Mbuga ya Vuirunga huko DRC inafungwa

Mauaji na utekaji nyara unalazimisha kufungwa kwa mbuga ya taifa ya  ya Virunga huko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC kwa mwaka mzima. Wageni hawataruhusiwa kutembelea mbuga hiyo kongwe kuwaona sokwe mwitu, nyani, tembo na wanyama wengine wa porini. Mkurugenzi wa mbuga hiyo, Emmanuel de Merode alisema Jumatatu kwamba ni wazi kuwa mbunga ya Virunga limeathiriwa  na ukosefu wa usalama na tatizo hilo litaendelea kwa muda kadhaa. Ili mbuga hiyo kuweza kutembelewa na wageni na kuwa...

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

BBCSwahili

DRC kukata mbuga ya Virunga kuruhusu uchimbaji madini

DRC inataka kuchora upya mipaka ya mbunga ya Virunga, ili kuruhusu shughuli za uchimbaji mafuta.

 

2 years ago

VOASwahili

Ziara ya Baraza la Usalama la UN huko DRC-

Wajumbe wa Baraza la Usalama watembelea DRC ili kupata habari juu ya utaratibu wa mpito ulokubaliwa Kinshasa na kupingwa na upinzani

 

2 years ago

VOASwahili

Wafungwa 34 Wametoroka Gerezani Huko DRC

Afisa  mmoja nchini DRC anasema wafungwa 34 wametoroka gerezani mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC baada ya kuuvunja ukuta wakati wa mvua mkubwa iliyokuwa inanyesha. Kwa mujibu wa shirika la habari la Asociated Press-AP waziri wa sheria wa jimbo la kivu kusini Pasaline Basezage alisema Jumatatu kwamba takriban wafungwa 27 waliotoroka Jumapili jioni walikuwa wamekutwa na hatia kwa makosa ya uhalifu wa ngono na vitendo vingine vya ghasia. Gereza la Mwenga  lililopo kiasi cha...

 

1 year ago

Michuzi

KUWAIT YALAANI MAUAJI YA WANAJESHI WA TANZANIA HUKO DRC

Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al-Najem (wakwanza kushoto) ameungana na mamia ya viongozi wa Serikali akiwemo Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zubeir Ali katika uwanja wa ndege wa Zanzibar, ameungana nao kupokea na kuaga miili ya wanajeshi wa Tanzania waliopoteza maisha yao huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakilinda amani chini ya muavuli wa umoja wa mataifa. 
Al- Najem amesema kuwa Serikali ya Kuwait...

 

4 years ago

Vijimambo

Maiti 421 zagunduliwa ndani ya kaburi moja huko DRC

Mfano wa moja ya kaburi lililozikwa watu wengi kwa pamojaMfano wa moja ya kaburi lililozikwa watu wengi kwa pamoja
Mjadala mkali umezuka huko Kinshasa kufuatia kuzinduliwa kwa kaburi la pamoja ambalo lilizika watu 421 nje ya mji wa Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC.

Serikali ilielezea kwamba maiti zilizozikwa humo nyingi ni za watoto wachanga waliofariki wakati wa kuzaliwa kwenye mahospitali kadhaa pamoja na watu wazima ambao familia zao kwa kipindi kirefu walishindwa kugharamia mazishi. Lakini mashirika ya kutetea haki za...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Askari wa JWTZ auawa kwa risasi huko DRC Congo

Askari wa jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ) aliyefahamika kwa jina la Praivate Mussa Jumanne Muryery ameuawa kwa kupigwa risasi na kundi la waasi akiwa kwenye ulinzi wa Amani nchini DRC Congo

Kwa mujibu wa taarifa ya (JWTZ) inasema kuwa askari wake huyo alifariki Septemba 17, 2017 na kufuatia shambulio hilo Umoja wa Mataifa umeunda bodi ya uchunguzi kuchunguza tukio hilo.

The post Askari wa JWTZ auawa kwa risasi huko DRC Congo appeared first on Zanzibar24.

 

1 year ago

VOASwahili

Mashirika ya huduma za kibinadamu yanajadiliana kuhusu hali huko DRC

Maafisa wa mashirika ya misaada ya Umoja wa Mataifa wametanagza Alhamis kwamba wajumbe wa mataifa fadhili watakutana mwezi ujao kwa mkutano wenye lengo la kuchangisha takribani dola bilioni 1.7 kwa kazi za huduma za dharura nchini Kongo. Makadirio ya msaada unaohitajika umeongezeka marudufu tangu mwaka 2017 ikimulika kuongezeka kwa matatizo katika taifa hilo kubwa la Afrika ya kati   Naibu Mratibu wa huduma za dharura wa  Umoja wa Mataifa, Julien Hameis, alisema wanaanda mkutano wa...

 

3 years ago

MillardAyo

Tiba ya bure ya GSM Foundation imeanza Iringa na inafungwa kesho

Doctors

Kambi tiba inayoendeshwa na Taasisi ya mifupa na upasuaji ya Muhimbili kwa ufadhili wa GSM Foundation inayojaribu kuokoa maisha ya watoto wanaozaliwa na vichwa vikubwa na mgongo wazi jana imeanza Iringa, huu ukiwa ni mkoa wa nne tangu msimu wa pili wa ziara yake ya kuzunguka nchi nzima kuanza. Kaimu mkuu wa kambi tiba hiyo, […]

The post Tiba ya bure ya GSM Foundation imeanza Iringa na inafungwa kesho appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani