Mbowe awaonya vikali wakuu wa mikoa na wilaya Nchini

Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe amelaani vikali tabia ya wakuu wa wilaya na mikoa nchini kuingilia mamlaka zisizo zao.Kiongozi huyo alikuwa alikuwa akizungumza na wanahabari mjini Arusha mara baada ya kuhudhuria kesi ya Rufaa ya aliyekuwa mbunge wa Longido Onesmo Ole Nangole.Kiongozi huyo wa upinzani bungeni ameonya na kulaani tabia ya mkuu wa mkoa wa Arusha akishirikiana na wakuu wake

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

WAKUU WA MIKOA NA WILAYA WAASWA KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WAWEKEZAJI NCHINI

Akizungumza wakati wa uwekaji jiwe la msingi katika kiwanda cha kutengeneza vifungashio kilichopo wilayani Kihaba mkoani Pwani Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt. Adelhelm Meru amesema kuwa tukiwa tunaelekea katika nchi ya viwanda serikali inajukumu la kutoa ushirikiano wa kutosha kwa wawekezaji nchini.Dkt. Adelhelm amesema kuwa viongozi hao hawana budi kuiga mfano wa Mkuu wa Mkoa wa Pwani na Mkuu wa Wilaya ya Kibaha kwa ushirikiano wanaoutoa kwa wawekezaji...

 

3 years ago

Habarileo

Magufuli aapisha wakuu wa Mikoa, awaonya

RAIS Dk John Pombe Magufuli amewaapisha wakuu wa mikoa aliowateua hivi karibuni na kuwapa maagizo mazito. Rais amewaambia wakafanye kazi ya kutatua kero za wananchi na sio kwenda kufanya siasa.

 

3 years ago

MillardAyo

Rais Magufuli kateua wakuu wa wilaya 139, mabadiliko madogo kwa wakuu wa mikoa

Rais-Magufuli-1

Taarifa kutoka Ikulu ya Tanzania leo June 26 inasema Rais John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko kwenye nafasi za wakuu wa Mikoa pamoja na wakuu wa Wilaya,kwenye mabadiiko hayo amewateua jumla ya wakuu wa wilaya 139. Mabadiliko haya yanamhusu aliyekua mkuu wa Wilaya ya Sengerema Bi.Zainab R. Telack kuwa mkuu mkoa wa Shinyanga  ambaye anajaza nafasi […]

The post Rais Magufuli kateua wakuu wa wilaya 139, mabadiliko madogo kwa wakuu wa mikoa appeared first on MillardAyo.Com.

 

4 years ago

Habarileo

Waziri awaonya wakuu wa wilaya wasiowajibika

Hawa GhasiaSERIKALI imesema haitasita kumwajibisha mkuu wa wilaya ambaye atashindwa kusimamia majukumu yake ipasavyo ili kuhakikisha wananchi wanaendelea kuwa na imani na Serikali yao.

 

3 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZ:Rais Magufuli afanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya na afanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Mikoa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 26 Juni, 2016 amefanya mabadiliko madogo katika safu ya wakuu wa mikoa na amewateua wakuu wa wilaya 139.

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi amesema katika mabadiliko hayo Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Sengerema Bi. Zainab R. Telack kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.

Bi. Zainab R. Telack anajaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Anna Kilango Malecela...

 

8 months ago

Michuzi

WAKUU WA MIKOA KANDA YA ZIWA VICTORIA WAKOSOA VIKALI TABIA YA WANASIASA KUIPAKA MATOPE DHAMIRA NJEMA YA SERIKALI KUPAMBANA NA UVUVU HARAMU

 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina akihutubia  hadhara ya kikosi kazi cha watu 260 alichokiunda kwa ajili ya operesheni Sangara 2018 na Wakuu wa Mikoa mitano inayozunguka Ziwa vicktoria  wakati wa mkutano wa kufanya tathimini ya Operesheni  hiyo. Picha na John Mapepele
NA JOHN MAPEPELE, MWANZA
WAKUU wa mikoa inayozunguka Ziwa Victoria wamekosoa vikali tabia ya baadhi ya wanasiasa kuipaka matope dhamira njema ya Serikali ya kupambana na uvuvi haramu ulioshamiri katika ziwa hilo na...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani