Mbowe, Lowassa, Mnyika na Dkt. Mashinji Wakamatwa na Polisi, Dar

 

Lowassa-na-MboweKikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA kilichokuwa kinafanyika katika Hoteli ya Giraffe iliyopo Mbezi jijini Dar, kimezingirwa na jeshi la polisi huku viongozi wake wakikamatwa na kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi cha Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano.

CHADEMAAkizungumzia kukamatwa kwa viongozi hao Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu alisema waliokamatwa na polisi kwa ajili ya mahojiano ni Edward Lowassa, Freeman Mbowe, John Mnyika, Dk Vincent Mashinji na  Said Issah

“Tulikuwa kwenye kikao cha...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mwananchi

Lowassa, Mbowe, Mnyika wakamatwa

Viongozi wa Chadema wamekamatwa na polisi na kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano.

 

3 years ago

MwanaHALISI

Mbowe, Lowassa, Mnyika wazuiwa kuripoti polisi

  SAA tatu baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutangaza kusitisha maandamano na mikutano yake chini ya operesheni yaUmoja wa Kupinga Udikteta (Ukuta), Jeshi la Polisi limewataka viongozi wa chama hicho waliokamatwa juzi kutokwenda kuripoti polisi, anaandika Faki Sosi. Taarifa ya kutotakiwa kuripoti kesho kama iliyotakiwa awali, zimethibitishwa na Freeman Mbowe, mwenyekiti wa chama ...

 

1 year ago

Malunde

VIGOGO WA CHADEMA WAWEKWA MAHABUSU..YUMO MBOWE,MSIGWA,MASHINJI,MNYIKA,MWALIMU, MATIKO

Wakili wa viongozi wa Chadema, Frederick Kihwelo amesema mbunge wa chama hicho Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa naye ameungwanishwa na viongozi waliowekwa mahabusu katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam.Akizungumza  leo mchana Machi 27, 2018, Kihwelo amesema Mchungaji Msigwa aliitwa na alipofika polisi naye aliunganishwa na wenzake.
Awali, Kihwelo ameeleza kuwa viongozi hao wamefutiwa dhamana kwa kuwa wanapotakiwa kuripoti polisi, baadhi yao hushindwa kutokea.
Viongozi wengine...

 

3 years ago

Mwananchi

Mbowe aitwa polisi, Lowassa azuiwa Dar

Siku moja baada ya Rais John Magufuli na Chadema kutoa misimamo tofauti kuhusu kupigwa marufuku kwa mikutano ya kisiasa, Jeshi la Polisi limemuita Freeman Mbowe kwa mahojiano, huku hafla ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Muhimbili ambayo Edward Lowassa angekuwa mgeni rasmi ikizuiwa.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Mbowe aitwa Polisi, Lowassa azuiwa Dar, JPM awagomea Kigwangalla, Bashe

mbowe

AyoTV kila asubuhi itakua inakuletea uchambuzi wa magazeti ya Tanzania kuhakikisha zote kubwa za siku unazipata, za leo July 31 2016 ziko hapa kwenye hii video. ULIKOSA RAIS MAGUFULI KUTHIBITISHA KUYAPIGA MNADA MAJENGO YA SERIKALI DSM? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

The post VIDEO: Mbowe aitwa Polisi, Lowassa azuiwa Dar, JPM awagomea Kigwangalla, Bashe appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Ippmedia

Mwenyekiti wa (CHADEMA)Mh.Mbowe na viongozi 7 wa chama hicho wakamatwa na Polisi

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh. Freeman Mbowe na viongozi wengine saba wa chama hicho ngazi ya kitaifa na kanda ya ziwa Victoria wakamatwa na kuhojiwa na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kudaiwa kufanya mkutano katika ofisi za chama hicho eneo la Nyegezi, Butimba na Igoma.

Day n Time: Jumapili saa 2:00 usikuStation: ITV

 

3 years ago

MwanaHALISI

Lowassa, Mbowe wavamiwa na Polisi

VIONGOZI wandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamekamatwa na jeshi la polisi wakati wakiendelea na kikao chao cha Kamati Kuu (CC), kwenye hoteli ya Giraffe jijini Dar es Salaam, anaandika Yusuf Katimba. Taarifa zinasema, katika kamatakamata hiyo, mtafaruku mkubwa ulizuka baada ya viongozi wa jeshi hilo kutaka Chadema, kusitisha kikao chake cha CC, ...

 

4 years ago

Mwananchi

Polisi yawagomea Lowassa, Sumaye, Mbowe Mwanza

Shughuli ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Geita, Aphonce Mawazo aliyeuawa wiki iliyopita iko katika sintofahamu baada ya chama hicho kudai kuzuiwa na polisi kuuchukua mwili huo katika Hospitali ya Rufaa Bugando (BMC) ulikohifadhiwa.

 

3 years ago

Global Publishers

Lowassa, Mbowe Watakiwa Kuripoti Polisi Leo

lowassa na mboweViongozi waandamizi wa Chadema akiwamo Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa jana walikamatwa na Jeshi la Polisi wakati wakiwa katika kikao cha ndani katika Hoteli ya Giraffe mkoani Dar es Salam. 

Lowassa, ambaye alikaa kituoni hapo kwa takribani saa tatu anaweza kuwa kiongozi wa kwanza aliyewahi kushika nafasi ya Waziri Mkuu kuhojiwa na polisi.

Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu aliwataja viongozi wengine waliokamatwa kuwa ni Mwenyekiti, Freeman Mbowe, Katibu Mkuu, Dk Vincent...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani