Mbunge ajivua uanachama Chadema

Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi ametangaza kujivua uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Masha ajivua uanachama Chadema

Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha ametangaza kujivua Uanachama wa CHADEMA kwa madai kuwa viongozi wa chama hicho hawana nia ya dhati ya kuunda serikali na kushika dola.

 

The post Masha ajivua uanachama Chadema appeared first on Zanzibar24.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Hivi punde: Mbunge CUF ajivua uanachama

The post Hivi punde: Mbunge CUF ajivua uanachama appeared first on Zanzibar24.

 

3 years ago

Mwananchi

Aliyekuwa mwenyekiti Chadema Mwanza ajivua uanachama

Aliyekuwa Mweyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Mwanza, Adrian Tizeba ametangaza kujivua uanchama na kuachana na siasa.

 

2 years ago

Michuzi

DIWANI WA CHADEMA AJIVUA UANACHAMA NA KUJIUNGA CCM MKOANI RUVUMA

Kushoto ni Diwani wa kata ya Shule ya Tanga iliyopo Songea mjini mkoani Ruvuma kupitia tiketi ya Chama Cha Demoklasia na Maendeleo ( CHADEMA )Mussa Ndomba aliyejivua uaanachama na kujiunga Chama tawala cha mapinduzi (CCM)  akimkabidhi kadi mwenyekiti wa CCM mkoa wa RUVUMA Mh. ODDO MWISHO. kwa undani zaidi wa habari hii bonyeza play hapo chini .

 

1 year ago

CHADEMA Blog

Mbunge wa Ubungo, Saed Kebenea(CHADEMA) akanusha kujivua uanachama wa CHADEMA

Mbunge wa Ubungo, Saed Kebenea(CHADEMA) amekanusha tetesi kuwa yuko kwenye mpango wa kuhamia CCM. Amesema kinachoenezwa sasahivi ni propaganda ili kukitoa chama chake kwenye ajenda ya kuhoji mambo ya msingi. “Sijawahi kumweleza mtu kwamba nina mpango wa kuhama CHADEMA, wala sifikirii, sijawahi kukaa na CCM na hayo mambo nayaona kwenye mitandao, kama kuna mtu ana ushahidi wa mimi kuzungumza na

 

1 year ago

CHADEMA Blog

Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ajivua Ubunge; ajitoa CCM na kuomba kujiunga CHADEMA

NIMEAMUA kujiuzulu NAFASI yangu ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM, pamoja na nafasi zote za Uongozi ndani ya Chama kuanzia leo, Oktoba 30, 2017. HALIKADHALIKA, asubuhi ya leo nimemwandikia Spika wa Bunge, Mh. Job Ndugai, Mb., barua ya kujiuzulu nafasi yangu ya UBUNGE wa Jimbo la Singida Kaskazini kupitia tiketi ya CCM, nafasi ambayo nimeitumikia kwa vipindi vinne

 

3 years ago

GPL

MWAPACHU AJIVUA UANACHAMA CCM

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Juma Mwapachu leo ametangaza rasmi kujivua uanachama ndani ya CCM bila kusema anaelekea chama gani huku akidai kuwa, CCM imepoteza dira.

 

4 years ago

Michuzi

Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi ametangaza kujivua uanachama wa CHADEMA

Mbunge wa Mpanda Mjini Mhe. Said Arfi
akizungumza na waandishi wa habari.
Picha ya maktaba.Akizungumza mjini Mpanda katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili, jana Mhe Saidi Arfi aliwaeleza wananchi wa Mpanda kuwa uanachama wake ndani ya CHADEMA utakoma mara tu baada ya kuvunjwa Bunge Julai 9.Pia, alitumia mkutano huu kuwaaga wananchi wa jimbo hilo akisema hatagombea tena nafasi hiyo aliyoitumikia kwa miaka kumi. Mhe. Arfi alifafanua kuwa hayuko tayari...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani