MBOWE AFUNGUKA MADIWANI 46 WA CHADEMA KUHAMIA CCM

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Taifa (CHADEMA) Mhe, Freeman Mbowe amefunguka na kutoa neno kuhusu madiwani 46 ambao wamejiuzulu nafasi zao na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kusema kuwa jambo hilo linafanywa na CCM kwa lengo la kuwakatisha tamaa wana CHADEMA.

Mbowe amesema kuwa wapo watu wanadhani kitendo cha baadhi ya madiwani kuhama CHADEMA na kwenda CCM ni kukiuwa chama hicho na kusema suala hilo haliwezi kutokea kwani madiwani wa CHADEMA nchi nzima wapo zaidi ya...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Malunde

MBOWE AMJIBU POLEPOLE KUHUSU KIGOGO WA CHADEMA ANAYETARAJIWA KUHAMIA CCM

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amejibu kauli iliyotolewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole aliyesema kuna mtu mzito wa Chadema atakayehamia chama tawala hivi karibuni.

Mbowe amesema kuwa Chadema haiwezi kutetereka kwa kuondoka kiongozi yeyote kwani imejengwa katika misingi imara kama taasisi isiyotegemea mtu.
“Kwanza kabisa sitaki kuzungumzia propaganda za Polepole ambaye najua anajifunza siasa. Wapo wazito zaidi waliohama au...

 

1 year ago

Malunde

MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE ATOA KAULI NZITO KATAMBI KUHAMIA CCM
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema chama hicho hakiwezi kutetereka au kufa kwa kiongozi au mwanachama wake kuondoka.

Amesema kuna mkakati mkubwa unaotumia fedha unaofanywa kuwalaghai viongozi na wanachama wake kukihama chama hicho.

Kauli hiyo ameitoa leo Jumatano baada ya aliyekuwa mwenyekiti wa vijana wa chama hicho, Patrobas Katambi kutangaza kujiunga na CCM.

Akizungumza leo Jumatano na Mwananchi, Mbowe ambaye pia ni amesema, "Tuko ‘strong enough’ sio mara ya kwanza watu kuondoka...

 

4 years ago

Vijimambo

MSUMARI WA MWISHO KWENYE JENEZA WA MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE KUHUSU LOWASA KUHAMIA CHADEMA LIVE!!


"Haukuwa uamuzi rahisi.. Kamati Kuu ilifanya utafiti kwa vikao vingi na mashauriano. Tafiti zilituambia kuwa Edward Lowassa akipeperusha bendera ya Chadema/UKAWA,ndoto ya mabadiliko makubwa nchini itatimia. Kwa Kauli moja, Kamati Kuu iliridhia Edward Lowassa awe mgombea kwa Chadema na baadae tukawauliza wenzetu wa UKAWA kama wanakubali ama kukataa. Wajumbe wote akiwemo Katibu Mkuu Dr W Slaa waliridhia... baadae kuna watu labda wakamshauri vingine... " - Freeman Mbowe.. Mwenyekiti Taifa wa...

 

1 year ago

Malunde

Tarime Tena !! KATIBU WA CHADEMA AJIONDOA CHADEMA NA KUHAMIA CCM
Katibu wa Chadema wilaya ya Tarime Mkoani Mara,Elias Thobias Ghati, amehama chama na kutimukia CCM leo Jumatatu Januari 8,2018.
Ghati anakuwa kiongozi wa pili wa chama hicho kutimukia CCM baada ya Zakayo Chacha Wangwe,aliyekuwa Diwani wa kata ya Turwa Wilayani Tarime kufikia uamuzi huo Januari 5,2018.
Ghati amesema kuwa hakushinikizwa na mtu yeyote kuhamia chama hicho, bali ni kwa utashi wake mwenyewe.
Wengine waliohamia Chadema ni mlinzi wa mbunge wa Tarime mjini Emmanuel Ngese na Lucas Marwa...

 

2 years ago

CHADEMA Blog

Mbowe aeleza madiwani waliojiuzulu Chadema watakavyoigharimu Serikali

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameeleza jinsi mamilioni ya fedha yatakavyotumika kugharimia uchaguzi mdogo katika kata nane za mikoa ya Arusha na Kilimanjaro kuziba nafasi zilizoachwa wazi na madiwani wa Chadema waliojiuzuru.Akizungumza katika mikutano tofauti ya hadhara jimboni kwake, Mbowe ambaye pia ni mbunge wa Hai, alisema uchaguzi mdogo katika kata moja unatarajia kugharimu Sh250

 

2 years ago

Mwananchi

CCM yawachomoa madiwani watatu jimbo la Mbowe

Wakati madiwani watatu wa Chadema wilayani Hai wakihamia CCM, katibu wa itikadi na uenezi wa chama hicho tawala, Humphrey Polepole amesema wataendelea kuchomoa wapinzani mmoja mmoja.

 

1 year ago

Malunde

KIONGOZI WA CHADEMA AFARIKI KATIKA MAZINGIRA YA KUTATANISHA...MBOWE AFUNGUKA


Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akionyesha mbele ya waandishi wa habari picha ya kiongozi wa chama hicho Kata ya Hananasif, Daniel John akisema alipatikana akiwa amekufa baada ya kutoweka jijini Dar es Salaam. Picha na Said Khamis. ***
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kiongozi wa chama hicho katika Kata ya Hananasif, Daniel John amefariki dunia katika mazingira ya kutatanisha.
Mbowe akizungumza na waandishi wa habari leo Februari 13,2018 amesema John alitoweka siku moja...

 

4 years ago

Mwananchi

Lembeli: Mwanahabari aliyeitosa CCM na kuhamia Chadema

Jina la James Lembeli siyo jipya kwenye medani za siasa. Huyu ni moja ya wanasiasa waliopata umaarufu mkubwa katika kipindi cha ndani ya miaka 10 alichokaa bungeni akiwakilisha Jimbo la Kahama kwa tiketi ya CCM.

 

1 year ago

MwanaHALISI

Kauli ya Chadema baada ya Mwenyekiti Bavicha kuhamia CCM

DK. Vincent Mashinji, Katibu Mkuu wa Chadema, amesema chama hakina mgogoro na aliyekuwa Mwenyekiti wa Bavicha, Patrobas Katambi ambaye ametangaza kujiunga na CCM kwa kuwa ni haki ya Kikatiba, anaandika Angel Willium. Muda mchache baada ya Katambi kutangaza kujiunga na CCM, Dk. Mashinji, amesema: “Sisi kama chama msimamo wetu tuliuweka tangu madiwani walivyoanza kuondoka, tukaweka ...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani