Mbunge aliyetuhumiwa kufumaniwa na mumewe abadilisha jina rasmi

Mbunge wa Segerea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bonnah Kaluwa ametoa taarifa ya kubadilisha jina kufuatia kuingia kwenye mvutano wa matumizi ya jina na mume wake Moses Kaluwa ambapo sasa atafahamika kwa jina la Bonnah Kimoli.
Uamuzi wa Mbunge huyo wa Segerea umetangazwa leo Mei 16,2019 Bungeni jijini Dodoma kupitia Spika wa Bunge, Job Ndugai ambapo amesema ameeleza kupata taarifa kutoka kwa mbunge huyo.
“Nimetaarifiwa kuwa Mheshimiwa Bonnah amebadili jina na sasa anatumia jina la Bonnah...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Kanye West abadilisha tena jina la albamu yake

Kanye-West-performs-onstage-at-the-2015-iHeartRadio-Music-Festival-2015-billboard-650

Kwa mara nyingine tena Kanye West amebadilisha jina la albamu yake iliyokuwa ikiitwa Swish.

Kanye-West-performs-onstage-at-the-2015-iHeartRadio-Music-Festival-2015-billboard-650

Rapper huyo ametangaza kupitia Twitter kuwa albamu hiyo sasa itaitwa ‘Waves.’

New album title, WAVES

— KANYE WEST (@kanyewest) January 27, 2016

Kabla ya kuitwa Swish, albamu hiyo iliitwa So Help Me God.

Kanye amedai kuwa albamu hiyo haitakuwa tu ya mwaka bali ya maisha.

This is not album of the year. This is album of the life.

— KANYE WEST (@kanyewest) January 26, 2016

Jiunge na Bongo5.com...

 

3 years ago

Bongo5

2face wa Nigeria abadili jina rasmi, lifahamu jina jipya analotumia sasa

2face and vee money-2

Si kazi ngumu kwa watu maarufu kubadili majina yao lakini huwa ni kazi ngumu au tuseme inachukua muda kwa jina jipya kulifunika moja kwa moja jina la zamani.

2face and vee money-2
2baba akiwa na Vanessa Mdee

Staa wa Nigeria, Innocent Ujah Idibia maarufu kwa jina la 2face ametangaza kubadili jina rasmi, au kibiashara tunaweza kusema ameji ‘re-brand’, sasa anataka aitwe ‘2baba’.

Taarifa hiyo aliitoa Jumamosi ya January 9 kupitia Twitter.

Guys happy every! My handle is still the same but name is now @official2baba...

 

4 years ago

Mtanzania

Ukubwa wa jina la Sarafina haumsumbui mumewe

??????????????????????????MUME wa mwigizaji wa Afrika Kusini aliyewahi kutamba katika filamu ya ‘Sarafina’, Leleti Khumalo ‘Sarafina’, Skhutmazo Khanyile, amesema ukubwa wa jina la mke wake huyo haumpi changamoto yoyote katika ndoa yao.

“Jina la Sarafina ni kubwa mno ndani ya Afrika Kusini na nje lakini nilipomuoa na kukubali kuwa mke wangu amekuwa mke kweli kwa maisha halisi si ya kuigiza, anapokuwa nyumbani huwa mke na akiwa kwenye sanaa huwa Sarafina hakuna changamoto yoyote kwenye ndoa yetu,’’ alieleza Khanyile...

 

5 years ago

GPL

MWANAMKE AKIOLEWA KUNA ULAZIMA AITWE JINA LA UKOO WA MUMEWE?

KARIBUNI tena na tena, wasomaji wa safu hii motomoto inayozungumzia maisha kwa ujumla. Lengo sa safu hii ni kuwekana sawa katika mazingira ya maisha ya uhusiano tunayoishi.
Mada yetu ya leo imetokana na kuzidi kushamiri kwa hoja kwamba je, mwanamke akishaoelewa kuna umuhimu wa kuitwa kwa jina la ukoo wa mumewe?Mfano, awali mwanamke aliitwa Julieth Thomas Rupia, akaolewa na Samuel Aloyce Masumbuko. Je, Julieth akishaolewa aitwe...

 

5 years ago

GPL

MWANAMKE AKIOLEWA KUNA ULAZIMA AITWE JINA LA UKOO WA MUMEWE?-2

KARIBUNI tena na tena mashabiki wa safu hii ya ukweli inayozungumzia maisha kwa ujumla.
Wiki iliyopita tulianza na mada yenye kichwa cha habari hapo juu ‚ÄėMwanamke akioelewa kuna ulazima wa kutumia jina la ukoo wa mumewe? Mada hii ni pana, nilifafanua mengi likiwemo suala la asili ya wanawake kuitwa kwa majina ya waume zao. Nikatoa mfano wa wanawake maarufu ambao wanatumia majina ya ukoo wa waume zao, wakiwemo wake wa marais....

 

2 years ago

BBCSwahili

Myeshia Johnson: Mjane asema Trump hakukumbuka jina la mumewe

Mjane wa mwanajeshi wa Marekani aliyeuawa nchini Niger amesema kuwa alikasiriswa na simu ya pole aliyopigiwa na Rais Donald Trump kwa sababu alionekana kutatizika kulikumbuka jina marehemu mumewe.

 

2 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AHUTUBIA KATIKA KUTANGAZA JINA RASMI LA KITUO CHA AMANI NA USALAMA KILICHOPEWA JINA LA MWALIMU JULIUS NYERERE KATIKA MAKAO MAKUU YA UMOJA WA AFRICA (AU) ADDIS ABABA NCHINI ETHIOPIA

 Rais wa Tanzania Dk. John Magufuli akiwa na viongozi wa Nchi mabalimbali katika picha ya pamoja mbele ya jengo jipya la Kituo cha  Amani na Usalama la Julius Nyerere lililopo Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa, Ethiopia.

 Rais Dk. John Magufuli akihutubia Viongozi Wakuu wa Nchi mbalimbali kuzindua Jengo jipya la Kituo cha Amani na Usalama kilichopewa jina Rasmi la Mwalimu Julius Nyerere, Addis Ababa, Ethiopia, leo Januari 29, 2017.
 Rais Dk. John Magufuli akijadiliana jambo...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA KATIKA KUTANGAZA JINA RASMI LA KITUO CHA AMANI NA USALAMA KILICHOPEWA JINA LA MWALIMU JULIUS NYERERE KATIKA MAKAO MAKUU YA UMOJA WA AFRICA (AU) ADDIS ABABA NCHINI ETHIOPIA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta pamoja na viongozi wa mataifa mabalimbali wakiwa katika picha ya pamoja katika jengo jipya la kituo cha  Amani na Usalama (JULIUS NYERERE) lililopo katika Makao makuu ya Umoja wa Afrika Addis Ababa nchini Ethiopia.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Viongozi Wakuu wa Mataifa mbalimbali hawapo (pichani) katika Jengo jipya la Kituo cha Amani na...

 

5 years ago

Dewji Blog

BMTL yabadili jina la kibiashara na kuwa Copy Cat rasmi

BMTL CEO

Afisa Mtendaji Mkuu wa BMTL, Copy Cat, Bw Mike Holtham akizungumza na mmoja wa wageni waalikwa katika sherehe hizo za kuzindua jina jipya nchini na kuzungumza na wateja wao.

.Yapata Afisa Mtendaji Mkuu Mpya

.yawa wakala rasmi wa bidhaa za Samsung Tanzania 

Na Damas Makangale, MOblog Tanzania

KAMPUNI ya Business Machines Tanzania Limited (BMTL) imebadilisha rasmi jina lake la biashara kwenda kwenye kampuni yake mama ya Copy Cat katika harakati zake za kupanua wigo wa biashara...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani