MBOWE ATULIZA HASIRA ZA WAFUASI WA CHADEMA SAFARI YA LOWASSA IKULU
Hatimaye mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ametuliza mtifuano ulioibuka miongoni mwa wanachama wake baada ya waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa kufanya kikao cha faragha na Rais John Magufuli.

Pia mwenyekiti huyo wa chama hicho kikuu cha upinzani amesema Chadema haitakubali kuchonganishwa kutokana na kikao hicho cha viongozi hao wawili.

Mbowe alisema hayo jana baada ya kufanya mazungumzo na Lowassa, ambaye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema kupata taarifa ya kikao chake na Rais...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014:FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA, PROFESA ABDALLAH SAFARI MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA BARA

 Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano  mkuu wa chadema Wakicheza kwa furaha muda mfupi baada ya matokeo ya Uchaguzi kwenye Mkutano Mkuu Kutangazwa Usiku huu Freeman Mbowe akiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA  kwa kumchagua tena kushika nafasi ya mwenyekiti Mshindi wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akipongezwa na Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa Makamu  Mwenyekiti wa Chadema Bara Profesa Abdallah Safari(Kulia)na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe wakipungia kwa...

 

9 months ago

Malunde

LOWASSA AKUTANA NA MBOWE KUMPA MREJESHO WA IKULUWaziri mkuu wa zamani Edward Lowassa amekutana na mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ili kumpa mrejesho ya alichozungumza na Rais John Magufuli.
Taarifa iliyotolewa leo Alhamisi na Msemaji wa Lowassa imeeleza kuwa kumekuwa na waraka na taarifa nyingi za kupotosha umma kuhusu ziara ya Lowassa kwenda Ikulu na nyingine zikisemwa zimetoka kwa msemaji wake.“Taarifa zote hizo siyo kweli na wala siyo rasmi kutoka ofisini kwa Mh Lowassa. Baada ya ziara ile, Mhe Lowassa alikutana na mwenyekiti wa...

 

9 months ago

Malunde

MBOWE NAYE AMCHANA LOWASSA BAADA YA KWENDA IKULU KUMSIFIA RAIS MAGUFULI


Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kwa jinsi utawala wa awamu ya tano unavyoongoza nchi, inahitaji ujasiri wa ziada kusimama na kuusifia.
Mbowe amesema hay oleo Jumanne muda mchache baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kwenda Ikulu.
Amesema mwaliko wa Lowassa ni wake binafsi na wala hauhusiani na Chadema na hata kile alichokizungumza cha kumsifia Rais Magufuli ni mawazo yake binafsi.Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema naye amemkosoa Lowassa kwa kitendo cha kumsifia...

 

3 years ago

Mwananchi

Mbowe, Lowassa wakana kuuziana Chadema

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na aliyekuwa mgombea urais wa chama hicho, Edward Lowassa wamekana tuhuma za kuuziana chama zilizokuwa zikielekezwa kwao wakati wa uchaguzi mkuu mwaka jana.

 

2 years ago

CHADEMA Blog

USAHIHI KUHUSU SAFARI YA MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA MHE.FREEMAN MBOWE

Usiku wa Leo Tarehe 22/08/2016 imesesambazwa Taarifa kuwa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe.Freeman Mbowe amepanga kusafiri nje ya nchi tarehe 28.08.2016 yaani siku 3 kabla ya Maandamano na Mikutano ya Kisiasa iliyopangwa kufanyika kuanzia Tarehe 01.09.2016 kutetea na kulinda katiba na sheria za nchiTaarifa hizo zilizosambazwa katika mitandao ya kijamii ziliambatanishwa na Tiketi na Ujumbe Feki

 

3 years ago

Vijimambo

SAFARI YA MATUMAINI YAMFIKISHA LOWASSA CHADEMA

Yametimia! Waziri Mkuu aliyejiuzulu katika wadhifa huo, Edward Lowassa, amejiunga rasmi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinachofungamana na vyama vinavyounda vuguvugu la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

Je, hadhi ya kisiasa ya Lowassa itapanda na kuzidi kufikia ndoto za utumishi wake, ama atakuwa anaanguka kiasi cha kufikia hatua ya kusahaulika kwa jamii?

Kwa namna yoyote, hatua ya Lowassa kujiunga Chadema itachagiza kazi ya mageuzi ya kisiasa hasa katika kuelekea Uchaguzi...

 

11 months ago

Malunde

LOWASSA,MBOWE KUONGOZA KAMPENI ZA UCHAGUZI WA UDIWANI CHADEMA

Viongozi wa juu wa Chadema , Freeman Mbowe na Edward Lowassa wataongoza kampeni za uchaguzi mdogo wa nafasi za udiwani kwenye kata 43.

Chama hicho kimeunda Kamati za Kitaifa 10, zitakazoongeza nguvu, hamasa na mikakati ya kampeni za uchaguzi wa marudio kwenye nafasi hizo kuanzia kesho hadi siku ya uchaguzi.

Timu hizo ambazo zitafanya kazi kwa kushirikiana na kamati zingine za hamasa katika ngazi za kanda, mikoa, majimbo, kata na matawi katika maeneo yenye uchaguzi huo, zitaongozwa na...

 

3 years ago

Mwananchi

Lowassa: Chadema imeiva kuingia Ikulu

Mgombea urais wa Chadema na kwa mwavuli wa Ukawa, Edward Lowassa amesema mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe amekijengea mizizi imara chama chake na sasa kimeiva kuingia Ikulu Oktoba 25.

 

3 years ago

TheCitizen

Lowassa ready for Chadema Ikulu ticket

Former Prime Minister Edward Lowassa yesterday handed in presidential nomination forms to his new party, Chadema, setting in motion the process to formally endorse him. It is widely anticipated that Chadema will also forward Mr Lowassa’s name to its partners in Ukawa, which is made up of four parties.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani