MBOWE: 'WALITAKA NIANDIKIE HOTUBA SEGEREA? ....'HATUSOMI HOTUBA, HATUSUSI BUNGE NG’O.


Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB), imesema haitasoma hotuba wala taarifa zake bungeni endapo utaratibu wa kuziwasilisha kwa Katibu wa Bunge hatua ya kuhaririwa kwanza kabla ya kusomwa bungeni itaendelea.
Pamoja na hayo, wamesema hawatatusa bunge kwa ajili hiyo wala sababu nyingine yoyote.
Mwenyekiti wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe amesema hayo leo Mjini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mustakabali wa wabunge hao kuhudhuria vikao vya bunge na kuhusu...

Malunde

Read more


Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani