Mbowe, Lowassa, Mnyika wazuiwa kuripoti polisi

  SAA tatu baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutangaza kusitisha maandamano na mikutano yake chini ya operesheni yaUmoja wa Kupinga Udikteta (Ukuta), Jeshi la Polisi limewataka viongozi wa chama hicho waliokamatwa juzi kutokwenda kuripoti polisi, anaandika Faki Sosi. Taarifa ya kutotakiwa kuripoti kesho kama iliyotakiwa awali, zimethibitishwa na Freeman Mbowe, mwenyekiti wa chama ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Global Publishers

Lowassa, Mbowe Watakiwa Kuripoti Polisi Leo

lowassa na mboweViongozi waandamizi wa Chadema akiwamo Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa jana walikamatwa na Jeshi la Polisi wakati wakiwa katika kikao cha ndani katika Hoteli ya Giraffe mkoani Dar es Salam. 

Lowassa, ambaye alikaa kituoni hapo kwa takribani saa tatu anaweza kuwa kiongozi wa kwanza aliyewahi kushika nafasi ya Waziri Mkuu kuhojiwa na polisi.

Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu aliwataja viongozi wengine waliokamatwa kuwa ni Mwenyekiti, Freeman Mbowe, Katibu Mkuu, Dk Vincent...

 

3 years ago

Mtanzania

Lowassa, Mbowe kuripoti polisi Jumanne ijayo

1

JOHANES RESPICHIUS-Dar es Salaam

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,   Simon Sirro, amesema viongozi wa juu wa  Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliotakiwa kuripoti jana katika Kituo Kikuu Polisi  badala yake wataripoti Septemba 6, mwaka huu.

Viongozi hao ni pamoja na Mwemyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, Mjumbe wa Kamati Kuu, Edward Lowassa, Katibu mkuu, Vincent Mashinji, Naibu wake, John Mnyika na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho, Said Issa...

 

3 years ago

Global Publishers

Mbowe, Lowassa, Mnyika na Dkt. Mashinji Wakamatwa na Polisi, Dar

 

Lowassa-na-MboweKikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA kilichokuwa kinafanyika katika Hoteli ya Giraffe iliyopo Mbezi jijini Dar, kimezingirwa na jeshi la polisi huku viongozi wake wakikamatwa na kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi cha Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano.

CHADEMAAkizungumzia kukamatwa kwa viongozi hao Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu alisema waliokamatwa na polisi kwa ajili ya mahojiano ni Edward Lowassa, Freeman Mbowe, John Mnyika, Dk Vincent Mashinji na  Said Issah

“Tulikuwa kwenye kikao cha...

 

3 years ago

Mwananchi

Lowassa, Mbowe, Mnyika wakamatwa

Viongozi wa Chadema wamekamatwa na polisi na kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano.

 

2 years ago

BBCSwahili

Polisi Tanzania wazuiwa kumkamata Mbowe

Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam imewaamuru maafisa wa polisi kutomkamata Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe hadi Ijumaa.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Freeman Mbowe ashindwa kuripoti polisi

Viongozi wa Chadema waliotakiwa kuripoti kituo kikuu cha polisi leo Jumanne Machi 13, 2018 wametakiwa kufika tena kituoni hapo Machi 16, 2018.

Licha ya kutakiwa kuripoti viongozi saba, waliofanikiwa kufika kituoni hapo ni Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Vicent Mashinji na naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Zanzibar, Salum Mwalimu.

Viongozi wengine watano akiwemo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe wameshindwa kuripoti kutokana na kuhudhuria vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge vilivyoanza leo...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mbowe agoma kuripoti kituo cha polisi

Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA, Freeman Mbowe asema hataripoti Kituo Kikuu cha Polisi, Dar kwakuwa Mkuu wa Mkoa hana mamlaka ya kumuita.

Kiongozi huyo wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni asema RC Makonda amemchafua yeye, familia yake na kambi ya Upinzani kwa ujumla.

Aidha Mwenyekiti Mbowe ameongeza kuwa yuko tayari kutoa ushirikiano muda wowote endapo utaratibu utafuatwa kuhusu suala hilo.

The post Mbowe agoma kuripoti kituo cha polisi appeared first on Zanzibar24.

 

4 years ago

Mwananchi

Waandishi wazuiwa kuripoti kesi ya Uamsho

Dar es Salaam. Waandishi wa habari jana walizuiwa kuripoti kesi ya ugaidi inayowakabili viongozi 23 wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

3 years ago

MwanaHALISI

Lowassa, Mbowe wavamiwa na Polisi

VIONGOZI wandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamekamatwa na jeshi la polisi wakati wakiendelea na kikao chao cha Kamati Kuu (CC), kwenye hoteli ya Giraffe jijini Dar es Salaam, anaandika Yusuf Katimba. Taarifa zinasema, katika kamatakamata hiyo, mtafaruku mkubwa ulizuka baada ya viongozi wa jeshi hilo kutaka Chadema, kusitisha kikao chake cha CC, ...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani