Mbowe agoma kuripoti kituo cha polisi

Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA, Freeman Mbowe asema hataripoti Kituo Kikuu cha Polisi, Dar kwakuwa Mkuu wa Mkoa hana mamlaka ya kumuita.

Kiongozi huyo wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni asema RC Makonda amemchafua yeye, familia yake na kambi ya Upinzani kwa ujumla.

Aidha Mwenyekiti Mbowe ameongeza kuwa yuko tayari kutoa ushirikiano muda wowote endapo utaratibu utafuatwa kuhusu suala hilo.

The post Mbowe agoma kuripoti kituo cha polisi appeared first on Zanzibar24.

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Zanzibar 24

Waziri Pravin Gordhan: akataa kuripoti kituo cha polisi Sababu ni hii hapa

Waziri wa fedha wa Afrika Kusini, Pravin Gordhan, amegomea mwito wa polisi nchini humo waliomtaka kuripoti kituo cha polisi, na kusema kwamba tuhuma dhidi yake hazina msingi.

Bwana Gordhan ameeleza kuwa timu yake ya kisheria ilimshauri kutoitikia mwito huo na kwamba yeye alikuwa akitimiza wajibu wake kama kawaida.

Vyombo vya habari nchini Afrika Kusini zinaeleza kuwa sababu ya mwito huo zinatokana na uchunguzi uliofanywa dhidi ya kitengo alichowahi kukisimamaia cha masuala ya kodi ambacho...

 

5 years ago

Vijimambo

BI REHEMA AMEPOTEA KWA YEYOTE ATAKAYEMUONA ANAOMBWA KURIPOTI KITUO CHA POLISI KIGAMBONI U KILICHO KARIBU

Bi Rehema Salum Msambya pichani juu amepotea tokea tarehe 16/10/2014 maeneo ya Kigamboni - Kisota karibu na Shule ya Sekondari ya Abdu jumbe. Siku hiyo alikuwa amevaa Dela Na Skintirt ya Rangi ya Blue. Bi Rehema ana Matatizo ya Akili. Yeyote atakayemuona anaombwa kutoa taarifa katika kituo cha Polisi Kigamboni au kilicho karibu  au Apige simu namba0712 22 77 220753 63 49 670712 70 77 870713 23 52 94

 

2 years ago

Bongo Movies

Mbowe Akamatwa na Polisi, Afikishwa Kituo cha Polisi

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe, leo Februari 20, 2017 amekamatwa na Jeshi la Polisi, Dar es Salaam wakati akienda kujisalimisha kwa ajili ya mahojiano kufuatia Mkuu wa Mkoa wa Dar, Pal Makonda kumtaja kwenye sakata la madawa.

Kamanda wa Polisi Kanda maalumu Dar es Salaam Simon Sirro amethibitisha kukamatwa kwa Mwenyekiti Freeman Mbowe.

Mwenyekiti wa Chadema Dar, Kileo amethibisha kukamatwa kwa Mbowe huku Msemaji wa CHADEMA, Boniface Makene, akisema Freeman Mbowe amekamatwa wakati...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Freeman Mbowe ashindwa kuripoti polisi

Viongozi wa Chadema waliotakiwa kuripoti kituo kikuu cha polisi leo Jumanne Machi 13, 2018 wametakiwa kufika tena kituoni hapo Machi 16, 2018.

Licha ya kutakiwa kuripoti viongozi saba, waliofanikiwa kufika kituoni hapo ni Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Vicent Mashinji na naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Zanzibar, Salum Mwalimu.

Viongozi wengine watano akiwemo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe wameshindwa kuripoti kutokana na kuhudhuria vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge vilivyoanza leo...

 

3 years ago

Global Publishers

Lowassa, Mbowe Watakiwa Kuripoti Polisi Leo

lowassa na mboweViongozi waandamizi wa Chadema akiwamo Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa jana walikamatwa na Jeshi la Polisi wakati wakiwa katika kikao cha ndani katika Hoteli ya Giraffe mkoani Dar es Salam. 

Lowassa, ambaye alikaa kituoni hapo kwa takribani saa tatu anaweza kuwa kiongozi wa kwanza aliyewahi kushika nafasi ya Waziri Mkuu kuhojiwa na polisi.

Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu aliwataja viongozi wengine waliokamatwa kuwa ni Mwenyekiti, Freeman Mbowe, Katibu Mkuu, Dk Vincent...

 

3 years ago

MwanaHALISI

Mbowe, Lowassa, Mnyika wazuiwa kuripoti polisi

  SAA tatu baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutangaza kusitisha maandamano na mikutano yake chini ya operesheni yaUmoja wa Kupinga Udikteta (Ukuta), Jeshi la Polisi limewataka viongozi wa chama hicho waliokamatwa juzi kutokwenda kuripoti polisi, anaandika Faki Sosi. Taarifa ya kutotakiwa kuripoti kesho kama iliyotakiwa awali, zimethibitishwa na Freeman Mbowe, mwenyekiti wa chama ...

 

3 years ago

Mtanzania

Lowassa, Mbowe kuripoti polisi Jumanne ijayo

1

JOHANES RESPICHIUS-Dar es Salaam

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,   Simon Sirro, amesema viongozi wa juu wa  Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliotakiwa kuripoti jana katika Kituo Kikuu Polisi  badala yake wataripoti Septemba 6, mwaka huu.

Viongozi hao ni pamoja na Mwemyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, Mjumbe wa Kamati Kuu, Edward Lowassa, Katibu mkuu, Vincent Mashinji, Naibu wake, John Mnyika na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho, Said Issa...

 

2 years ago

Malunde

MBOWE: MAKONDA HANA MAMLAKA YA KUNIITA KWENDA KITUO CHA POLISI

Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Aikaeli Mbowe amesema kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda hana mamlaka ya kumuita kwenda Kituo cha Polisi.

Mbowe ameyasema hayo leo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Mjini Dodoma kufuatia kutajwa katika orodha ya watuhumiwa 65 wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya na kutakiwa kufika Kituo cha Polisi cha Kati jijini Dar es Salaam leo saa tano asubuhi.
Mbowe amekanusha vikali...

 

2 years ago

Channelten

Freeman Mbowe Ameripoti kituo kikuu cha polisi DSM kwa mahojiano

MWENYEKITI wa taifa wa chama cha DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA FREEMAN MBOWE ameripoti katika kituo kikuu cha polisi kwa ajili ya mahojiano

Bwana Mbowe inadaiwa alikuwa akisakwa na polisi tangu atajwe na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam PAUL MAKONDA katika awamu ya pili ya wanaotuhumiwa kujihusisha na dawa za kulevya

CHANNEL TEN ilifika kituo kikuu cha polisi jijini DAR ES SALAAM na kukuta tayari mwenyekiti huyo wa CHADEMA yuko ndani kwa mahojiano na polisi huku ikielezwa kwamba taarifa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani