Mbowe na wenzake wafikishwa mahakamani Kisutu

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe na viongozi wengine wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusomewa mashtaka yanayowakabiri. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Viongozi hao walioripoti Kituo cha Polisi cha Kati jijini Dar es Salaam kama walivyotakiwa mapema leo, lakini walipofika waliondolewa dhamana na kuwekwa mahabusu. Mchana huu viongozi hao akiwemo Mbowe na Katibu Mkuu Dkt. ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

MBOWE NA WENZAKE WAFIKISHWA MAHAKAMANI...ULINZI MKALI UMEIMARISHWA ENEO LA MAHAKAMA


Ulinzi  mkali umewekwa leo katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es salaam wakati viongozi wa juu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema ) akiwemo mwenyekiti wa Chama hicho Taifa na kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni Freeman Mbowe akiwa na wenzake.
Mbowe na wenzake wamefikishwa mahakamani hapo chini ya ulinzi mkali Majira ya saa moja asubuhi kwa kwenda kuendelea na kesi inayowakabili na leo kujulikana hatma ya dhamana yao pia.
Wengine waliofikishwa no mbunge wa Iringa Mjini,...

 

3 years ago

Channelten

Wabunge Watatu Wafikishwa Mahakamani Kisutu

Screen Shot 2016-03-31 at 2.13.49 PM Screen Shot 2016-03-31 at 2.13.31 PM Screen Shot 2016-03-31 at 2.13.21 PM

Wabunge watatu wamefikishwa Mahakamani Kisutu Dar es salaam kwa tuhuma za rushwa,Wabunge hao ni  Victor Mwambalaswa wa Lupa (CCM), Kangi Lugola wa Mwibara (CCM) na Sadiq Muraq wa Mvomero (CCM) kwa taarifa zilizopo ni kuwa waliomba rushwa ya MILIONI 30.

Taarifa kamili enedelea kufuatilia Tovuti yetu na Endelea Kutazama Channel Ten.

 

3 years ago

StarTV

Halima Mdee na wenzake wafikishwa mahakamani

Wabunge wawili akiwemo wa Kawe, Halima Mdee na kada wengine wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kosa moja la kumjeruhi Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresa Mmbando.

Mbali na Mdee, wengine waliopandishwa kizimbani ni Rafii Juma (kada), Mwita Waitara (Mbunge wa Ukonga), Ephraimu Kinyafu (Diwani-Kata ya Saranga Kinondoni) na Manas Mjema(Mwenyekiti wa Madiwani na Wabunge-Ukawa)ambaye hakuwepo...

 

1 year ago

VOASwahili

Jamil Mukulu, wenzake 38 wafikishwa Mahakamani

Kiongozi wa kundi la waasi la Allied democratic forces Jamil Mukulu, amefikishwa Mahakamani Kuu inayohusika na uhalifu wa kimataifa mjini Kampala, Uganda, Jumatatu miaka 3 baada ya kukamatwa nchini Tanzania.

 

2 years ago

Global Publishers

Waliokamatwa Sakata la ‘Unga’ Wafikishwa Mahakamani Kisutu, Wema Hajatokea

TID kushoto akiwa na watuhumiwa wengine

Watuhumiwa wakichuchumaa.     

WASANII na wafanyabiashara waliokuwa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ili taratibu za kisheria ziweze kufuata kama ilivyoagizwa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar, Kamishna Simon Sirro.

Miongoni mwa wasanii na watu maarufu waliofikishwa mahakamani hapo mpaka sasa ni Khalid Mohamed ‘T.I.D’, Video Queen Tunda Sebastian, Petit Man, Babuu wa Kitaa,...

 

2 years ago

Malunde

WEMA SEPETU NA WENZAKE WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA DAWA ZA KULEVYA

wema sepetu
Sakata la Madawa ya kulevya limeendelea kugonga vichwa vya habari wiki hii ambapo Jumatatu hii Jeshi la polisi limedai toka lianze operesheni hiyo tayari limewakamata watuhumiwa 112 na kati ya hao 12 wamepandishwa mahakamani Jumatatu hii kwa ajili ya kiapo cha kutorudia matumizi ya Madawa ya kulevya baada ya kukiri kutumia.

Kati ya watu hao 12 ni pamoja na Wema Sepetu, Romy Jones, Petit Man, TID pamoja na wengine.
Aidha Wema Sepetu baada ya kiapo hicho atarudishwa polisi kwa ajili ya...

 

2 weeks ago

Michuzi

KESI YA MBOWE NA WENZAKE YAENDELEA KUUNGURUMA MAHAKAMA YA KISUTU

Na Karama Kenyunko, Michuzi TvSHAHIDI wa Tatu katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi Tisa wa Chadema, ameieleza mahakama kuwa alimshuhudia Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe akichukua kipaza sauti  na kutoa tamko la kuwashinikiza  viongozi wenzie na wafuasi wa Chadema kuandamana kuelekea katika ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni kuchukua barua.
Shahidi huyo, E 6976 Koplo Rahimu Msangi, ameeleza hayo leo, Mei 15, 2019 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba wa ...

 

3 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZZZ;ALIYEKUWA MKURUGENZI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA (NIDA) NA WENZAKE NANE WAFIKISHWA MAHAKAMANI


 Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya vitambulisho vya taifa-NIDA- Dickson Maimu (wa tatu kushoto) na viongozi wengine  nane wa taasisi hiyo wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu mapema leo.Habari zaidi tutawaletea.

Mnamo mwezi January 2016, Rais Magufuli aliamua kutengua uteuzi wa Mkurugenzi wa mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA) Bwana Dickson Maimu na kumsimamisha kazi yeye na wafanyakazi wengine ili kupisha uchunguzi wa namna ilivyotumika kiasi cha shilingi bilioni 179.6...

 

1 year ago

Malunde

LOWASSA,SUMAYE WAONDOKA MAHAKAMANI KESI YA MBOWE NA WENZAKE

Wajumbe wa kamati kuu CHADEMA ambao waliwahi kuwa Mawaziri wakuu wa Tanzania, Fredrick Sumaye na Edward Lowassa, wameondoka katika mahakama ya Kisutu kabla viongozi wa CHADEMA hawajafikishwa mahakamni hapo.
Taarifa kutoka mahakama ya Kisutu zinasema kuwa kina Lowassa wameondoka eneo hilo huku wakitoa taarifa kuwa wanaelekea kwenye msiba wa mmoja wa wanachama wao.
Kwa mujibu wa mwanasheria wa kina Mbowe Peter Kibatala, amesema kuwa Mbowe na wenzake watano hawajafikishwa mahakamani hapo mpaka...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani