MBOWE ASHANGAA SUGU KUTOKA GEREZANI

Kufuatia kuachiwa huru kwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi na Katibu wa Chadema Nyanda ya Juu Kusini, Emmanuel Masonga kutoka Gereza la Ruanda, Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, amesema bado hawajafahamu ni taratibu gani zimetumika kuwaachia huru wakati kifungo chao kilikuwa bado.

“Katika mazingira ya kawaida, siku yao ya kifungo walichokuwa wamepewa kilikuwa kinaishia Juni 5, mwaka huu, lakini ghafla wakapewa taarifa kwamba wataachiwa leo. Hatuna hakika sana ni taratibu gani...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Sugu ashangazwa kutoka gerezani

Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ambaye ameachiwa huru leo may 10, 2018 kutoka gerezani alikofungwa akiwa na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Emmanuel Masonga, amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kutoka jela.

Akizungumza na East Africa Radio, Sugu amesema hakuwa anajua kama anaachiwa mpaka pale alipofuatwa na polisi kuambiwa ajiandae, na hajui imekuwaje mpaka akaachiwa sasa kwani ilijulikana ataachiwa huru mwezi wa 6.

“Watu wote walikuwa wanatarajia...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Magereza waeleza sababu ya Sugu kutoka gerezani mapema

Jeshi la Magereza limeeleza kuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ pamoja na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga wameachiliwa huru kwa msamaha wa Rais uliotolewa katika maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Afisa Habari wa Jeshi hilo, Mrakibu Msaidizi wa Magereza, Lucas Mboje ameeleza kuwa katika maadhimisho hayo, Rais alitoa msamaha kwa wafungwa ambapo baadhi walitoka siku hiyo hiyo na wengine walibaki kumalizia muda wao, kutokana na...

 

1 year ago

Malunde

KAULI YA NAPE NNAUYE BAADA YA SUGU KUTOKA GEREZANI

Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amemkaribisha uraini Mbunge wa Mbeya Mjini,Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ baada ya kutoka gereza la Ruanda alipokuwa akitumikia kifungo chake.

Nape amesema kuwa anakumbuka Mbunge huyo ambaye pia ni msanii aliwahi kuimba juu yake wakat alipoanza siasa.

“Karibu tena Uraini brother!{nakumbuka uliwahi kuimba juu yangu wakati huo nilipoanza siasa},” ameandika Nape kupitia ukurasa wake Twitter.

Sugu na katibu wa Chadema kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga walitiwa hatiani...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Kauli ya Zitto Kabwe baada ya Sugu kutoka gerezani ‘akataa kuwapa pole’

Mbunge wa Kigoma Mjini, Mhe. Zitto Kabwe amesema kuwa amefurahi kuona Mbunge mwenzake wa Mbeya Mjini kupitia tiketi ya CHADEMA, Joseph Mbilinyi maarufu kwa jina la Sugu pamoja na mwenzie Emmanuel Masonga wakitoka gerezani lakini amekataa kuwapa pole kwa kile alichodai kuwa viongozi wote wa upinzani kwa sasa ni wafungwa watarajiwa.

Zitto amesema kuwa anaamini kukaa kwao gerezani kumewaongezea zaidi ari ya kupambania Demokrasia pana ya nchi yetu.

“Nafurahi kuwa Mbunge Mbeya Mjini Ndg. Joseph...

 

1 year ago

Malunde

MBOWE AFUNGUKA MAZITO BAADA YA KUTOKA GEREZANI NA WENZAKE (Video)

Mwenyekiti wa (CHADEMA) Mhe. Freeman Mbowe amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kuachiwa huru yeye pamoja na viongozi wengine sita wa CHADEMA na kusema kuwa walipokuwa magerezani wameshuhudia mengi na watayaweka wazi karibuni.


Mbowe amesema hayo alipokuwa nje ya Mahakama ya Hakimu mzaki Kisutu baada ya kukamilisha masharti dhamana ambapo kila mmoja alitakiwa kuwa na wadhamini wawili pamoja na kusaini bondi ya shilingi Milion 20.

"Leo mahakama imetupa ruksa ya dhamana na tunaanza dhamana yetu...

 

4 years ago

Habarileo

Mbowe ashangaa kebehi zinazotolewa kwa Polisi

Freeman MboweMWENYEKITI wa taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ameshangaa kusikia maneno kutoka kwa baadhi ya viongozi ndani ya chama chake yenye mwelekeo wa kukebehi na kudharau jeshi la polisi na kuwataka wasihukumiwe vibaya, kwani wamepewa dhamana ya kulinda watu na mali zao.

 

1 year ago

Malunde

MBUNGE SUGU NA MWENZAKE WATOKA GEREZANI

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga wameachiwa huru leo Alhamis Mei 10,2018 jijini Mbeya

 

1 year ago

Malunde

ALICHOLAZIMISHWA SUGU KUFANYA AKIWA GEREZANIMbunge wa Mbeya kupitia CHADEMA Joseph Mbilinyi maarufu kwa jina la Sugu, amesema alishangazwa na kitendo cha kusikia imepigwa simu kutoka juu, na kueleza kwamba ni lazima yeye na Masonga wavae sare za jela  Akizungumzia suala hilo Sugu amesema kwamba kitendo hicho kilimshangaza kwani kulikuwa kuna watu wengine wengi walikuwa hawana sare na wamefungwa mule muda...

 

1 year ago

Malunde

MBUNGE SUGU ASHEREHEKEA BIRTHDAY YAKE GEREZANI

Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu kwa jina la Sugu amesherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa gerezani huku familia yake ikiisherehekea kwa kula chakula pamoja na watoto yatima wanaolelewa katika Kituo cha Nuru, Uyole jijini Mbeya.

Sugu ambaye anafikisha umri wa miaka 46, alisherehekea siku hiyo akiwa gerezani ambako anatumikia kifungo cha miezi mitano.

Keki ya mbunge huyo ilipambwa kwa kuchorwa pingu, mnyororo na taswira ya chumba cha Magereza.

Sugu alihukumiwa kifungo...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani