Mazungumzo ya kibiashara kati ya China na Marekani yaingia siku ya pili

Wajumbe katika mazungumzo ya kibiashara kati ya Marekani na China wanakutana kuendelea na mazungumzo kwa siku ya pili, Ijumaa, masaa machache baada ya ushuru wa Marekani dhidi ya bidhaa za China kuanza kutumika.

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Syria: Mazungumzo ya kutafuta amani yaingia siku ya pili

Mazungumzo ya amani yanaendelea kwa siku ya pili Kazakhstan kati ya serikali ya Syria na makundi ya waasi.

 

1 week ago

Malunde

Mazungumzo kati ya Marekani na China yaambulia patupu

Mvutano wa kibiashara umeendelea kati ya Marekani na China huku nchi hizo zikitoa kauli zinazokinzana wakati ambapo Rais Trump ameamua kuongeza ushuru maradufu kwa bishaa za China.
China na Marekani zinatoa taarifa zinazotofautiana juu ya mazungumzo ya biashara. China imesema bado ina matumaini kuhusu kuutatua mvutano wa kibiashara, wakati Marekani imesema imeongeza ushuru mara mbili kwa bidhaa kutoka China. Hata hivyo mjumbe wa China katika mazungumzo na Marekani Liu He ameonya kwamba kuna...

 

2 years ago

Channelten

Waziri wa mambo ya nje wa China ahudhuria mazungumzo kati ya China na Afrika kuhusu kupunguza umaskini

1

Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi jana huko Addis Ababa alihudhuria ufunguzi wa mazungumzo ya ngazi ya juu kuhusu upunguzaji wa umaskini na Baraza la jumuiya ya washauri bingwa kati ya China na Afrika, na kutoa hotuba kuhusu ushirikiano kwenye kuondoa umaskini.

Bw. Wang Yi pia amefanya mazungumzo na mwenyekiti wa kamati ya Umoja wa Afrika Bw. Moussa Mahamat, na kusema China inapenda kuimarisha ushirikiano na Umoja wa Afrika.

Bw. Wang Yi ameutaja umaskini kuwa ni adui wa binadamu...

 

6 days ago

Zanzibar 24

Trumo atetea vita vya kibiashara kati yake na China

Rais wa Marekani Donald Trump ametetea vita vya kibiashara kati yake na China wakati hali ya wasiwasi ikiongezeka wakati masoko ya fedha yakizidi kuporomoka huku akiahidi kufikia makubaliano hivi karibuni na rais wa China Xi Jinping.

Katika mfululizo wa ujumbe alioandika kwenye ukurasa wake wa twitter mapema hii leo Trump ameendelea kuipigia debe kauli mbiu yake ya Marekani Kwanza katika kuunga mkono hatua za kuongeza ushuru dhidi ya bidhaa za China huku akiyataka makampuni ya Marekani...

 

4 years ago

BBCSwahili

Maandamano yaingia siku ya pili Burundi

Wanaharakati nchini Burundi wameendelea na maandamano wakipinga uteuzi wa Rais Nkurunzinza kuwania awamu ya tatu

 

2 years ago

BBCSwahili

Maandamano yaingia siku ya pili Romania

Maelfu ya watu wamekusanyika katika viunga vya Bucharest na miji mingine nchini Romania katika usiku mwingine wa maandamano baada ya serikali kupitisha sheria ya kuyachukulia baadhi ya matendo ya rushwa kuwa sio rushwa.

 

3 years ago

Bongo5

Maandamano ya kumpinga Donald Trump yaingia siku ya pili

Maelfu ya watu wanaopinga ushindi wa Donald Trump kwenye uchaguzi wa Urais, wameendelea kuandamana mtaani kwa usiku wa pili sasa katika miji mbalimbali nchini Marekani.

3a3925f600000578-3923346-people_march_and_shout_during_an_anti_trump_protest_in_oakland_c-a-18_1478798612240

Waandamanaji wa huko Portland, Oregon, walikabiliana vikali na polisi. Kile kilichoanza kama maandamano ya amani ya watu zaidi ya 4,000, kimegeuka kuwa na fujo.

3a38993c00000578-3923346-a_protester_shoots_fireworks_at_police_officers_during_rioting_i-a-20_1478798612413

Watu hao wameharibu biashara, magari na kuwatupia vitu polisi. Maandamano mengine yanaendelea kwenye miji ya Los Angeles, Philadelphia, Denver, Minneapolis,...

 

2 years ago

BBCSwahili

Marekani na China zakosa kuafikiana kibiashara

Marekani na China zimekamilisha mkutano wa kibiashara kuhusu maswala tata mjini Washington bila maafikiano.

 

5 years ago

Michuzi

Mgawe akiri kuusaini Mkataba wa kibiashara kati ya TPA na Kampuni ya China Communications Company Ltd (CCCCL)

Na Mwene Said wa Blogu ya Jamii
Aliyekuwa Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Bandari (TPA), Ephraim Mgawe  amekiri katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa aliusaini mkataba wa kibiashara kati ya TPA na Kampuni ya China Communications Company Ltd (CCCCL).
Mgawe amekiri kuusaini mkataba huo wa kibiashara leo wakati akisomewa maelezo ya awali (PH)  na Wakili wa Serikali, Pius Hilla mbele ya Hakimu Mfawidhi  wa mahakama hiyo, Isaya Arufani.
Akisomewa maelezo ya awali yanayohusiana na shtaka  la...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani