuroblastoma aina adimu ya kansa duniani.

Bradley aligundulika na maradhi hayo akiwa na umri wa miezi 18 na alikuwa rafiki wa karibu wa mshambuliaji wa klabu hiyo ya Sunderland Jermain Defoe.

 

Kifo chake kimethibitishwa na wazazi wake kupitia ukurasa maalum wa harakati za...

 

2 years ago

Malunde

SHABIKI MTOTO MATATA WA SOKA BRADLEY LOWERY AMEFARIKI DUNIA

Kama ni shabiki wa soka la England najua jina la Bradley Lowery sio geni katika masikio yako kutokana na umaarufu wa mtoto aliyekuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kansa kupenda sana kuishabikia Sunderland.Bradley ambaye alikuwa ana mapenzi na Sunderland amefariki leo baada ya kusumbuliwa na kansa kwa muda mrefu, Bradley alikuwa akimpenda sana mshambuliaji wa zamani wa Sunderland ambaye amejiunga na AFC Bournemouth Jermain Defoe.
Shabiki huyo mtoto wa Sunderland aligundulika kuwa ana kansa akiwa...

 

2 years ago

Bongo5

Picha: Defoe akubali kulala na Bradley Lowery kwenye siku yake ya mwisho duniani

Jumamosi ya leo ndio siku ambayo ilidaiwa kuwa mtoto ambaye ni shabiki mkubwa wa klabu ya soka ya Sunderland, Bradley Lowery atafariki dunia kutokana na ripoti ya madaktari ambapo anasumbuliwa na maradhi ya kansa ambayo imedaiwa kufika mwisho hadi kushindikana kutibika.

Bradley amemuomba Jermain Defoe kulala naye kitanda kimoja hospitalini ambapo amelazwa katika siku yake hiyo ya mwisho duniani ambayo alidaiwa kuwa atafariki ambapo mshambuliaji huyo amelikubali ombi hilo.

Miezi kadhaa...

 

3 years ago

BBCSwahili

Maelfu wafika kufanyiwa uchunguzi wa matibabu Tanzania

Maelfu ya wenyeji wa mji mkuu wa Tanznia Dar es Salaam wamekuwa wakipanga milolongo wengi tangu alfajiri kuweza kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu hii leo.

 

5 years ago

Mwananchi

Maelfu wakwama kumuaga Mandela

Maelfu ya wananchi wa Afrika Kusini wameshindwa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Rais wa Kwanza mzalendo wa nchi hiyo, Nelson Mandela kutokana na muda uliopangwa kumalizika.

 

3 years ago

BBCSwahili

Viongozi mashuhuri wafika mazishi ya Shimon Peres

Viongozi mbalimbali duniani wanajiandaa kutoa heshima zao za mwisho wakati wa mazishi ya kiongozi shupavu wa Israeli marehemu, Shimon Peres, aliyefariki Jumatano wiki hii.

 

4 years ago

Habarileo

JK aongoza maelfu kumuaga Mchungaji Mtikila

RAIS Jakaya Kikwete ameongoza mamia ya waombolezaji pamoja na viongozi wa kitaifa, katika kumuaga Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila aliyekufa kwa ajali hivi karibuni mkoani Pwani.

 

3 years ago

Mtanzania

Maelfu wafurika kumuaga Muhammad Ali

Mwili wa Muhammad Ali ukiwa umebebwa kwenye jeneza

Mwili wa Muhammad Ali ukiwa umebebwa kwenye jeneza

LOUISVILLE, England

MASHABIKI wa gwiji wa masumbwi duniani, marehemu Muhammad Ali, wamekamilisha safari ya bondia huyo kwa kutoa salamu zao za mwisho kabla ya kushuhudia akipumzishwa katika makazi yake ya milele.

Takribani mashabiki 18,000, viongozi kutoka sehemu mbalimbali duniani na watu maarufu walikusanyika nyumbani kwa bingwa huyo wa zamani wa uzito wa juu, Louisville, Kentucky kwa ajili ya kukamilisha zoezi hilo.

Mara baada ya...

 

2 weeks ago

Michuzi

MAELFU WAJITOKEZA KUMUAGA DKT.MENGI


 Mke wa Marehemu Jacline akiwa pamoja na watoto katika katisa la KKKT usharika wa moshi mjini Mtoto wa Marehemu Regina Mengi akiwa kanisani tayari kwa ibada katika Kanisa la KKKT usharika wa Moshi mjini Mkoani Kilimanjaro Waombolezaji wakiwa kanisani tayari kwa ibadaKanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini Usharika wa Moshi mjini mahali ambapo wenyeji wa Mkoa wa kilimanjaro,wageni mbalimbali wanapouaga Mwili wa Dkt.Regnald Mengi Watu mbalimbali wakiendelea kuuaga Mwili wa Dkt.Regnald Mengi...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani