Mazungumzo kati ya Marekani na China yaambulia patupu

Mvutano wa kibiashara umeendelea kati ya Marekani na China huku nchi hizo zikitoa kauli zinazokinzana wakati ambapo Rais Trump ameamua kuongeza ushuru maradufu kwa bishaa za China.
China na Marekani zinatoa taarifa zinazotofautiana juu ya mazungumzo ya biashara. China imesema bado ina matumaini kuhusu kuutatua mvutano wa kibiashara, wakati Marekani imesema imeongeza ushuru mara mbili kwa bidhaa kutoka China. Hata hivyo mjumbe wa China katika mazungumzo na Marekani Liu He ameonya kwamba kuna...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 week ago

VOASwahili

Mazungumzo ya kibiashara kati ya China na Marekani yaingia siku ya pili

Wajumbe katika mazungumzo ya kibiashara kati ya Marekani na China wanakutana kuendelea na mazungumzo kwa siku ya pili, Ijumaa, masaa machache baada ya ushuru wa Marekani dhidi ya bidhaa za China kuanza kutumika.

 

2 years ago

Channelten

Waziri wa mambo ya nje wa China ahudhuria mazungumzo kati ya China na Afrika kuhusu kupunguza umaskini

1

Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi jana huko Addis Ababa alihudhuria ufunguzi wa mazungumzo ya ngazi ya juu kuhusu upunguzaji wa umaskini na Baraza la jumuiya ya washauri bingwa kati ya China na Afrika, na kutoa hotuba kuhusu ushirikiano kwenye kuondoa umaskini.

Bw. Wang Yi pia amefanya mazungumzo na mwenyekiti wa kamati ya Umoja wa Afrika Bw. Moussa Mahamat, na kusema China inapenda kuimarisha ushirikiano na Umoja wa Afrika.

Bw. Wang Yi ameutaja umaskini kuwa ni adui wa binadamu...

 

2 years ago

Channelten

Mgogoro wa kikanda kati ya Qatar na Saudi Arabia, Marekani yajaribu tena kufanya mazungumzo kujaribu kuutatu

 

Marekani inajaribu tena kuutatua mgogo kati ya Qatar na Saudi arabia ambao uliibuka miezi mitatu ilyopita ambapo waziri wa mambo ya nje wa Marekani Rex Tillerson anaelekea katika eneo hilo licha ya kusema kwamba hana matumaini ya kuwepo kwa mafanikio.

Mjumbe huyo mkuu katika serikali ya Rais Donald Trump anatarajiwa kuondoka Marekani mwishoni mwa juma hili kuelekea Saudi Arabia na pia Qatar kwa mazungumzo juu ya kile kinachotajwa kama kuvunjika kwa mahusiano ya nchi hizo mbili.

Hata hivyo...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Balozi wa China: Hospitali ya Abdulla Mzee ni alama ya kihistoria kati ya China na Zanzibar

Mradi Mkubwa wa ujenzi wa Hospitali ya rufaa ya Abdulla Mzee iliyopo Mkoani Kisiwani Pemba  tayari umeshaweka alama ya Kihistoria itakayoendelea kuimarisha uhusiano wa muda mrefu uliopo  kati ya Jamuhuri ya Watu wa China na Zanzibar ambao una zaidi ya miaka 52 sasa.
Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa China Nchini Tanzania Bwana Lu Youqing alisema hayo wakati akipokea salamu za shukrani kutoka  Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizowasilishwa kwake na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi...

 

5 years ago

Michuzi

makamu wa rais wa china,Li Yuanchao afungua mkutano wa uwekezaji kati ya tanzania na china jijini Dar leo

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Makamu wa Rais wa China, Li Yuanchao wakitazama picha za ziara ya hayati Baba wa taifa Mwalimu Julius Nyerere kabla ya mgeni huyo kufungua mkutano wa Uwekezaji kati ya Tanzania na China kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es salaam  Juni 23, 3014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akimkabidhi zawadi ya kinyago, Makamu wa Rais wa China, Li Yuanchao  kabla ya mgeni huyo kufungua mkutano wa Uwekezaji kati ya Tanzania na China...

 

3 years ago

Michuzi

Mkutano wa ushirikiano wa Vyombo vya Habari kati ya nchi za Afrika na China unaofanyika mjini Beijing Nchini China

 Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (Katikati), Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Star Media Tanzania Liao Lanfang wakibadilishana mawazo leo  kabla ya kufunguliwa kwa mkutano wa tatu wa ushirikiano wa vyombo vya Habari kati ya nchi za Afrika na China unaofanyika Beijing nchini China. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo  Prof. Elisante Ole Gabriel (kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa...

 

1 week ago

BBCSwahili

Marekani yatuma mfumo wa kukinga makombora na meli ya kijeshi mashariki ya kati huku wasiwasi kati yake na Iran ukiendelea

Idara ya ulinzi nchini Marekani inasema kuwa inapeleka zana za kijeshi ili kuwalinda maafisa na mali yake kutokana na vitisho vya Iran

 

2 years ago

Channelten

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani asema Marekani bado inapenda kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini

646

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani asema Marekani bado inapenda kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini.

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bw Rex Tillerson amesema Marekani bado ina nia ya kutafuta njia ya kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini kuhusu suala la nyuklia la peninsula ya Korea, lakini uwezekano wa kuanza a mazungumzo hayo utaamuliwa na kiongozi wa Korea Kaskazini Bw Kim Jong Un. Bw. Tillerson amesema njia za kidiplomasia ni chaguo la kwanza la Marekani kwenye suala la Korea...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mazungumzo ya amani Mashariki ya kati

Muda wa mwisho uliowekwa na Marekani wa mpango wa mashariki ya kati umemalizika

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani